Wazee wa zamani waliona mbali sana kifikra kuhusu maisha. Awakuruhusu watoto wao watumie chombo kimoja cha usafiri, wakae pamoja au kuambatana mara kwa mara; waliogopa kuteketeza familia at once.
Leo hii imekuwa fashion kwa ndugu kusafiri pamoja, tunapotumia chombo kimoja cha usafiri upo...
Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri...
Ashakuum si matusi, maskini akipata matako ulia mbwata, hizi ni moja ya kauli za wahenga wetu. Hakika nyingi ya kauli hizi zina mafunzo makuu lakini zipo kauli potofu na kengefu.
Aliye juu mngoje chini, hakika hii ni kauli kengefu, inayochochea uvivu, kwanini usichukue ngazi umfuate?
Aidha...
Kama ulitumia hizi huduma nadhani sasa uko kwenye ndoa au unawatoto
Kwakweli Tigo na Vodacom walisaidia sana mahusiano ya watu mana hata utaratibu wa kujiunga bando haukua sawa.
Tigo unasubiri saa sita baada ya dk ya tatu, unakua unaongea bure mpanga asuburi
Vodacom: unajiunga shiling 50...
Jamani maisha ni safari ndefu, hasa tuliokulia vijijini tuliishi maisha ya kipekee saaana.
1. Kuoga ilikuwa ni mtoni hasa kwa maeneo ya Tukuyu Miaka hiyo ya tisini.
2. Kuvaa nguo mpya mashati ya Julian na suruali special za Tokyo huku chini na mokas
3. Kupaka mafuta ni mpaka unaenda mjini au...
Nadhani umewahi kukutana na watu wakilalamika, "Mke wangu haniheshimu. Wadogo zangu wananidharau." Wengi hawa wanaamini kuwa maneno ya wahenga kuwa heshima ni kitu cha bure ni ya kweli.
Ukweli ni tofauti kabisa. Binadamu siku zote wanamheshimu mtu mwenye uwezo, yaani mtu capable. Social animals...
Elimu huchochea maendeleo makubwa mno katika jamii lakini elimu bila pesa kizazi cha sasa ni sawa na kofia ya chuma inayopata moto nyakati za jua la utosi, Enyi kizazi cha sasa tubadilike tusichukue ya wahenga yote kwani mengi yameharibiwa na teknolojia pamoja na usasa elimu tunayopata mashuleni...
Binafsi nakumbuka mara ya kwanza kuona video ilikuwa ni Late 1980"s na ilikuwa ni Sinema. Walikuja uwanjani kijijini kwetu wakihamasisha maendeleo. Waliwasha Sinema na Waliweka wimbo wa "Remmy Ongala" sikumbuki Jina ila Binafsi sikuwa najua tofauti ya Sinema na Muziki. Nikawa nacheza nikiamini...
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
A. MABINGWA WA BREAK-DANCE TZ
1. Black Moses
2. Mzee Bachu
3. Ommy Sydney
4. Salma Sweet Kajela
5. Athuman Digadiga "Double D "
6. Jimmy To London
7. Bosco Aidan Cool J
8. Super Ngedere
9. Abdul Shalamar
10. Abel Siwale
11. Patrick Chiume "TASS"
12. Kamal Mabobish
13...
Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo song ila nakumbuka baadhi ya maneno katika nyimbo hizo
1. Mama mdogo alinichukua kijijini...
1. Enzi hizo watu tulivaa viraka. Mafundi cherehani walipata kipato kwa kushona viraka. Suruali la baba lilikatwa kaptura za watoto na chupi kadhaa za mama.
2. Enzi hizo watu tulipiga mswaki kwa mkaa. Watu tulivaa kata mbuga. Miguu ilijaa funza wakubwa utadhani mbaazi. Tulikwenda chooni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.