wahitimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Iwe amri vijana wakitaka kwenda vyuoni wawe na ujuzi wowote wa stadi kazi, wahitimu wanaokosa ajira wasio na ujuzi wanatia aibu kushindwa kujitegemea.

    Haingii akilini hata kidogo mtu apambane zaidi kutafuta njia ya kujitegemea kwa kutegemea elimu ya chuoni impe ajira ambazo hazina uhakika huku hana ujuzi wowote wa kumfanya ajiajiri kwa uhakika hata akikosa ajira. Mwenye ujuzi ni ngumu sana kulala njaa lakini mtu hata uwe na masters yako kama...
  2. P

    Wahitimu shule za vipaji maalum

    Wadau, kuna shule ambazo serikali kwa utashi wake ilizitambua na kupeleka wanafunzi ambao inaamini ni vipaji maalum kiakili, mfano, Ilboru, Tabora school(boys and girls), Kibaha, Mzumbe, Kilakala na Msalato. Lengo lilikuwa kuwatumia watu hawa katika kujenga taifa, je, wanaomaliza/waliomaliza...
  3. K

    Ushauri: Anzisheni utaratibu wa wahitimu wa elimu za juu kufundisha kwa mwaka mmoja

    Tanzania kuna watoto wengi sana wanaingia shule kwa kasi kuliko uwezo wa serikali kuajiri walimu wa kutosha. Huu ni wakati mzuri wa kufikiria programu ya wahitimu wa elimu za juu ambao wengi nao ni vijana kufundisha kwenye shule mbalimbali kwa mwaka. Serikali iweke utaratibu mzuri hili...
  4. Meneja Wa Makampuni

    Ni kwanini serikali imeshindwa kuwaajiri wahitimu wa fani za mafuta na gesi pamoja na uchache wao?

    Fani za mafuta na gesi zilianza kufundishwa Tanzania mwaka 2013. Mara serikali ikaanzisha shahada ya kwanza ya kemia ya petroli (BSc. Petroleum Chemistry) (wanafunzi 25), Shahada ya kwanza ya uhandisi wa petroli (BSc. Petroleum Engineering) (Wanafunzi 25) na Shahada ya kwanza ya jiolojia ya...
  5. G-Mdadisi

    Badala ya wahitimu kupelekwa JKT wapelekwe VETA

    Na Gaspary Charles SERIKALI imekuwa ikitumia gharama nyingi sana kuwapeleka wahitimu wa kidato cha VI kila mwaka kujiunga na mafunzo ya muda mfupi kwenye Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakini ukiangalia kwa jicho la ziada ni kama mpango huu licha ya nia yake njema kuwafundisha uzalendo vijana...
  6. McCollum

    Wazazi/ Walezi pambaneni na wahitimu wa darasa la saba, kwa bahati mbaya wengi wanauelewa usioridhisha

    Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini Yangu muwazima wa afya. Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwezi wa January napenda kulizungumzia suala la uelewa wa wahitimu wa darasa la Saba ambao kwasasa wako kidato cha kwanza. Sitawazungumzia hao waliopita kwakuwa sina uzoefu nao, ila nataka kuwazungumzia hawa...
  7. Meneja Wa Makampuni

    Mabadiliko ya mtaala yasisahau kuzifuta kozi ambazo hazitoi ajira kwa wahitimu wa vyuo

    Kuna utitiri wa kozi zinafundishwa vyuoni zinazosababisha unemployment rate katika taifa letu kukua kwa kasi. Nabadala yake watoto wanahitimu hizo kozi wanabaki hawana ajira lawama zote zinabaki kwa serikali. Tupo kwenye mchakato wa kubadili mtaala wetu ili uendane na mazingira yetu. Basi...
  8. JanguKamaJangu

    Ethiopia: Wahitimu 3% pekee ndio wamefaulu kwenda Chuo Kikuu

    Asilimia hiyo ni wastani wa wahitimu ambao wamepata alama nzuri zinazowawezesha kuendelea na masomo ya Chuo Kikuu. Waziri wa Elimu wa Ethiopia, Berhanu Nega amedai matokeo hayo ni ya kushtua, ambapo inaaminika migogoro na vita vya ndani ya Nchi ni moja ya sababu, huku Wanafunzi 12,000 ikidaiwa...
  9. K

    Ni kipi kitatokea kwa wahitimu wa vyuo pindi michezo ya kubashiri ikipigwa marufuku?

    Nauliza hili swali nikiwa kwenye kibanda cha kubet huku mtaani kwangu
  10. RAFA_01

    Kujiajiri/Ujasiriamali ni homa ambayo ikikushika haitoki, ila wahitimu wengi vyuo vikuu wana chanjo tayari!

    Graduates wengi tunachanganywa na vyeti vyetu na zile picha za majoho kwamba tukimaliza tunategemea kwenda kufanya kazki katika shining new office, tupige picha na kupost kuonyesha colleagues kwamba tumefanikiwa. Hii inatokeo kwa baadhi ya watu wanabahatika wanapata kazi mapema na wengine ndio...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu

    Maoni yako ni yepi juu ya hili: Wahitimu wa form six masomo ya Sayansi (PCM, PCB, CBG) wana uelewa zaidi kuliko wahitimu wa vyuo waliosomea ualimu. Kuna mdau ameshauri wahitimu wa form six wawe wanaajiriwa moja kwa moja kufundisha shule za sekondari bila kupitia chuo wanakoenda kugoogle badala...
  12. BARD AI

    Naibu Waziri Viwanda ataka wahitimu waache kulalamika, wajiajiri

    Naibu Waziri Exauds Kigahe amewataka Wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kutumia elimu waliyoipata kujiajiri ikiwemo kuanzisha biashara badala ya kuwa sehemu ya kulalamikia ukosefu wa ajira. Amesema “Ni jukumu la kila mhitimu kuukubali na kuuchangamkia zaidi msukumo wa Sayansi na...
  13. C

    Wahitimu vyuo Vikuu uzeni maji mtaani

    Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndoo/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS. Mtaji: Mkokoteni, Madumu 6 na nguvu zako.
  14. BARD AI

    Walimu watuhumiwa kupora vichongeo, ufutio vya wahitimu wa Darasa la Saba

    Walimu wa Shule ya Msingi za Kishinda na Isebya zilizoko kata ya Kishinda wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wanatuhumiwa kupora vifaa vya wanafunzi baada ya kumaliza mtihani wa kitaifa wa darasa la saba. Malalamiko ya wahitimu hao yaliwasilishwa na Diwani wa Kata ya Kishinda, Shokolo Visent...
  15. JanguKamaJangu

    Sungusungu wa Shinyanga wapewa jukumu kuzuia ndoa za wahitimu la Darasa la 7

    Jeshi la Jadi (Sungusungu) Manispaa ya Shinyanga na Wilaya ya Shinyanga limepewa jukumu la kuhakikisha hakuna ndoa ya utotoni ya mwanafunzi yeyote aliyehitimu darasa la saba mwaka huu. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko aliwakabidhi jukumu hilo juzi wakati wa kusimikwa viongozi wapya...
  16. Vontec

    Fursa kwa wahitimu kutoka Vodacom (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022)

    Vodacom Early Careers Programmes 2022 (Programu za Ajira za Mapema za Vodacom 2022) Maelezo: Vodacom, tunafanya kazi kwa bidii ili kujenga maisha bora ya baadaye. Ulimwengu uliounganishwa zaidi, jumuishi na endelevu. Kama jumuiya ya kimataifa yenye nguvu, ni roho yetu ya kibinadamu pamoja na...
  17. Uponyaji na uzima

    Usaili wa utumishi (kwenye interview ya mchujo) unawalenga wanafunzi na wahitimu wapya

    Nimehudhuria usaili kadhaa wa utumishi kwa kazi nilizoomba kupitia ajira portal wiki hii. Ni kazi za ICT officers. Kwenye mchujo (written interview) wanauliza maswali ambayo ni ya wanafunzi, yale maswali yanayohusisha kukariri vitu vingi na terminologies.
  18. Shajumu

    SoC02 Utaoji wa mikopo kwa Wahitimu wa elimu ya juu nchini

    Utangulizi Chagamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini imekuwa ni tatizo sugu ambapo kama lisipotafutiwa ufumbuzi basi linaweza kulitumbukiza taifa katika dimbwi la unyang’anyi na waporaji na kuwa nchi ya wahalifu maana tunaona wasimamizi na watunga sera ambao si tu wamepewa mamlama ya...
  19. Mohan Ksan

    SoC02 Sababu kuu za changamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo nchini Tanzania

    UTANGULIZI Ufinyu wa ajira kwa sasa nchini Tanzania imekua ni changamoto kubwa. Wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati ni wengi na wamekua wakiongezeka kila uchao. Mahali walipo vijana kumi sasa hivi vijana saba kati yao ni wahitimu wa vyuo mbalimbali nchini Tanzania lakini jambo la kushangaza...
  20. M

    SoC02 Wahitimu wa Ualimu wajitolee kufidia uhaba wa Walimu, na wenye kigezo hiko wapewe kipaumbele cha ajira

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
Back
Top Bottom