wahitimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Charamba

    SoC02 Namna bora ya kukabiliana na tatizo la ajira kwa Wahitimu wa Vyuo Vikuu nchini

    UTANGULIZI: Chuo kikuu ni ngazi ya juu zaidi ya elimu nchini tanzania na duniani kwa ujumla ambayo inamuwezesha mwanafunzi(Mwanachuo) kupata maarifa na ujuzi maalumu. Mfano;Udaktari, Ualimu, Sheria, Masuala ya uchumi na biashara, Masuala ya habari, na mengine mengi yatolewayo vyuoni. MJADALA...
  2. L

    China inasaidia vipi wahitimu wa vyuo kupata ajira na kujiajiri?

    Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 24 ambacho kimekuwa kikiongezeka sana duniani kinaleta changamoto kubwa kwa hivi sasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Kamisheni ya Ulaya, mwaka 2021 kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira barani Ulaya kilipanda hadi asilimia 16.6...
  3. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Mahafali ya Wahitimu wa Usalama wa nchini 'Northern Malawi' huwa hayatangazwi wala hatuonyeshwi kama yale ya Chuoni Lindumo?

    Nijuavyo ni kwamba Wote hawa ni wana Medani sasa ni kwanini hawa wa Lindumo Military Academy wakiwa wanafanyia Mahafali yao Wananchi wote wa hapa nchini Northern Malawi huwa tunaona na hata Kutangaziwa, ila wale wa Usalama Vyuoni Kwao Nimbwe .Ndilima, Madodo na JanguU huwa hatutangaziwi na wala...
  4. Joseph Brighton Malekela

    SoC02 Uanzishwe mfuko wa kuwawezesha kiuchumi Wahitimu wa Elimu ya Juu ili kuwasaidia kutegua kitendawili cha kujiajiri

    Nimejaribu kujielimisha kidogo kama kuna ugumu wowote kwa wahitimu wa elimu ya juu kujiajiri. Nimejifunza kwamba, vikwazo vikubwa kwa wahitimu kuhusu kujiajiri ni mfumo wa elimu kutokuwajengea tabia ya kujiajili, pamoja na changamoto ya kupata mitaji ya kujiajiri. Wahitimu wa elimu ya juu...
  5. B

    Rais Mwinyi awataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia vema waliyofundishwa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka wahitimu wa Kozi ya Usalama na Stratejia kuyatumia kwa vitendo maarifa waliyoyapata katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), kilichopo Kunduchi Jijini Dar es Salaam. Dkt. Mwinyi ameyasema hayo...
  6. A

    SoC02 Majuto ya wahitimu wa vyuo

    Kuna msemo mmoja wa kiswahili unaosema"MAJUTO NI MJUKUU"bila shaka wote tumeshawahi kuusikia. Majuto ni maumivu yanayozalishwa kwa kutotumia wakati na nafasi kwa usahihi na Mjukuu ni matokeo yanayotokana na kutotumia wakati na nafasi kwa usahihi. Kama ilivyo kwenye maeneo mengine ya kimaisha...
  7. Sumu ya nyigu

    SoC02 Kilimo kama suluhu kwa changamoto ya ajira kwa vijana, wahitimu wa Vyuo Vikuu na Vyuo vya Kati Tanzania

    Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Zaidi ya asilimia 77 ya wakazi wa Tanzania ni vijana. Serikali ya Tanzania imezidi kupanua wigo kwa vijana kupata elimu, kwa kutoa elimu bila malipo kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha sita. Pia imewawezesha wahitimu kuendelea na elimu...
  8. F

    SoC02 Ili kupunguza ukosefu wa ajira, bodi ya mikopo itoe mikopo ya kujiajiri kwa wanachuo wahitimu wanaotaka kujiajiri

    Hello wadau wa JF, Nimekuja kuwashirikisha wazo ambalo likifanyiwa kazi linaweza likaleta mabadiliko makubwa kwa watanzania. Andiko langu limelenga katika sekta ya elimu kwa sababu ya imani yangu juu nchi yetu yenye Mali nyingi na wasomi wengi lakini tunaishi kimaskini. Licha ya kwamba elimu...
  9. Shahaa

    Elimu ya Juu Inavyogeuka Majonzi kwa Wahitimu

    Na Shafii Hamisi Athumani Safari ya elimu imekuwa ikianza kwa matumaini makubwa ya mwanafunzi kuanza shule kwa furaha na kuhitaji kufikia malengo makubwa hapo baadae akiungwa mkono na kila mtu kwenye jamii na taifa lake haswa familia kwa hali na mali inakuwa ni tegemeo kubwa, hii inatoa...
  10. goodhearted

    Maombi ya chuo kikuu kwa wahitimu wa diploma

    Kila nikiingiza equivalent namba napata meseji hii "Only post request with a payload is allowed" Ambapo equivalent namba natumia namba yangu ya chuo niliyofanyia mtihani. Au nakose? Mwenye uelewa tafadhari!
  11. Lady Whistledown

    Waziri Bashungwa asema wahitimu wa kidato cha 4 wanaohitaji uhamisho waripoti kwanza kwenye vituo walivyopangiwa

    Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa akitoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa wanafunzi kubadili kutoka vyuo kuelekea kidato cha tano kwa sababu mbalimbali Bungeni amesema, wahitimu hao wanapaswa kuripoti katika vyuo au shule walizopangwa...
  12. Roving Journalist

    Wabunge wataka wahitimu wakopeshwe kwa vyeti vyao

    Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine. Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
  13. S

    Je, ni kwa kiwango gani wahitimu (graduates) waliojiajiri wamefanikiwa katika shughuli (biashara/ujasiriamali) wanazofanya?

    Je, ni kwa kiwango gani wahitimu (graduates) waliojiajiri wamefanikiwa katika shughuli (biashara/ujasiriamali) wanazofanya?
  14. Kididimo

    NACTE ichunguzwe. Imeshindwa kutoa Vyeti kwa wakati vya Wahitimu wa LITA. Wanaenda kukosa ajira zilizotangazwa na Serikali

    Serikali yetu makini hivi karibuni imetangaza nafasi za ajira lukuki kwa vijana waliohitimu Mafunzo ya mifugo sehemu mbalimbali. LITA kama Taasisi ya Serikali yenye ithibati ya kutoa mafunzo hayo ikisimamiwa na NACTE imekuwa ikitoa wanafunzi lukuki kila mwaka. Ili uweze kutambulika kifani ni...
  15. kmbwembwe

    Je, utaratibu wa Serikali kuwapangia wahitimu sekondari vyuo binafsi umerudi?

    Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata sifa hawana. Tulifikia mahali ambapo wahitimu form six walikua wanapangiwa vyuo vikuu binafsi kwanza...
  16. Mparee2

    Mafunzo ya VETA yawe ni muhimu kwa wahitimu wa kidato cha nne na sita

    Nimekuawa nikiwaza Hivi tukipata kampuni kubwa mfano toyota ijenge kiwanda Tanzania ihitaji vijana 1000 walio somea kupaka rangi kwenye magari tutapata? Wakihitaji vijana 1000 walio somea Kuchomea tutapata? Wakihitajika vijana 500 waliosomea kutengeneza pancha na kujaza upepo kwenye magari...
  17. john issa

    Wahitimu walipwe pesa ya kujikimu

    WAKUU, WASALAAM serikali yetu kwa sasa inavuna pesa nyingi, mfano Tozo kwenye miamala ya fedhaa tuchukulie makato ya 800 zaman saiz ni 1350: serikali inachukua kama 500+ hivi........ Tanzania ina watu wanaokadiriwa kwa wastani 21000000+wanaofanya miamala kwa siku (500×21000000=10500000000) kwa...
  18. Roving Journalist

    Waziri Mkenda: Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA)

    Serikali kufanya tathimini ya wahitimu wanaomaliza katika Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) ili kuona namna wanavyoweza kujiajiri ama kujiajiriwa baada ya kumaliza mafunzo. Kauli hiyo imetolewa Januari,15 2022 jijini Arusha na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda katika...
  19. Deeboyfrexh

    Tetesi kuwa kuna 15,000+ wahitimu wa kwenda kwenye usahili wa PCCCB

    Kama hili nililosikia lina ukweli basi hali ni tete sana katika utaratibu wa ajira sahizi. Imagine nafasi ziko 350 tu ila raia wanaowania kinyanganyiro wanakaribua 20K.. Niwatakie kila la heri wadogo zangu najua sio kosa lenu ila ndio hali ya maisha ilipofikia hapo! Wale wenye uwezo msisite...
  20. John120

    Kwa wahitimu wa Mechanical Engineering.

    Kwanza nawapongeze wote mliosoma course yenye fursa nyingi popote dunian kama kama hii. Lakini course hii inahitaji watu wenye nia ya kujifunza na kujua vitu vingi sana vilivyo ndani yake. Bahati mbaya wahitimu wengi wamekuwa wahanga wa kutembeza vyeti kutafuta kazi ingali wanavitu vichwani...
Back
Top Bottom