Wadau, kuna shule ambazo serikali kwa utashi wake ilizitambua na kupeleka wanafunzi ambao inaamini ni vipaji maalum kiakili, mfano, Ilboru, Tabora school(boys and girls), Kibaha, Mzumbe, Kilakala na Msalato.
Lengo lilikuwa kuwatumia watu hawa katika kujenga taifa, je, wanaomaliza/waliomaliza...