wahouth

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Pakistan yatishia kuingia vitani dhidi ya Wahouth wa Yemen!!

    Pakistani: Waziri wa Ulinzi Khawaja Asif anaripotiwa kuonya kwamba kuendelea kwa mashambulizi kutoka Yemen dhidi ya Saudi Arabia kunaweza kulazimisha Islamabad kuingilia kati kwa sababu ya ahadi zake za ulinzi wa pande zote. Pakistani, Saudi Arabia na Uturuki zilisaini mkataba wa ulinzi wa pande...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Alikuwa mwanajeshi mkuu zaidi (mkuu wa jeshi la Houthis) kusema kweli Houth wamechea kichapo sana hawasemi tu lakini cha moto wanakipata

    Kuna msemo wa wahenga mficha magonjwa kifo humuumbua. Msemo huo umedhibitiks leo. Mkuu wa Majeshi wa Houthis, Meja Jenerali Mohammed Abdul Karim Al-Ghamari, aliuawa katika shambulio la anga la Israeli lililowaua mawaziri 12 lakini wao walificha kuuwawa kwa mkuu wa majeshi wa Kihouth Alikuwa...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Jeshi la anga la Israel likishirikiana na wanamaji wa Jioni hii wameenda kuwasalimia Wahouth huko Yemen!!!

    Jeshi la anga la Israel likishirikiana na wanamaji jioni hii wameamua kwenda kuwasalimia wahouth huko Yemen, lengo lao kubwa ni kumuona kiongozi wao Mkuu Abd al-Malik al-Houthi. Taarifa Kamili tutazipata baada ya ndege-vita hizo kulejea nyumbani. Wahouth Wame Una ugomvi huo kutoka kwa...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Baada ya Qatar, Israel inafanya mashambulizi kwenye mji mkuu wa Yemen, Sanaa muda huu

    Israel imetekeleza mashambulizi ya anga katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa, kwa mujibu wa taarifa kutoka vyombo vya habari vinavyohusishwa na waasi wa Houthi. “Uvamizi wa Israeli katika mji mkuu Sanaa,” iliandika televisheni ya Al Masirah kupitia Telegram siku ya Jumatano. Msemaji wa Wizara ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wahouth wa Yemen wanavyomtembezea Israel kichapo

    Tuliwambia Israel hawezi kupigana na Wahouth wa Yemen, ikiwa Baba yake USA alikimbia watu wakabisha. Leo wizara ya katiba na sheria imesambaratishwa kule Jerusalem sijui yule msafisha vyoo vya Tela Aviv Echolima1 ana habari au hana https://youtu.be/TdhfkMlnqO4?si=4w2kvIo5g4FeuHEj
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania YEMEN; Wahouth leo wanazika mawaziri waliouawa katika shambulio la Israel

    Magaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel. Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo. Hatimaye siku ya Alhamis...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wahouth huko Yemen wapata kipigo cha mbwa-koko kutoka Majeshi ya Israel!!!

    Jumapili ya leo Wahouth huko Yemen wamepata kipondo cha mbwa-koko tuwaombee tu!!
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Amri ya kuondoka kwenye Bandari 3 zinazomilikiwa na Wahouth imetolewa leo na Majeshi ya Israel!

    Msemaji wa IDF kwa Kiarabu anatoa amri ya kuhama au kuondoka kabisa karibu na bandari tatu zinazomilikiwa na magaidi hao wa Houthi. Amri hii imetolewa baada ya mashambulizi yasiyofanikiwa ya Wahouth dhidi ya Israel.
Back
Top Bottom