YEMEN; Wahouth leo wanazika mawaziri waliouawa katika shambulio la Israel

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Magaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.

Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.

Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
 
View attachment 3461089
na Ben Gavl kasema ndio mwanzo tu kama kitabu ndio wamefungua peji moja

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Hata hapo kwenye msiba wangetembeza kichapo tena na kesho wazike magaidi wengine na kesho yake wakipanga maziko hivyohivyo mpaka waache mizoga ya magaidi barabarani
Uko kwao Israel nako wasije kusubutu kuzika kwasasa mkono wa wapinzani unaweza kufika popote wkt wowote ndani ya Israel !!!
 
Magaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.

Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.

Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
View attachment 3461089
Daah IDF waungwana sana maana sio kwamba hawajui hili tukio la mazishi laa hasha Bali Kwa roho ya unyenyekevu na uungwana uliotukuka wameamua wawaache wawazike wapendwa wao kisha kazi inaanza upyaaaa!!
 
Siyo ajabu kila kukicha wapiganaji wanamiminika Gaza kupigana bega kwa bega na Hamas.
 
Magaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.

Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.

Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
View attachment 3461089
Wengi hawaelewi bado kuwa huwezi kushindana na Israel ukashinda. Na kuanzia sasa Israel ndiyo itatawala vyombo vya habari duniani maana tupo siku za mwisho. Kumbuka tu kuwa Biblia imetabiri kuwa siku za mwisho Israel itarejea jwenye ardhi yake na hakuna mtu ataweza kuwaondoa tena. Hata dunia yote ikienda kuipiga hawataweza.
 
Kuna hawa hapa chini walijaribu wakashindwa wakawa maiti!!!
 
Attachments

  • IMG_4074.jpeg
    IMG_4074.jpeg
    161.1 KB · Views: 39
Back
Top Bottom