Albano Daud
JF-Expert Member
- Aug 23, 2025
- 215
- 246
Hatari thana
Sawa Malkia Zumaridi, ahsante kwa taarifaMagaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.
Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
View attachment 3461089
Wengi hawaelewi bado kuwa huwezi kushindana na Israel ukashinda. Na kuanzia sasa Israel ndiyo itatawala vyombo vya habari duniani maana tupo siku za mwisho. Kumbuka tu kuwa Biblia imetabiri kuwa siku za mwisho Israel itarejea jwenye ardhi yake na hakuna mtu ataweza kuwaondoa tena. Hata dunia yote ikienda kuipiga hawataweza.
We kenge umemuona wapi Abu Obaida au mnatuletea story za Paulo kumuonavYesu ndotoni wakati hamjui 😄 🤣Wewe Bwege umejuaje kuwa huyo ndiye Gaidi Abu Obaida?
Pole sanaWafuga Midevu na Majini ni wabishi kama mshipa!!
Mama.....Magaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.
Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
View attachment 3461089
Mimi na kuhakikishua 💯 Abu Obaida yupo haiMnajifunga kama Marehemu Abu Obaida ili kutuzuga!!
Kitu muhimu awepo dada yako huko ili tumchangamkie 🤣Hapo bikra, 10x72=720,zipo kwenye hekaheka ya kutolewa Huko Jongomeo 🤔