Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Hawa watu maandiko yao ya kiimani yanawachonganisha na majirani zao wasioamini kwenye imani yao. Kule tu kuamini kuwa mYahudi ni adui wa uislamu ni tatizo kubwa. Mbaya zaidi wanasema ni eternal. Kwamba milele yote muIsrael ni adui wa dini yao.Magaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.
Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
View attachment 3461089
Ninayoyasema. Ni kuwa mashariki ya kati kuishi ukiwa si muislaamu ni kujitoa mhanga. Tazama Yezidis, WaKristo wa Lebanon, jamii ya wachache kule Syria nk.
Sasa ili uishi mashariki ya kati ni lazima uwe roho ya ki Yahudi.