wahudumu wa gest

  1. Full charge

    Nani mwenye siri nyigi za watu kati ya hawa?

    (1)Mhudumu wa gest (2)Daktari (3)Boda boda (Bodigadi) (4)Mganga wa kienyeji (5)Mtunza siri za bosi (6)Baharia (7)Rais NB:Orodha ni ndefu sana unaweza ongezea kadri uwezavyo,ila hii dunia kuna watu wanaijua nje ndani na hawasemi maana wanakutana na vitu vya ajabu sana.
Back
Top Bottom