wahudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Toons

    Umewahi kukumbana na Kero gani katika Huduma za Afya?

    Habari, Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake. Je, umeshawahi kukutana na kero gani katika kupata Huduma za Afya Kishingo akusaidie kuisemea?
  2. Wizara ya Afya Tanzania

    Serikali imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo Wahudumu wa Afya

    Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo jumla ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wapatao 137,294 katika mikoa yote 26 ya...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Wahudumu wa mikopo ya mitandaoni walinipigia kabla ya muda wa marejesho nikawaambia kuwa sitawalipa kwakuwa wameniletea usumbufu. Sijawalipa

    Muhudumu wa kwanza alinipigia siku moja kabla ya siku ambayo nilipaswa kulipa na kuniambia nifanye malipo haraka kuna zawadi. Nikamjibu kistaarabu tu siku ikapita. Muhudumu wa 2 alinipigia siku ambayo nilipaswa kulipa nikamwambia atulie kwakuwa wameweka interest kwa kila siku inapoongezeka ...
  4. K

    Kituo cha Afya Makuburi wahudumu wenu wa maabara wachunguzwe

    Habari, Niko hapa tangu asubuhi nimemsindikiza mke wangu kufungua kadi ya mama mjamzito. Tangu nimefika muda huo, kwanza wajawazito wanaofungua kadi nao wanachanganywa na wagonjwa wa kawaida kitu ambacho ndiyo kwanza nimekiona leo hapa. Pili nimeandikisha mapokezi tukaelekezwa maabara tukiwa...
  5. G

    TBS ni wahujumu uchumi

    Shirika la viwango Tanzania lina jukumu kubwa la kusimamia viwango vya bidhaa zinazozalishwa hapa nchini na zile zinazoingizwa kutoka nje. Ajabu ni kwamba Soko la bidhaa mbalimbali kutoka nje limefurika bidha zisizokIdhi viwango, fake. Bidhaa nyingi kutoka China, hasa vifaa vya ujenzi na...
  6. D

    Wale Matapeli wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" Wanakula na baadhi ya wahudumu wa mitandao ya simu

    Amini nawaambieni! Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu! Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa simu mufanye kama mnapatana na kuelekezana kwamba akutumie" Baada ya kumaliza mazungumzo utashangaa...
  7. D

    Waraka mfupi wa maombi, toka kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jami kwenda kwa Waziri wa Afya

    Copy and Pasted WARAKA WA MAOMBI YA KUPEWA FURSA YA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA KOZI NYINGINE ZA AFYA KWA KUTUMIA CHETI CHA UHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (COMMUNITY HEALTH WORKER). Kwa Waziri wa afya Katibu mkuu wizara ya Afya, Mkurugenzi wa idara ya mafunzo wizara ya afya, Kwanza kabisa...
  8. M

    Wimbi la wahudumu wa baa kuhudumia huku wamebeba watoto mgongoni limekithiri. Watoto vichanga wanaathiriwa ma muziki mzito

    Kila mara nikimaliza kuuza kangala na kupiga soga na walimu ambao ni wateja wangu. Ambao nao wanakasumba ya kubugia kangala huku wanapapasa matablet waliogawiwa na rais Samia huwa naenda baa kupiga lager mbili tatu. Cha ajabu huwa nakuta wahudumu wakiwa baa na watoto mgongoni huku mziki mnene...
  9. Pang Fung Mi

    Wahudumu wa Bar (Barmaids) Arusha wamezidi kuwa Omba Omba na wanapenda kunywa Heineken na Windhoek beer

    Wasalaam JF, Arusha ni kiboko Kila bar ukienda wahudumu hawa Barmaids ni Omba Omba wa hatari, hawa mademu wanaringia matako, kuvaa vimini skirts uniform wanadhani ndio silaha kuu, ukitumia uungwana tu wa kucheka na au ukampa ofa siku moja basi anataka akufanye danga mshika pembe siku zote hadi...
  10. F

    SoC03 Wahudumu wa afya, msinyanyase wagonjwa na wajawazito. Wanaosababisha vifo vya makusudi washitakiwe kwa mujibu wa sheria

    UTANGULIZI Tunamshukuru Mungu kwa neema alotupatia kua hai hadi sasa. Ni jambo lisilopingika kwamba, kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwa wahudumu wa Afya kutokujali wagonjwa na mara kadhaa kutojali akina mama wajawazito. Changamoto hii hupelekea baadhi ya wajawazito ama wagonjwa kupoteza...
  11. Mchochezi

    Kilimanjaro Bus watangaza nafasi 30 za wahudumu wa mabasi huku wakijitokeza zaidi ya wadada 200 katika usaili

    Jana kulifanyika usaili wa kutafuta wadada watakaohudumu katika mabasi ya kampuni ya mabasi ya Kilimanjaro. Nafasi zilikuwa 30 tu lakini waliofika katika usaili huo ni zaidi ya 200. Wengi wao wakiwa ni wahitimu wa vyuo vikuu. Hongereni wadada wote mliojitokeza katika interview hakika mmethubutu.
  12. Roving Journalist

    Nchi 5 za Afrika zaweka mkakati wa kutoa mafunzo na kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Mawaziri wa Afya wa nchi 5 ikiwemo Tanzania, Rwanda, Sierra Leon, Ethiopia na Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekutana na kuweka mkakati wa kutoa mafunzo rasmi angalau ya mwaka mmoja, hatimaye kuajiri Wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwa ajili ya kuimarisha Huduma za Afya ya Msingi. Haya...
  13. Teslarati

    Kwa nini wahudumu wa bar na madada poa wengi wanatumia mtandao wa airtel

    Legends mnasemaje, au mimi nnaangukiwa sana na wanaotumia Airtel vp? Sababu asilimia 90 ya barmaid au pisi nlonao kwenye simu yangu namba zao ni za Airtel, leo nmekutana na kisu mmoja tena hapa ile kunipa namba naona ni Airtel. Wadau inakuaje hii?
  14. Uwa zuri

    Wahudumu channel kweli wanaunganisha watu na ajira?

    Habari watu wa humu. Nilikuwa nataka kujua hawa wanaojiita WAHUDUMU channel ni kweli wanaunganisha watu na ajira? Siyo matapeli? Wananiambia ofisi zao zipo Manzese, kama Kuna mtu ashawahi kupata ajira kutoka kwao tafadhali naomba anieleweshe.
  15. Tengeneza Njia

    Hivi maana ya kuwa na madirisha ya Wahudumu 5 au 7 benki ni nini?

    Hii imekuwa ni kero ya muda mrefu sana sana sana, unaenda benki unakuta kidirisha kimoja au viwili tu ndo yana wahudumu mengine yote "closed" na nyomi la watu ni kubwa, watu wamekaa muda mreefu na hakuna kinachofanya na meneja kuangalia urgency na kuamrisha Watendaji wake kusaidia wateja...
  16. Mshana Jr

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno. Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa . Kushindwa...
  17. comte

    Zitto sawa wahudumu walifungua mlango, je waliwapa abiria wao maboya?

    Kwa wanaijua na waliowahi kusafari na ndege watakubaliana na ukweli kuwa milango ya ndege inaweza kufunguliwa na mtu akiwa ama nje ya ndege au ndani ya ndege. Wahudumu wa ndege wamefundishwa kufanya kazi hiyo wakati wa kawaida, dharura na hatari. Kumekuwa na mabishano yasiyo na tija na...
  18. KAGAMEE

    Ujuzi mdogo wahudumu wa DStv

    Wakuu bila shaka ukiacha wakazi wa Dar wengine wote MMEOGA. Kuna kitu kimenishangaza sana.Nililipia kifurushi Dstv lakini Channel hazikufunga ndani ya siku 9.Kila nikiwasha TV yangu nilipokea ujumbe huu THIS CHANELL IS BLOCKED BECAUSE IT MAY NOT BE PART OF YOUR PACKAGE (mwisho wa kunukuu)...
  19. GENTAMYCINE

    Waziri Mkuu Majaliwa, Wahudumu wa Ndege ya Precision Air wanasema Wao ndiyo Walifungua Mlango. Huyu Muokoaji ‘Majaliwa’ aliufungua upi?

    "Sisi ndiyo tulifungua Mlango wa Ndege kisha tukawaona Wavuvi na Mitumbwi yao wanakuja na kuanza Kushirikiana nao katika Kuokoa Abiria na baadae nasi pia Kuokolewa" Wahudumu wa Ndege ya Precision Air iliyotumbukia tarehe 6 Novemba Ziwa Victoria Bukoba Mkoani Kagera. "Huyu Kijana tena Wajina...
  20. MKUSHI90

    Nahitaji wahudumu wa Bar

    Ninahitaji wa hudumu wa bar, bar ipo wilaya ya kibondo mkoa wa kigoma inaitwa MKUSHI PUB kwa aliye tayari anicheck 0744491978.
Back
Top Bottom