Kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya, Dkt. John Grace Walugembe anakuwa mhudumu wa 5 wa Afya kufariki kutokana na ugonjwa huo uliosababisha vifo 20 na maambukizi kufikia watu 58
Katika kukabiliana na kasi ya maambukizi Rais Yoweri Museveni ametangaza kuziweka Karantini ya siku 21 wilaya 2 za...
IFIKE MAHALA WANAKWAYA NA WATOA HUDUMA KANISANI WALIPWE MISHAHARA KWA MWEZI!
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Hii ni mara ya tatu nazungumzia Jambo hili. Mara ya Kwanza nililizungumza mwaka 2012, mara ya pili 2020, Kutokana na Unyeti wa Jambo lenyewe.
Mambo ya Huduma za...
Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi
Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja.
Location Moshi Njia Panda.
Kwa wahitaji piga 0685940663
kuna benki zina madirisha hadi 8 ila hali ipo hivi hivi
Yaani kwenye mabenki yetu haya uje kukuta madirisha yote yana tellers ni kama muujiza hivi, Nakumbuka zamani nikiwa chuoni nimetumiwa ada usiku niende kulipia asubuhi niliponea chupu chupu nisifanye mtihani isingekuwa huruma ya waliopanga...
Tarehe 22 julai rais putin alilalamika kupata kichefuchefu kisicho cha kawaida hali iliyosababisha matabibu zaidi kuitwa ili kumhudumia. Taarifa hizo zilitolewa katika mtandao maarufu wa telegram katika chaneel ya SVR inayomilikuwa na Luteni Generali wa zamani katika vikosi vya ujasusi vya...
Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa.
.
Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero.
...
Wafanyakazi na wanaojitolea zaidi ya elfu mbili wa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing wamepiga picha ya pamoja ya ukumbusho tarehe 21 mwezi huu katika Uwanja wa Michezo wa Taifa mjini Beijing, China baada ya michezo hiyo kumalizika. Waliosimama kwenye barafu ni wahudumu...
Bila shaka mnaendelea na maandalizi ya sikukuu!Mida ya saa nne leo asubuhi kuna mtu kaniomba vocha nikaona isiwe kesi nikaingia kwenye Mobile App yangu ya NMB ili nimnununue mda wa maongezi mhusika.
Nimeingia nikamtumia elfu 10 kama mda wa maongezi ili ajiunge mwenyewe,Nmb wakanipa taarifa hela...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi.
Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno.
Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo.
Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
Sifa za waombaji,
1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30.
2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy)
3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele.
4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo.
Mshahara kwa mwezi ni tsh 360,000/=
Chakula cha asubuhi na...
Nimepokea ujumbe unaonitahadharisha kufungwa kwa line yangu.
Na nikatumiwa namba ili nitume vitambulisho vyangu, jamani kuweni makini.
Details zako ndizo zitatumika kama njia ya kukutapeli.
Cha kuzingatia chunguza logo ya masage kutoka airtel, huwa inaanzia herufi kubwa na kufuatilia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.