wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Niache Nteseke

    Wahuni wenzangu wa JF ningependa tutambuane wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Natumai ndani ya JF tuna watu smart & peace kabisa, sasa ningependa tutambuane please. Kama wewe ni muhuni mwenzetu hebu dondosha signature hapa chini mkuu. Nawasilisha.
  2. Zanzibar-ASP

    Tuseme ukweli, CCM ingewezaje kuwepo madarakani mpaka leo hii bila uhuni na wahuni wake?

    Kwa sasa kumekuwa na vita kali ya maneno, dhihaka, majigambo, vitisho na kebehi mbalimbali baina ya makundi mawili ndani ya CCM, kundi moja likiunga mkono utawala uliopita wa Magufuli (huku likikosoa vikali utawala wa sasa wa Samia) dhidi ya kundi linalounga mkono utawala wa sasa wa Samia (huku...
  3. jingalao

    Upo uwezekano kuwa Lissu alipigwa risasi na wahuni ili Magufuli achafuke

    Viashiria vinaanza kuonesha kuwa kuna uwezekano wahuni waliamua kumdhuru lissu ili kuichafua Serikali ya Magufuli. Tukio hili limeshangaza wengi na hayati Magufuli alishindwa kulilieleza kutokana na mshangao.
  4. S

    Bulembo: Polepole ni Unyasi kaletwa CCM na kokoro, V8 ameijulia CCM, Bashiru alitoka CUF. Nataka Mdahalo na Polepole

    Maneno ya Bulembo! Polepole ni unyasi mkavu ni mdogo sana Mangula ashughulike naye. Bulembo anataka mdahalo na Polepole na yuko tayari kulipia ukumbi. Bashiru wa CUF hakutakiwa kuwa pale maana hajakulia katika chama cha mapinduzi! Sasa najiuliza kumbe chama cha mapinduzi ili uwe kwenye kundi...
  5. THE BIG SHOW

    Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

    Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
  6. Vugu-Vugu

    VIDEO: Kiashiria cha mtu muhuni na asiyefaa kuaminiwa na Jamii yoyote iwayo duniani

    Je! inawezekana Mtu anayetutukania mama zetu wa kutuzaa Yeye akawa sio Muhuni ? #HUYU SASA NDIO MUHUNI WA WAHUNI MSIKILIZE KWA MAKINI,
  7. Idugunde

    Ni wakati wa WanaCCM kuwakataa wahuni wanaoleta matabaka ndani ya Chama

    Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama. Matabaka ni mbinu moja ya wahuni kukidhoofisha Chama chetu kwa maslahi yao, tuikatae tabia hiyo #kataawahuni.
  8. jingalao

    Rais Samia usiwasikilize wala kuendeshwa na wahuni simama na Ilani ya CCM

    Huu ni wito. wapo wahuni huku mtaani walioanza kujitanabaisha na kujipendekeza kwako yaani wakijidai wamerudi kwenye "game"na wakitumia jina lako. Sisi wazalendo tunakujuza kuwa hao ni wahuni tu na ni watumia fursa. chapa kazi na kazi iendelee na kamwe wasijitwike ujuaji eti wanasaidia au...
  9. jingalao

    Wahuni wakiachwa watambe bei za kila kitu zitapanda

    Kama wahuni wanaosemwa na Ndugu Polepole wakiachwa tutashuhudia kila kitu kinapanda bei na kila inayoitwa leo tutashuhudia upuuzi tuliowahi kuondokana nao. Bei ya mafuta ya kula na ya magari zitapanda kwa saabu ya wahuni. hii itapelekea chaos nchini kwa kupanda kwa kila bidhaa na gharama za...
  10. K

    Katikati hali ya kushangaza na rushwa ilivyokithiri mamlaka za mkoa wa Tabora zadaiwa kuruhusu Kanisa kujengwa katikati ya barabara

    Katika hali ya Kushangaza sana mamlaka za mkoa wa Tabora zimeruhusu kanisa la wahuni kujengwa katikati ya barabara na kuziba barabara katika mtaa wa Kariakoo , kata ya Kitete , wilaya ya Tabora mjini , mkoa wa Tabora . Licha ya kikundi hicho kinachojiita kanisa kutokuwa na kibali cha ujenzi...
  11. J

    Dkt. Kigwangalla: Tulichongewa tulisimangwa na tulisingiziwa na kunyanyaswa lakini nashukuru Rais Samia ameujua ukweli

    Mbunge wa Nzega vijijini Kigwangalla ameandika kwenye ukurasa wake twitani kwamba, Tulionewa Tulisimangwa, Tulisingiziwa na Kunyanyaswa na watu waliokuwa na access lakini sasa mambo yao yako wazi tena yana ushahidi. Namshukuru Rais Samia kwa kuliona hilo. Kiukweli Lumumba moto unawaka sawia na...
  12. R

    Nitamsaidia Humphrey Polepole kutaja wahuni(Hooligans) ambao sio tu hawakumalizwa bali waliongezeka awamu ya tano mara 100 zaidi

    Mh Polepole naona anazunguka sana kuwataja majina na level zao wahuni ambao anadai Serikali ya Awamu ya Tano ilishindwa kumalizana nao. Kwanza Polepole anakubali kuwa Wahuni hao ni wanachama wa CCM. Pili Mh Polepole hakatai kuwa Wahuni hao (Hooligans) ni viongozi ndani ya chama na wengine...
  13. Nyankurungu2020

    Hayati Magufuli na serikali yake hawakumaliza wahuni "anonymous" wanaolisumbua taifa letu

    Ndio maana kila siku tunashuhudia maajabu ya upigaji dili maana kumbe bado kuna wahuni kibao bado wapo. Inawezekana wakatusumbua sana kama taifa hatutakabiliana na wahuni ambao, wanatishia watu maisha, hawalipi kodi, wanazua madili ya kuliibia taifa letu kila kukicha, wanadhulumu wananchi wanyonge.
  14. kenny mtanashati

    Dada zangu kwanini mnawapenda wanaume wahuni?

    Wakuu kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu hawa dada zetu mbona hawaeleweki? Kuna mwanangu mmoja hana muonekano hana hela ila ni muhuni anavuta sigara lakini wanawake wanampenda mno awala sana yaani ghetto kwake mezani amepanga sigara. Halafu kuna siku alimleta demu akampiga baadae aakaanza...
  15. Christopher Wallace

    Shaffih awaita wachezaji wetu kikundi cha wahuni, huu udhalilishaji tumeuchoka sasa

    Leo nina swali moja tu, nani anamtuma shaffih kuitukana na kuisakama Yanga? yaani wachezaji wetu wahuni? Huyu inabidi afunzwe adabu kwanza
  16. Opportunity Cost

    Ukwepaji huu wa kodi kwenye minada, Serikali na TRA Mnazidiwa mbinu na Wafanyabiashara Wahuni?

    Umofia kwenu. Nimesoma makala moja imenisikitisha kidogo Kuhusu ukwepaji kodi unafanyika kwenye biashara za minada huku TRA ikiambulia hasara. Haiingii akilini mfanyabiashara akadhamilia kukwamisha mnada kwa kutaja bei kubwa alafu anatokomea na nyie mlioandaa functions mnaishia kula hasara za...
  17. Komeo Lachuma

    Hapa sasa mnatukosea hata sisi ambao huwa tunapenda kuwatendea mema mnataka wote tuwe wahuni?

    Huyu dada nmeanza naye uhusiano baada ya kukutana naye Mlimani City. Tukale wote na kupata nafasi ya kufahamiana. Then nikamrudisha Chuo. Yupo hapo Chuo cha Ardhi. Last weekend akanambia yupo bored tu anatamani tupate muda wa kuwa pamoja.nikasema hewala baby unataka iweje akanambia niamue mimi...
  18. K

    Waliozuia Biashara kariakoo ni chombo si wahuni, alichofanya RC nimaelekezo toka juu

    Ni vigumu wahuni wakaingia kariakoo nakufunga biashara za watu, waliofanya Yale Ni vyombo n walikuwa na maelekezo yakufanya hivyo. Kama ni wahuni Basi kamanda wa polisi ilala na hata kanda maalumu anafaa kutumbuliwa kwa kushindwa kusimamia ulinzi na kwa kutodhibiti uhalifu hata baada ya vyombo...
  19. K

    Tabora: Sakata la Kanisa lililojengwa kuziba barabara na kupiga muziki saa 24 kumbe ni genge la wahuni ( 5 )

    Kufuatia ripoti za kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 huko kata ya Kitete , mtaa wa Kariakoo Tabora imebainika kuwa kinachoitwa kanisa ni genge la wahuni vijana watupu wasiozidi miaka ishirini na tano ndio wanaoendesha uhuni huo 1. Kinachodaia kanisa...
  20. OKW BOBAN SUNZU

    Sisi Mtibwa Sugar tunataka polisi kuimarisha ulinzi Uwanja wa Taifa kukabiliana na wahuni wa Yanga

    Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wa Yanga. Tunalitaka jeshi litoe onyo kabisa kabla ya mechi,wahuni wanaokuja na matoeo...
Back
Top Bottom