wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    Askofu Mwamakula sio mhuni, wahuni ni nyie mnaotetea maovu. Watanzania tunataka Katiba Mpya

    Watanzania wanahitaji katiba mpya maana wanajua fika mwarobaini wa matatizo yao. Katiba mpya ndio itayokata mzizi wa fitina wa kila shida inayowakabili Watanzania. Mfano tunataka Katiba ambayo itaruhusu kila mtanzania kuwa na mamlaka ya kusimamia haki za binadamu wenzake,mathalani mtu akiuliwa...
  2. kalamu chuma

    Kaliua Saga: Vita ya Madaraka na uhuni wa wahuni

    Ulipofika wakati wa kustaafu mzee Nchimbi (the former DEO) watu walitarajia kupata promotion kuchukua nafasi yake lakini haikuwa hivyo badala yake akaletwa Martin Mahinda kushika madaraka ya DEO. Watu wakaanza kumsoma DEO mpya ni nani na kwa nini kaliua. Kutokana na uchanga wa wilaya nafasi...
  3. YEHODAYA

    McConnell proposes delaying impeachment trial until February so Trump team can prepare

    (CNN)Senate Minority Leader Mitch McConnell is proposing that the Senate give former President Donald Trump's legal team two weeks to prepare for the upcoming impeachment trial once the Senate receives the article and delay its start until mid-February. McConnell's proposal to Senate Majority...
  4. R

    New Year ndio nimeona faida ya kufahamiana na wahuni wa mtaani

    Habari za mwaka 2021 wadau Twende kwenye mada, nikiwa somewhere nausubiri mwaka mpya nilipata msala nadhani wengi mnajua maeneo unayoishi mtu lazima kunakuwa na vijana wahuni wanaokaa hapo mtaani, hawa watu wakikuzoea sometime ni shida wanaombaomba usipime kila akikuona iwe baa iwe njiani...
  5. Chagu wa Malunde

    Kulalamika tumeibiwa kura za kwenye mabegi huku hamuendi Mahakamani, tuwaeleweje?

    He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana. Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa. Mbona hamfungui kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa...
  6. Pdidy

    Maziko ya Ndugu Minyembe: Polisi Kawe tunaomba ulinzi msibani, vijana wamepanga kufanya fujo

    Ni vyema tusisubiri maafa, tutoe angalizo mapema. Maziko ni kesho Ndugu zetu marafiki zetu wa Kawe Polisi, tunatoka msibani kunasikitisha ukiacha majonzi yanayoendelea. Naamini mmeshapajua hapo msibani karibu na geti dogo la Lugalo. Bajaji kumi kidogo zimeshusha wahuni wanavuta bangi msibani...
  7. Komeo Lachuma

    Ngoja nikwambie sasa, sisi wahuni wa miaka ya 90 na tulivyo sasa

    Unajua nawacheki vijana wa kisasa naona kama wanaigiza uhuni kuliko uhalisia. Sisi tuliishi nyakati za hatari miaka ya 90 halafu bado tumebaki na akili za kusimulia vijana. Umetoka Ubungo ukapita External, ukapita Garage kituo kinachofuata ni Tabata Relini (Mwananchi) Ukishuka pale unavuka...
  8. Q

    Halima Mdee, Mwenyekiti wa BAWACHA aidha ajiuzulu au aondolewe haraka kabla hajaleta madhara kwa Chama

    Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa. Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu...
  9. GENTAMYCINE

    Je, Jeshi la Polisi limeshindwa kushughulika na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' katika 'Fukwe' za Dar?

    Hivi IGP Sirro na Watendaji wako umeshindwa kweli 'Kukabiliana' na hawa 'Wahuni' waitwao 'Beach Boys' huku katika 'Fukwe' za Bahari ya Hindi ambao tabia yao ya Kujifanya Wanawafundisha Mabinti / Wanawake 'Kuogelea' kisha wanawapeleka Maji Marefu na Kuwatishia 'Kuwazamisha' kufanya nao Ngono...
  10. Troll JF

    Uchaguzi 2020 Wapi kimbunga cha Bernard Membe jamani?

    Hivi karibuni tuliambiwa kuwa kutakuwa na Kimbunga cha Bernard Membe. Kiko wapi? Je aliwalaghai wananchi mbona hata hajatoa taarifa za Kukacha Kampeni? Je, ulaghai kama huu wananchi watauvumilia kweli na Kumpa kura tarehe 28?
  11. Troll JF

    IGP Sirro awaonya wahuni wanaotaka kuvuruga Msiba wa Mzee Mkapa

    IGP AWAONYA WALIOPANGA KUVURUGA SHUGHULI YA MAZISHI YA MZEE MKAPA “Kama kuna watu wanataka kuiharibu hii shughuli yetu tutawashughulikia,” – Kauli ya IGP Simon Sirro akiwaonya wanaopanga kuvuruga shughuli ya mazishi ya Mzee Mkapa. Ikiumbukwe mapema ya leo Vikosi vya Ulinzi na Usalama Vilizuia...
  12. Mwanahabari Huru

    Msafara wa Viongozi CHADEMA wazuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru kumuaga Mzee Mkapa. Waitaka Serikali itoe maelezo...

    Msafara wa Viongozi Wakuu wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, wamezuiliwa kuingia Uwanja wa Uhuru walikokuwa wameenda kuhudhuria shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa. Mwenyekiti wa Chama...
  13. MsemajiUkweli

    Video na Picha: Ushahidi kuhusu yaliyotokea kwa Jaji Warioba wakati na baada ya vurugu, Ubungo Plaza

    Jamiiforums is where we dare to talk openly! Kwa mwananchi yeyote ambaye hajafungwa kimawazo na kifikra, angalia vizuri hii video kwenye dakika ya 1:18 ili yale uliyoambiwa uchanganye naya kwako kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwa Paulo Makonda!. Mtoa mada katika mdahalo wa kujadili Katiba...
  14. M

    IGP Sirro, Tafadhali usiligeuze jeshi la polisi kama mob

    Kamanda Sirro, kuna clip inatrend kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha jeshi lako la polisi likivamia mkutano halali kabisa wa chama cha ACT wazalendo. Mkutano wao huo wa amani na wa ndani ulikuwa ungali ukiendelea huku wananchi wakiwa wanaimba nyimbo kumkaribisha kiongozi wao wa chama...
  15. M

    Riwaya: Wahuni Wote Peponi

    Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati Imetolewa: Mei, 2020 Mawasiliano: 0713538427 MOJA MIADI! Miadi ikisogea moyo huhakaika, kwa kasi na haraka huwa kama kidonda kinachopwita, pwi-pwi, pwi! Kufanya hivyo ni rai kwa mwili umsubiriao mwenza kwa hamu kuwa wasaa utawadia, huku matarajio ya mambo kuwa...
Back
Top Bottom