Mbunge wa Tarime, Mh. Waitara ni miongoni mwa wanadamu wanaopitia magumu sana jimboni kwake.
Waitara hakubaliki sio na wana CCM wala Wapinzani.
Na sasa wameanzisha mpango kazi wa kumuondo ndani ya chama chake asigombee tena ubunge.
kwa ushauri huyu pamoja na Gambo watafute kazi nyingine za...
Wakuu huyu mzee wenu bila kuitaja CHADEMA hasikii raha kabisa
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, ameishutumu CHADEMA kwa kile alichodai kuwa chama hicho kimekuwa kikiwatumia vijana wa Tarime kama majeshi ya kukodi kwa ajili ya vurugu katika maeneo...
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema kuwa hatoweza kurejea Bungeni iwapo Serikali haitachukua hatua za kutatua changamoto za migogoro ya wakulima na wafugaji, miradi ya maji isiyokamilika, na hali ya miundombinu ya barabara jimboni kwake. Hata hivyo, Waitara amesisitiza...
Kada ya CCM Tarime mkoa wa Mara Zakayo Wangwe aelezea kwa kina hali ya siasa Tarime na changamoto iliyopo ikiwa mbunge wa CCM Waitara atapitishwa kugombea 2025
Kada Zakayo Wangwe amesema kuwa kuna makundi ya CCM Halisi na CCM wakuja ya Waitara yanayokinzana na kumlaunu mbunge Waitara ndiye...
Mbunge wa Tarime vijijini Mwita Waitara, amewataka wapinzani wahamie CCM kwa kuwa ni sehemu salama.
"Niwaite na wale wote waliokwazwa ndani ya kile chama waje hapa ndiyo sehemu salama, huku unazungumza kwa uhuru walioko nje wamechelewa kuja, unamuona Profesa Kitila sasa hivi ni Waziri, Silinde...
Kuna vurugu CCM Mara ambazo zinasababishwa na watu kukitafuta kiti cha ubunge cha 2025. Kwa hiyo inatokea hali kwamba watu wanatukana,pia hawasiti kushambuliana kwa silaha.
Ni jambo baya. Kama alivyokuwa anasema Mhe.Kiboye,"Sisi wore ni CCM,kwa nini tunagombana.?"
Nawaomba hawa watu watanzue...
====
Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya Babati, Victor Kimario ameieleza Mwananchi Digital kuwa kesi hiyo imetajwa leo Jumatano Desemba 27, 2023 mbele yake na ameifuta baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuwasilisha taarifa ya kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.
Kesi hiyo ilifunguliwa na...
Msikile Waitara akitema cheche hapa
Asema watanzania wengi wanaisha maisha ya ufukara sana kiasi cha kushindwa hata kuwalipia ada watoto wao na kwenda kuomba msaada wa kufanikishiwa jambo hilo, akisema watumishi wa umma wote wanasomeshwa na watanzania na wana elimu ya kutosha, na kwamba...
Hii nimeona leo mitaa ya Bunju!
Bodaboda kwa sasa jijini Dar ni donda lisilo na dawa.
Hata akiiona hali hii IGP Wambura atatamani arudi kozi ya utrafiki CCP, Moshi
Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini".
Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika.
Unapokuwa Bungeni unatakiwa...
Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
Mhe. Rais nimekushukuru kwa kumtumbua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Binadamu tunatakiwa tuwe na utu, upendo, mshikamano na weledi katika utendaji kazi za umma.
Mhusika aliyetumbuliwa ajifunze kwa matamshi yake na afahamu kuwa watu wa Mara ni waungwana, wapenda watu na siyo wanafiki. Karibu...
Mjadala umeibuka kuhusu tabia ya Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kulia kila anapopata changamoto za utatuzi wa kero zake za kibunge, ambapo baadhi ya wanasaikolojia na wataalamu wa sayansi ya siasa; wakitilia shaka mtindo huo.
Hata hivyo, akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 10, 2023...
Waitara akihutubia mkutano wa hadhara Wilayani Tarime ameonekana akizungumza kwa jazba huku akiwaeleza Wanachi mambo mbalimbali. Akiwa katika mkutano huo Waitara alisema:
"Muda wa kubembelezana sasa umeisha, siku ile mliniona nalia nilikuwa natoa sumu. Siku ile ningekuwa hapa leo tungekuwa...
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Hizi ndiyo lugha ambazo serikali dhwalimu huzielewa.
Bila lugha hizi tutasubiri sana kwa madai yetu yote.
Kwani imekuwaje hatimaye Ruto na Gachagua kuongea lugha za kiutu kama hizi?
Viva wapambanaji wote viva!
Machozi ya waitara,ubabe wa
Julius Marwa
Tarime - Mara
Bila shaka yanayoendelea mkoani mara wilayani tarime kata ya nanyungu si ya kuachwa na kutazamwa yapite bali busara za mama zinahitajika haraka
Labda niwakumbushe kidogo watanzania wenzangu eneo hili lenye...
Watu wanaweza kuhamishwa na kuishi magorofani lakini wanyama, mifugo, madini na kilimo lazima viishi ardhini, Mwita hataki watu wa tarime wasogezwe kupisha mbuga ya Serengeti lakini anaona ni sawa watanzania wengine kuhamishwa Ngorongoro na wengine kuhamishwa kupisha ujenzi wa viwanja vya ndege...
Kwako bwana Mwikwabwe Mwita, kiranja mkuu wa Azania zamani, mwenyekiti wa kitivo cha sayansi UDSM zamani, Rais wa DARUSO zamani, mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa TANGA zamani, mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa kivule CHADEMA zamani. Mbunge wa ukonga CHADEMA zamani, mbunge wa Ukonga CCM na sasa wa...
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameilalamikia Serikali ya mkoa wa Mara kwa kutomshirikisha katika zoezi la uwekaji wa vigingi vya mipaka katika hifadhi ya Serengeti.
Waitara ametoa malalamiko hayo leo mach 28, 2023 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari...
Ni dhahiri kwamba Waitara "ameshauona mwisho" kabla ya kuufikia.
Leo amefanya mahojiano na waandishi wa habari akilalamika kwamba serikali imeweka mipaka ya hifadhi ya Serengeti bila kumshirikisha, Waitara alikuwa akilia kwa kwikwi na akijiapiza kwa kidole.
Anadai Chadema wamepita jimboni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.