waitara

  1. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

    Hii hapa ndio hali halisi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tarafa, Sirari
  2. mwanamwana

    Uchaguzi 2020 Mwita Waitara achukua fomu kuomba ridhaa CCM kuwania Ubunge Tarime Vijijini

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi- CCM kimpitishe kuwania Ubunge Tarime Vijijini Mkoa wa Mara. Mwita Waitara 2015 alikuwa Mbunge wa Ukonga kupitia CHADEMA kabla ya kuhamia CCM na kutetea kiti chake...
  3. J

    Uchaguzi 2020 Mwita Waitara: Nafasi zenyewe chache Ubunge wa nini?

    Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?" East Africa Radio My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau. Maendeleo hayana vyama!
  4. N

    Mwita Waitara ana kikao na viongozi wa kata kijijini Kangariani muda huu

    Muda huu ninaoandika taarifa hii, Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikabe Waitara akishirikiana na Mwenyekiti wa CCM Tarime, Ndugu Daudi Marwa Ngicho wamewaita viongozi wa kata ambao ni Mwenyekiti, Katibu na Mwenezi na wanafanya kikao kijiji cha Kangariani, ambako ndiko nyumbani kwao na...
  5. N

    Uchaguzi 2020 Mwita Waitara na mwenzake watoa milioni 30 kwa viongozi UVCCM Tarime kuwasaidia kushinda kura za maoni, hali zao ni mbaya

    MWENYEKITI UVCCM TARIME APEWA MILIONI 30 KUFANYA ZIARA KUMBEBA MWITA WAITARA NA GERALD MARTIN KUELEKEA KURA ZA MAONI TARIME MJINI NA VIJIJINI Uongozi wa UVCCM Tarime umeamua kuchukua mkondo wa kuegemea kwa watia nia, na tayari wameunda timu yao wanayoiita chaguo la vijana kuelekea mchakato wa...
  6. Kinoamiguu

    Mwita Waitara, pamoja na kuunga mkono juhudi barabara jimboni kwako ni mahandaki matupu

    Wakuu heshima ziwe kwenu. Huyu mwamba alikuwa mbunge wa upinzani . Aliyechaguliwa na kuaminiwa na watu wa jimboni mwake wakiwemo wale wa kanda maalumu ambao ni wengi jimboni humo. Alichaguliwa kwa sababu watu waliamini kwenye mabadiliko ya kweli sio ya ki propaganda. Wapo walioumizwa...
  7. S

    Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

    Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona. Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha. --- UPDATE--- Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha...
  8. N

    Uchaguzi 2020 Mwandishi John Marwa wa Dar24 akamatwa kwa kumkashifu Naibu Waziri Mwita Waitara

    Mwandishi John Marwa akamatwa na kunyimwa dhamana ya polisi kwa kumchafua naibu waziri Mwita Waitara - Ni katika malumbano ya kisiasa katika kundi la whatsapp la jambo Tarime - *Mpelelezi wake adai hawezi kumpa dhamana hadi amkamate mshitakiwa mwenzake ajulikanae kwa jina la David Gichogo...
  9. M

    Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

    WARAKA WA CHACHA WANGWE. UTANGULIZI. Jumamosi, June 28 mwaka huu wajumbe kadhaa wa Kamati Kuu ya CHADEMA walidai kuwa wamesitisha Umakau Mwenyekiti wangu katika kikao kilichofanyika mjini Dodoma siku hiyo. Kesho yake Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. FREEMAN MBOWE akaitisha mkutano wa...
  10. J

    Meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomfurusha Mwita Waitara akamatwa na polisi

    RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara. RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike...
  11. CHIPESI NAMISUKU

    CCM ikicheza na Waitara jimbo linaweza kurudi CHADEMA

    Nimekuwa na Interested sana na Siasa za Jimbo la Tarime vijijini kwa Sasa kuliko majimbo Mengine. Hii ni baada ya Naibu Waziri Tamisemi kuonyesha Nia ya kulitaka hili Jimbo kwa udi na Uvumba. Nini nakiona Tarime vijijini. Kuna Kosa kubwa la kiufundi linafanyika kwa chama changu NDANI ya Jimbo...
  12. Chagu wa Malunde

    Hakuna sababu ya kumchukia Waitara, ameonesha uzalendo wa hali ya juu

    Inashangaza sana kwa watu wenye akili timamu kumchukia mtu ambae amejitolea kulisaidia taifa kuibua ubadhirifu au ufisadi. Mwita Waitara alijilipua ili kuupa umma wa watanzania ukweli juu ya unadhirifu unaofanyika ndani ya Chadema. Mwita aitara amefanya jambo hili kwa kutumia haki yake ya...
  13. J

    Je, ofisi ya Naibu waziri Mwita Waitara imehamishiwa mkoani Mara?

    Nauliza tu waungwana maana kwa sasa Naibu waziri wa Tamisemi mh Mwita Waitara anapatikana zaidi mkoani Mara kuliko Dodoma yalipo makao makuu ya wizara. Kila waziri akiamua kwenda kufanyia kazi mkoani kwao sijui hali itakuwaje, maana nights zinaingia daily. Maendeleo hayana vyama! cc: Takukuru
  14. W

    Mwita Waitara anusurika kipigo cha mbwa mwizi Mwanza

    Naibu waziri wa Tamisemi anausurika kupokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Bwana Bwire Meya ( mkurugenzi wa shule za Alliance) wa huko jijini Mwanza. Hii migogoro ya Ardhi wamuachie Lukuvi. Chanzo: ITV Habari
  15. K

    Transcript ya tuhuma alizozitoa Waitara dhidi ya Mbowe in word format

    Ndugu zangu, Hakuna mtu asiyemjua Waitara na utendaji wake (alikuwa mtu wa sera na utafiti Chadema), anakijua vizuri sana chama ndani na nje yake. He was really a young and hardworking political leader ndani ya chama, ndugu huyu alikisaidia sana chama katika harakati za kukijenga chini ya...
  16. Wacha1

    Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

    ======== Mh. Waitara amesema kuwa baada ya wabunge wa CHADEMA kutangaza kuwa watahamia CCM na wengine wataenda NCCR Mageuzi basi wameshambuliwa sana na hasa Mh, Lijualikali. Amesema kuwa miongoni mwa watu ambao anawafahamu ni pamoja na Lijualikali, anadai alipoenda Mlimba na Kilombero wakati...
  17. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Njia pekee ya Mwita Waitara kuwa mbunge wa Bunge lijalo ni kuteuliwa. Hakuna jimbo analoweza kuchaguliwa kwa kura, hana ushawishi wowote

    Huyu Jamaa kwa sasa ni naibu waziri Tamisemi, aliingia bungeni kwa mbeleko ya Chadema 2015, kabla ya "kununuliwa" na ccm kwa bei ya kushangaza, ambapo kwenye hati ya makubaliano (nimeiona) kulikuwa na kipengere cha unaibu waziri . Hata hivyo mambo yamembadilikia na kwa sasa hakuna jimbo lolote...
  18. J

    Inakuwaje CCM yenye wabunge zaidi ya 250 inashindwa kujitosheleza kwa sifa za uwaziri hadi hadi wanateuliwa wapinzani na akina Mwigullu kurudi tena?

    Kwa idadi ya wabunge wa CCM ambao ni zaidi ya 259 inashangaza kwanini wanashindwa kujaza nafasi zisizozidi 50 kwenye baraza la mawaziri. Imefika wakati Rais Magufuli amelazimika kumteua Mwita Waitara aliyekuwa Chadema kabla ya kuhamia CCM na pia kuwarejesha barazani mh Simbachawene na Mwigullu...
  19. Mundamushimu

    Waitara ni Jembe, aamua kuifuta CHADEMA Mkoa wa Mara

    Jana Waheshimiwa madiwani wawili walihama CHADEMA na wanachama kibao leo tena viongozi wa mkoa, Kata, matawi na wanachama maelfu kwa maelfu wa CHADEMA wamehama na kwenda NCCR Mageuzi Chanzo TBC ARIDHIO
  20. N

    Uchaguzi 2020 Mwita Waitara achanganyikiwa, awashtaki wanaompinga kwa wazee wa kimila wa koo yake

    Hali ya Mwita Waitara katika jimbo la Tarime Vijijini imezidi kuwa mbaya sana na hivi sasa amezidi kuishiwa pumzi. Katika hali isiyo ya kawaida imebidi aende kushitaki kwa Wazee wa kimila wa koo ya Wairegi kuhusu watu wanaompinga wanaotokana na koo hiyo. Kwanza ameonyesha ubaguzi wa koo kuwa...
Back
Top Bottom