waitara

  1. J

    Kwa niliyoyashuhudia Gongolamboto leo hakika nitawashangaa sana wapiga kura wa Tarime kama watamchagua Mwita Waitara

    Kiukweli Mwita Waitara hafai kabisa kuwa mwakilishi wa wananchi popote pale Tanzania na duniani kwa ujumla. Mwita Waitara ambaye ni Naibu waziri tena Ofisi ya Rais amewatelekeza wapiga kura wake na sasa wanakufa hovyo kwa mafuriko baada ya madaraja karibia yote kubomoka jimboni kwake Ukonga...
  2. N

    Uchaguzi 2020 Mwita Waitara ahoji kwanini Naibu Spika Dr. Tulia hajaitwa kwenye kamati ya maadili?

    Kheri ya Pasaka kwa Watanzania wenzangu. Kama tunavyojua mwaka huu kuna harakati za Uchaguzi Mkuu na tayari wanasiasa wameanza kuzunguka hapa na pale katika kutafuta kuungwa mkono. Na kila chama kina taratibu, miiko, makatazo na kanuni katika kuelekea katika uchaguzi huo. Chama Cha Mapinduzi...
  3. J

    Mwita Waitara awa lulu mkoani Mara aweka historia ya kupokea wanachama zaidi ys 1400 kutoka CHADEMA na vyama vingine vya upinzani

    Mbunge wa ukonga mh Mwita Waitara amepokea wanachama wapya zaidi ya 1400 waliojiunga na CCM wakitokea Chadema na vyama vingine vya upinzani. Waitara ameweka historia ya kuwa kiongozi wa kwanza mkoani Mara na pengine Tanzania nzima kwa kuweza kupokea " Lundo" la wapinzani wanaojiunga CCM kwa...
  4. N

    Mwita Waitara afikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM mkoa wa Mara

    Naibu waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za serikali za mitaa (TAMISEMI) Mhe.Mwita Waitara amefika mbele ya kamati ya Maadili ya chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mara kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Chama hicho mkoa wa Mara Samweli Kiboye kujibu tuhuma mbalimbali zinazomkabili. Zikiwemo za...
  5. J

    Kwa kauli hii ya Dr Bashiru ni uhakika wahamiaji kutoka Upinzani akiwemo Mwita Waitara aliyekuwa Chadema hawatarudi bungeni

    Dr Bashiru amesema wabunge wote walioko madarakani watapimwa kwa namna walivyotimiza ahadi zao na jinsi walivyoielezea na kuitekeleza ilani ya CCM. Kimsingi hakuna mbunge wa upinzani au wale waliohamia CCM aliyetimiza ahadi alizoahidi. Naibu waziri Mwita Waitara kwa mfano amelikimbia jimbo la...
  6. N

    Uchaguzi 2020 Waitara: M/kiti CCM Mkoa Mara ana tumbo kama pipa, simuogopi

    Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikwabe Waitara amesema hamuogopi mtu hata kama ana kitambi kama pipa, aliyasema hayo katika kikao na wajumbe wa CCM wilayani Tarime alipoendelea kusisitiza adhma yake ya kugombea ubunge wa Tarime Vijijini. Alienda mbali na kusema hao wanaompinga yeye...
  7. J

    Mwita Waitara aagiza mwenyekiti wa CHADEMA aliyeuza kifisadi uwanja wa shule huko Tarime kukamatwa mara moja

    Naibu waziri Mwita Waitara amewaagiza Polisi kumkamata mara moja Mwenyekiti wa serikali ya mtaa kupitia Chadema aliyeuza uwanja wa shule kifisadi na kinyemela. Waitara amesema mwenyekiti huyo tapeli wa CHADEMA ameitia aibu serikali ya awamu ya tano kwa kitendo hicho cha kiutapeli. Naibu waziri...
  8. S

    Uchaguzi 2020 Mhe. Waitara na Eng Nyamhanga OR TAMISEMI ni wakati wa kusonga mbele msikatishwe tamaa mwanaandika

    Zimeibuka hoja mbali mbali zikiwaaandama nyakati hizi za kuelekea uchaguzi mkuu na ndio safari imeanza muwe na ngozi ngumu na kubwa zaidi endeleeni kuwatumikia wananchi maana waleta hoja wana malemgo yao ya kisiasa wakati Mhe Rais na Waziri na Watanzania wanawatarajia kuendelea kufanya kazi...
  9. J

    Waitara: NEC ni Tume Huru ya uchaguzi, 2015 niligombea ubunge kupitia CHADEMA Tume Huru ikanitangaza mshindi

    Naibu waziri. wa Tamisemi Mwita Waitara amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi, watakaosusa wasuse lakini wengine watakula. Source: Malumbano ya Hoja mubashara
  10. J

    Kwa kauli hii ya Mwenyekiti wa CCM kuhusu kura za maoni, Mwita Waitara amekurupuka kutangaza nia muda bado

    Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli amewataka wanachama wa chama chake kuacha kugombana kwa tamaa ya kugombea madaraka na hasa ubunge na udiwani. Rais Magufuli amewataka wana CCM kufuata taratibu na kanuni za chama kuhusiana na kura za maoni na kwamba waepuke tabia za "kukurupuka" Rais...
  11. J

    Mwita Waitara adai elimu bure maana yake ni wanafunzi kulipiwa ada na Serikali, mzee Mwamakula amshangaa na kusema mawaziri hawana maono

    Naibu waziri wa Tamisemi anayeshughulikia miundombinu ya elimu ya msingi na sekondari mwalimu Mwita Waitara amesema maana ya Elimu Bure ni wanafunzi kulipiwa ada na serikali. Waitara amedai kuwa wananchi wengi wanachanganya mambo kwa kudhani kuwa ujenzi wa miundombinu ya elimu yakiwemo...
  12. Hashpower7113

    Waitara, umekula ya mbuzi, lazima uote mapembe!

    Oyaa! Hepi new year wanangu wa nguvu, twente tweni hiyo ishatimba, kama vipi laifu linasonga, big up kwa Sir God kwa kutufanya tuendelee kusavaivu kibishi nini. Mazee mwaka umeanza na mbilinge kama zote, kuna ishu moja inanifurahisha kinoma! Kuna huyu mwamba, Mwito Weita, yule MP wa kipande cha...
  13. chiembe

    Hivi wakurya na misimamo yao watakubali kumpa kura Mwita Waitara asiye na msimamo?

    Katika makabila ambayo yanataka mwanaume awe na msimamo basi ni wakurya, wakurya wanataka hata mwanamke awe na msimamo imara. Sasa wakurya wanaenda kukutana na kijana ambaye ameyumba kimsimamo kuliko maelezo Aligombea jimbo la Tarime kupitia CCM akashindwa katika kura za maoni, akahama kaenda...
  14. J

    Walioingia bungeni kwa ‘Upepo wa Lowassa’ waanza kuaga majimboni. Wamo Waitara, Komu, Kubenea, Mdee na wengine

    JK alisema za kuambiwa changanya na za kwako. Baadhi ya wabunge ambao walibahatika kuingia bungeni kwa kubebwa na kura za " mahaba" kwa mzee Lowassa wameanza kujitafakari kama wagombee tena au wavute mafao yao na kusepa. Mwita Waitara ameshaliachia jimbo la ubungo kwa kisingizio cha kwenda...
  15. J

    CCM ni chama kikubwa walikuwepo Mwigullu, January na Nape wakapita sasa tunao akina Waitara, Joketi na Kafulila nao watapita!

    Tunakumbushana tu ukubwa wa CCM maana vijana wa siku hizi wengi ni wasahaulifu. Unapoteuliwa kuwatumikia wananchi basi uwe mzalendo wa kweli na utoe utumishi badala ya kutumia muda mwingi kujipigia promo na kuchafua watu wengine kana kwamba wewe ndio CCM peke yako. Hebu muangaliwe...
  16. J

    Mchungaji Msigwa: Waziri Mwita Waitara alikuwepo kwenye mkutano wa kufunga kampeni pale Buibui kabla ya kuuawa Akwilina

    Mmoja wa watuhumiwa wa kesi inayowakabili viongozi wa Chadema Mchungaji Peter Msigwa amesema katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa Mbunge wa Kinondoni katika viwanja vya Buibui alikuwepo pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Mwita Waitara. Baada ya kumalizika mkutano huo viongozi hao wa...
  17. technically

    Waitara: Hakuna mbunge mwenye haki ya kuwatetea waliokatwa

    Anasema hakuna mwenye mamlaka ya kuwasemea waliokatwa wajisemehe wenyewe. Anasema wabunge wanaongelea mambo wasiyoyajua uko mtaani hali ni tofauti kabisa. Mimi nimejiuliza hivi mbunge ni nani mpaka azuiliwe kuongea mambo yanayoendelea jimboni kwake je sio mwakilishi ya waliokatwa ni mwakilishi...
  18. Sky Eclat

    Waitara anakubali kuwa kuna upungufu wa walimu na ajira zilisimama

  19. Dive

    Jinsi picha la kurudia chaguzi Tanzania linavyochezwa

    Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale. Hii inatupa...
Back
Top Bottom