========
Mh. Waitara amesema kuwa baada ya wabunge wa CHADEMA kutangaza kuwa watahamia CCM na wengine wataenda NCCR Mageuzi basi wameshambuliwa sana na hasa Mh, Lijualikali.
Amesema kuwa miongoni mwa watu ambao anawafahamu ni pamoja na Lijualikali, anadai alipoenda Mlimba na Kilombero wakati...