Oyaa! Hepi new year wanangu wa nguvu, twente tweni hiyo ishatimba, kama vipi laifu linasonga, big up kwa Sir God kwa kutufanya tuendelee kusavaivu kibishi nini.
Mazee mwaka umeanza na mbilinge kama zote, kuna ishu moja inanifurahisha kinoma! Kuna huyu mwamba, Mwito Weita, yule MP wa kipande cha...