Katika siku za hivi karibuni kujifungua kwa upasuaji kumeonekana kama ‘fasheni’, kwani kuna idadi ya wanawake wengi wanaofika hospitali kuomba kupatiwa huduma hiyo bila sababu za kitaalamu.
Wataalamu wa afya wametaja sababu tatu za wanawake kuomba kujifungua kwa upasuaji, ikiwemo ile ya...
Wananchi wa Kijiji cha Mwashagi Kata ya Lyabukande Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara na ukosefu wa Zahanati unaopelekea wajawazito kujifungulia kwenye majaruba ya mpunga."
Wamedai kuwa tatizo hilo limekuwa likiwakabili hasa kwenye kipindi cha...
Huenda likawa jambo gumu kwako kuamini, lakini ukweli ni kwamba; kiwango cha unyanyasaji kwa wajawaito katika maeneo ya kutolea huduma za afya ni kikubwa sana. Ni jambo linalosikitisha, kuona wale watu ambao jamii imewaamini kwa ajili ya kunusuru maisha ya wengine, ndio hao ambao wanaendelea...
Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku .
Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Paul Chacha ameupa siku tatu uongozi wa halmashauri ya wilaya hiyo kupitia idara ya afya kuhakikisha inafunga vitanda vya akinamama wajawazito kwenye Zahanati ya Kijiji cha Usangi ambayo wajawazito wamekuwa wakilazwa sakafuni kabla na baada ya kujifungua.
Akiwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Aprili 06, 2022 anatarajia Kuzindua Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA). Uzinduzi wa Mfumo huu muhimu katika kuwasaidia Wajawazito na Watoto Wachanga unafanyika kwenye Viwanja vya...
Takriban watu 17 wamejeruhiwa na shambulizi la angani la Urusi kwenye hospitali ya Mariupol, kulingana na utawala wa kijeshi wa Ukraine katika eneo la mashariki la Donetsk.
Wafanyikazi na wanawake walio katika harakati za kijifungua walikuwa miongoni mwa waliojeruhiwa, maafisa walisema.
Pavlo...
Waraka wa Mhe. Waziri wa Elimu unaotoa ruhusa kwa wanafunzi wajawazito kurudi shule kuendelea na masomo baada ya kujifungua haujatoa majibu kuhusu haki ya elimu kwa wanafunzi/watoto wadogo walioko jela za watoto nao waendelee na masomo wanapotumikia vifungo vyao au hatima za maisha yao ndiyo...
Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
Katika hoja hii natamani wajuzi katika sekta ya afya waje watupe majibu zaidi.
Lakini kwa uelewa wangu, ni vyema waume zetu wakaendelea kufanya mapenzi nasi tukiwa na ujauzito.
Mimi sio mtaalamu sana lakini nina hakika na sababu mbili:
1. Inatusaidia kwenye kuongeza kujiamini kwa sababu ukiwa...
Inashauriwa kuwa mara tu mwanamke apatapo mimba [ujauzito] aanze kuhudhuria kliniki kwa ajili ya kupatiwa vipimo, ushauri pamoja na kujua maendeleo ya mimba [ujauzito] wake kwa kuendelea kuhudhuria kliniki katika siku alizopangiwa hadi siku atakayo zaa [jifungua]. Binafsi ninaona kuwa utaratibu...
Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja.
Chanzo: Nipashe
Jana nilikuja na uzi kwamba leo nitampeleka mwenza wangu Clinic kufungua kadi ya mahudhurio na maendeleo ya mtoto kwa sababu ni mjamzito,
Mrejesho.
Niliomba ushauri wengi waliniogopesha kwenye swala la kupima Ngoma, kweli sikuwahi kuwazaga kama kuna siku nitakuja kupima Ukimwi,
Nimeamka...
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimesema Wanawake Wajawazito wanaweza kupata Chanjo dhidi ya COVID19 ikisema hakuna hofu yoyote ya usalama wao katika Uchambuzi mpya uliofanyika.
CDC imesema inatambua kauli kuhusu uzazi ambazo zimekuwa zikisambaa, lakini maneno hayo hayana ushahidi...
Ni week ya sasa Wajawazito katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam hawapati huduma,iwe Ubungo au Ilala kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Inaenda karibu week ya pili sasa kwa wajawazito ukienda kwenye ofisi za NSSF kwa ajili ya Fao la Ujauzito ni kero tupu,sababu mara mtandao unasumbua mara...
Waziri wa Afya Dkt Gwajima amepiga marufuku kina Mama Wajawazito, hakuna utaratibu huo.
Awali kadi zilikua zikiuzwa sh 5000/= mpka 20,000/= na baadhi ya vituo vya kliniki ilifika sh 50,000/=.
Wanawake wamekuwa wakikumbana na kebehi, matusi na hata vipigo kutoka kwa wakunga wakati wa kujifungua.
Utafiti uliofanywa na WHO ulibaini kwamba wanawake wenye umri mdogo, na walio na kiwango cha chini cha elimu wako hatarini kuteswa kupitia kunyanyapaliwa, kubaguliwa, kufanyiwa taratibu za...
Waziri wa Afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito.
Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana.
Waziri wa Afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Tafiti zinaonesha kuwa wajawazito wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vizusi vya #Corona.
Aidha wajawazito walio na Korona wapo katika hatari ya kuathiriwa zaidi na kupelekea madhara mengine kama vile kujifungua kabla ya wakati.
Njia bora ya wajawazito kujilinda na Virusi vya # Corona ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.