Wakina mama wajawazito wilayani Kilindi mkoani Tanga wamewalalamikia wanaume wanaowapa ujauzito kukwepa kwenda kliniki kupima afya zao kama kanuni zinavyodai hali inayopelekea wakina mama hao kutafuta wanaume wengine kwenda nao kupima ili waweze kupata kadi ya kliniki.
Hata hivyo ITV...
Ndani yaMkoa wa Dar imezuka kampuni ambayo inakusanya mikojo ya wajawazito ambayo wanaenda kuitumia katika kutengeneza dawa za binadamu
Mikojo inayochukuliwa ni ya wenye ujauzito wa miezi miwili ambapo kampuni hiyo imesema mikojo hiyo huwa ina Human Chorionic Gonadotropin (HCG), Human...
Inadaiwa kuwa mikojo ya Wamama Wajawazito imegeuka kuwa biashara kubwa huku mahitaji yake yakizidi kuongezeka
Bidhaa hiyo iliyogeuka kuwa lulu kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani Jijini Dar es salaam inadaiwa kutumika kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwamo tiba ya maradhi kadhaa.
MCL...
Poleni na majukumu na COVID 19 ambayo sisi kama taifa ya JMT tumeamua kukana kuwa kinachotusumbua sio COVID bali na tatizo la upumuaji almaarufu kizungu kama pneumonia.Anyway tuachane na hilo twende kwenye mada.
MADA: Wifi yenu ni mjamzito wa miezi 6 ila cha kushangaza amekuwa na matabia ya...
Hospitali ya Aga Khan imesema siyo kweli kwamba wodi zake zimejaa wagonjwa wa Corona bali wapo wagonjwa wenye matatizo mbalimbali.
Mtendaji mkuu wa hospitali hiyo amemwambia Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe kwamba akina mama wajawazito wameacha kwenda Kliniki kufuatia uvumi huo na...
Baadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika. Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka muda mwingi anione. Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje utasikia unanuka.
Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au...
Wanawake walioko katika miezi ya mwisho kabla hawajajifungua, ambao wanalala chali au kwa maneno mengine kulalia mgongo wanakaribisha hatari ya kuzaa watoto njiti, kwa mujibu wa utafiti mpya.
Watafiti wamebaini kuwa aina hii ya mlalo inawaweka zaidi watoto walio tumboni katika shinikizo...
NJOMBE- MAKAMBAKO
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo.
Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa miundombinu ya kisasa, wataalam, vifaa tiba na vipimo vya kutosha kwa maradhi yote.
Aidha ongezeko la bajeti...
NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"
TANGA-KOROGWE MJINI
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha...
NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"ILOLANGULU AKIPITA KUSALIMIA.
Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa...
MKINICHAGUA KUWA RAIS WA NCHI HII NITATOA HUDUMA BORA YA AFYA NA KUDHIBITI VIFO VYA WAJAWAZITO NA WATOTO."PROF.LIPUMBA" DODOMA MJINI
Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya
Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo.
Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa...
Bak ya Dunia inatarajia kuidhinisha mkopo wa elimu kwa Tanzania wa dola za kimarekani millioni mia tano ($500M) sawa na pesa za kitanzania Trillion 1.3 ambao ulisitishwa hapo mwezi January 2020 baada ya wanasiasa na wanaharakati kuingilia kati.
Hayo yamejiri baada ya serikali ya Tanzania kwenda...
'Title IX' ni sheria ya kuwalinda wanafunzi wa shule za primary na Sekondary pindi wapatapo mimba wakiwa shuleni huko Marekani.
Kimsingi sheria hii inazuia unyanyapaa wa aina yeyote ile dhidi ya mwanafunzi mjamzito na kuhitaji shuke impe mahitaji yake yote kama mama mjamzito ikiwemo...
Mkoa wa Njombe umepongezwa kwa kupunguza vifo vya kinamama kutoka 250 kwa vizazi hai laki moja mwaka 2005 hadi vifo 94.8 huku vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano vikitoka 51 hadi vifo viwili kwa kila vizazi hai 1,000 Desemba 2019.
Pongezi hizo zilitolewa jana na Naibu Waziri wa Afya...
Mimi nimechoka na hali ya wife yaani ana mimba ya miezi 2 now. Yani nyumba imekua kero mara leo nataka kuku wa kienyeji, mara mbuzi, mara nisiende kazini anataka tuu tukae nae home, ila hataki kabisa tushiriki tendo la utamu, nimechoka sasa upepo wake umehamia kwenye supu na machungwa, nimechoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.