wakala

  1. Wakala wa Voda amedukua laini yangu na kuiba mamilioni

    Picha imeanza hivi alipita wakala hapa maskani akidai anaweza kuiwezesha laini na kua five G yani hata niwe kijijini mimi nitatamba tu. Nikampa simu yangu ili aapdate mafaili kama alivyoniambia, alivyomaliza hakutaka nimpe hela akasema yeye anapewa kwa kamisheni. Akaondoka mara tu nikapiga...
  2. K

    Badili laini yako ya kawaida kuwa ya Uwakala

    Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu) Vigezo na mashariti 1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA 2. Uwe na TIN number Huduma popote ulipo Tanzania inakufikia, Malipo baada ya Kazi au Unaweza kuja Kigamboni. Whatsapp...
  3. Wakala wa Vipimo (WMA) kufanya uhakiki wa Mita za Umeme, Maji na Mabando ya Simu

    Wakala wa Vipimo (WMA) imesema kuwa ipo katika mpango wa kuanza kufanya uhakiki wa Mita za Umeme na Maji ambazo tayari zimefungwa kwa matumizi sambamba na kuanza ufuatiliaji wa kuhakiki wa mabando ya simu ambayo yamekuwa yakitolewa. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa WMA, Alban Kihulla, akizungumza...
  4. Wakala wa Air Tanzania ~ Comoro wakutana na balozi Yakub

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Said Othman Yakub amekutana na kufanya mazungumzo na wakala rasmi wa Air Tanzania hapa Comoro ComAir waliowakilishwa na Ndugu Kamarouddine Waziri Zamane pamoja na Maafisa wa ATCL walioko Comoro Bi. Esther J Mahiga na Bw. Boudra Fahit. Mazungumzo yao...
  5. Wakala wa vinywaji vya MO.

    Natafuta wakala was vinywaji baridi hasa kampuni ya Mo.Nahitaji wakala aliyepo maeneo ya Kariakoo,Muhimbili ma maeneo ya jirani.Nipigie 0747464239
  6. M

    Wakala wasukari kg50 sukari ya nje yanchi

    Habar wakuu wapi ntapata wakala mkuu sukari yakilo 50 ya kutoka nje Ile ..kwa dar es salaam au mwanza nani wakala mkuu
  7. Wakala kuomba simu yako kuhakiki

    Hivi ni sahihi kwa wakala kuomba simu yako ya mkononi kuangalia sms ya muamala kama imeingia? Binafsi mimi naona ni kuvunja privacy au taarifa za siri za mtu kwani sms ya muamala inaonyesha kiasi kilichobaki kwenye account ya mteja. 1: mteja alietoa hela na kubakiza kiasi kikubwa sana kwenye...
  8. Kuhusu NMB wakala

    Habari za wakati huu. Nianze kwa kukiri kuwa mimi ni wakala wa NMB,Nataka kutoa malalamiko yangu kwa Bank hii kuhusu kamisheni tunazopewa kwa kazi ya uwakala ukilinganisha na hela wanayokatwa wateja wetu.Nashindwa kuelewa kwa nini bank hii inawakata wateja hela kutwa wakiwa wanatoa pesa ila sisi...
  9. W

    Wakala wa rangi za nyumba (plascon)

    Habari karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira Karibu sana mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms Whatsapp 0715 128 827
  10. Mbunge Kwagilwa Nhamanilo alishauri Bunge na Serikali TANROAD Iwe ni Mamlaka Kamili Badala ya Kuwa Wakala Ili Kuondoa Urasimu

    "Taasisi ya Usimamizi wa Barabara (TANROAD) imekuwa na mafanikio makubwa lakini zipo changamoto ambazo lazima tufanye mapinduzi. TANROAD kwa takribani miaka 20 wameshindwa kujenga Barabara ya Korogwe - Handeni - Kilosa - Mikumi (B127) inayounganisha Mkoa wa Tanga na Morogoro" - Mhe. Kwagilwa...
  11. Huyu binti wakala kahaha baada ya kuona jina la ninayemtumia pesa ni mwanamke

    Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili za kumpenda licha ya uzuri wa sura na rangi aliokuwa nao. Tumempachika jina na kumuita Wakala Eunice...
  12. CRDB bank ni noma, mashine pekee ya wakala wananipa kwa milioni moja

    Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi nilishikwa na mshangao kwanza, hiyo mashine ni single purpose nailipia M.1... khaaaaa Na tozo za nchi hii...
  13. Profesa Ndakidemi aitaka Wizara ya Mifugo kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM),Profesa Patrick Ndakidemi ,ameitaka wizara ya Mifugo na uvuvi kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi ili kuweza kusimamia sekta hiyo kwa ufanisi zaidi. Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia makadirio ya mapato na matumizi kwenye bajeti ya wizara ya Mifugo na...
  14. Kuwa wakala wa p2p binance

    Habari wa kuu nimeona capital ya hii biashara ya uwakala wa p2p katika binance wanadai ianzie 1000$ . Ila nina baadhi ya maswali naomba msaada wenu. 1. Vipi risk ya hii biashara? 2. Vipi wateja unatafuta mwenyewe au imekaa vipi?
  15. Kusajili laini mnaniletea wakala ananifuata mpaka vichochoroni lakini kufuta usajili mnaniambia nifike dukani kwenu! Hii siyo sawa!

    Halafu kuna mitandao ukipiga ile mia na sita ukaenda angalia usajili inasoma namba na jina lililosajili namba hiyo bila kuambiwa uweke nida! Hii nayo si sawa
  16. Ff Spain derby R.Madrid atashinda goli kuanzia 2 ama zaidi niko kwa Masawawe wakala

    Research kichwa cha habari hapo juu kama ujaelewa subiri matokeoooo Dk Pdidy
  17. Nimetuma pesa kwa Wakala asiyestahili, naombeni msaada wa jinsi ya kumfikia

    Naomba msaada anaeweza kunisaidia kumfikia wakala huyu VODACOM LIPA NDAYAVUGWE EUSTACE MANYAGA 5999506 Nililipia bidhaa nikakosea namba moja nikalipa kwake. Nimekosa msaada huduma kwa wateja hivyo kabla ya kuchukua hatua zaidi naomba anaeweza kumfahamu anisaidie wadau. Umetuma TSh 135,000...
  18. Natamani kufahamu hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa wakala wa kampuni za betting

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natamani kufaham hatua zipi za kufuata ili niweze kuwa WAKALA wa kampuni za Betting kama, MERIDIANBET, PLAYMASTER, PRIMIERBET na nyingine zinazofanana na hizo. Naomba Mwenye uzoefu au aliyefungua Ofisi anisaidie hatua za kufuata niweze kufungua Ofisi Mkoani...
  19. Nimeshindwa kutoa pesa kwa wakala mimi nataka pesa yeye ananiambia toa TU

    Wakuu nimeshindwa kufanya muamala hapa maana huyu wakala ananichanganya hapa. Nimemwambia nataka nitoe pesa yeye ananiambia toa TU. Sasa mimi hiyo TU sina nina pesa nataka niitoe. Nimejaribu kuuliza kama kuna mwenye hiyo TU anisaidie hakuna. Naombeni msaada hiyo TU ni nini na inapatikana...
  20. T

    Mnaotoa fedha kupitia NMB wakala kuweni makini

    Habar za muda huu! Niende kwenye mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yangu kuna sehemu tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kwenye ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta. Tunaingia kwenye ATM, hapo kwenye ATM kuna sheli ya mafuta lakini mabasi yanayoenda mikoani wanapita hapo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…