Nenda Mkoa wa Geita ukajionee
Utekelezaji wa mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa pili mkoani Geita umesitishwa bila sababu za msibgi na bila wakandarasi kujulishwa na mikataba tukiwa tumesainishwa.
Wananchi na wakandarasi huko wako wanakusubiri ukawape majibu na uelekeo wa mikataba na...
Inadaiwa kwa nyota huyo wa Ureno hafanyi kazi kwa ukaribu na wakala wake huyo, Jorge Mendes kutokana na wawili hao kupishana mitazamo juu ya timu ambayo Ronalo anatakiwa kujiunga nayo.
Inaelezwa kuwa klabu zinawasiliana na Ronaldo (37) moja kwa moja kwa ajili ya mazungumzo ya kumsajili badala...
Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye simu zaidi ya moja.
Kwa sasa ninavyoelewa kwenye upande uwakala lazima line iwe imechomekwa...
Imebainika Cristiano Ronaldo kupitia wakala wake, Jorge Mendes wamehusishwa kufanya mazungumzo na Bayern Munich ikiwa ni moja ya mipango ya kuhamia upande huo kama ataondoka Manchester United.
Hakuna tamko rasmi kutoka pande zote lakini Julai 2022, Mtendaji Mkuu wa Bayern Munich, Oliver Khan...
Wakuu nimezunguka wilaya ya Mwanga nimekosa wakala wa bia. Mimi nahitaji bia za jumla kreti 300
Au atakaweza kuniunganisha na muhusika atakae weza kunisaidia nitashukuru.
Au namba za makao makuu ambapo ataniunganisha na wakala
Salamu Wakuu
Kwa muda mrefu sasa nilikuwa na mpango wa kufungua biashara ya kuuza CEMENT kwa bei ya rejareja mkoani Arusha.
Wakuu naomba kupata mawasiliano au kuunganishwa na wakala anayeuza CEMENT za Kampuni ya SIMBA kwa bei ya Jumla. Kwa sasa nipo mkoa wa Arusha, hasa ukizingatia pia...
Jamani nimenuniwa leo.
Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money.
Sasa Mchepuko mpya ukataka nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba. Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke?
Nikatoa maelezo...
Ni ukweli ulio wazi kuwa kwa sasa bodaboda ndio wanaongoza kwa kuua watu kwenye ajali plus kuwatia vilema
Je, kabla ya ujio wa hawa bodaboda ni akina nani waliokuwa wakishika nafasi ya uwakala wa kifo
Mmiliki mpya wa Klabu ya Chelsea, Todd Boehly amekutana na Jorge Mendes ambaye ni wakala wa Cristiano Ronaldo ikidaiwa wamezungumza kuhusu usajili wa mshambuliaji huyo raia wa Ureno.
Inaelezwa wawili hao walikutana wiki iliyopita. Mkataba wa Ronaldo ndani ya United umesaliwa na miezi 12 na...
Mino Raiola (54) ambaye ni Wakala wa Wachezaji wengi amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi kadhaa
Raiola alilazwa katika hospitali ya Milan mnamo Januari 2022 na kufanyiwa upasuaji lakini aina ya ugonjwa wake haikubainishwa
Wachezaji waliokuwa wakiwakilishwa na Raiola ni;
Player...
Ndugu habarini,
Hapa ni nyumbani naomba tupeane uzoefu.
Binafsi nipo na ofisi ya Uwakala wa mitandao ya simu na Banks kama wakala wao.
Tatizo nalokutana nalo ni chuma ulete au sijui ni kiini macho.
Tarehe 23.3.2022 alikuja mteja kwa bashasha sana na aliweka 50,000 asubuhi kama saa 2 hivi...
Ndugu zanguni, naombeni mwenye kujua faida za kuwa wakala wa NMB na faida zake. Je kamishrni zao zipoje? Ipi ina faida kati ya Nmb wakala na Kuwa wakala wa miamala ya simu mfano mpesa, tigo pesa n.k
Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani.
Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado.
Wakala wa mchezaji kupitia...
Habari za leo
Hivi karibuni kumetokea wimbi la uchache wa machine za NMB kwa mawakala hivyo baadhi ya mawakala walilazimika kutumia NMB via Selcom
Lakini kutokana na changamoto kati ya NMB na selcom hii huduma imesitishwa hivyo NMB wakaja na huduma mpya ya kutoa huduma kwa kutumia simu yako...
Alipaswa hili swala alizungumzie kwenye ofisi Yake ndogo DSM. Ameenda mbali zaidi na kusema hizo channel za bure zitakuwepo kwenye jicho king'amuzi.
Makampuni Mengine yata hisi amebadilisha sheria kwa ajili ya kuipa upper hand DStv.
Wakati kihuhalisia swala lilikuwa ni leseni walitakiwa...
Nimekuwa nikifuatilia hizi huduma
Ni ukweli kuwa, kuna watu wengi wamehamia kufanya huduma zao kwa wakala hasa walioko kwenye bank yetu pendwa na kuacha kabisa kwenda Bank na hata kama wakala yupo mlangoni mwa bank.
Nafikiri Bank inatakiwa KUJITADHMINI HUDUMA ZAKE na sio kuacha kutoa gawio...
Kuna ndugu yangu alifika kununua godoro kwa wakala wa kampuni kongwe inayotengeneza magodoro ya TanFoam. Wakala mwenyewe anaitwa Yahaya Mono Msuya yuko Arusha mjini mtaa wa mjini kati karibu na soko kuu, yeye alitaka kununua godoro la Tanfoam badala yake walimshawishi kununua godoro la Besti...
Jana nilikwenda kwa wakala wa NBC aliyepo Kilosa mjini (ni mmoja tu) na niligomewa kutoa kiwango nilichohitajika huku wakala akilalamika kuwa NBC hawana ushirikiano na anatarajia kujivua uwakala.
Alieleza mambo mengi na mojawapo ni kuwa kuna wakati inabidi yeye kma wakal akusafiri kwenda...
Habari wadau wa MMU,
Naanzia mbali kidogo; kwa kifupi niko kwenye mahusiano na binti fulani ambaye sio mchoyo, yaani nikitaka napata, tena napata kwelikweli. Tofauti na baadhi ya wanawake niliowahi kuwa nao ambao pamoja na kunipiga mizinga, kuwapata walikua wanasumbua kidogo. Mfano mnapanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.