Mfano wewe Ni jinsia ya kiume (Me) ukaenda kutoa pesa kwa wakala halafu jina lionekane mtoaji aliyetoa ni jinsia ya kike (KE)! Utaratibu wa Sasa hutakiwi kupewa pesa hiyo vinginevyo Ikitokea iwe Ni kwa huruma ya wakala!
Utaratibu kwa Sasa wenye majina yenye mashaka sahivi unapaswa kuonesha...
Amesema Ratiba kamili ya tarehe na siku ya yeye kurudi itatolewa na uongozi wa chama baada ya mashauriano.
Aongelea pia ukimya wa vyombo husika kuhusu usalama wake na kawatoa hofu Wanachama kuwa atarudi
Ni wakati wenu EGA kuonesha uwepo wenu katika serikali ya JPM. Serikali iko kwenye mapambano dhidi ya COVID 19 inayopelekea mawasiliano kufanyika kwa njia ya mtandao. Nashauri muanzishe mawasiliano kwa kutumia group kama za whatapp ili kuwezesha vikao(onlinemeeting). Pia muanzishe app...
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries.
Mtuhumiwa alikamatwa...
Yaani badala ya wakala kubandika namba za kutolea pesa za mitandao tofauti tofauti, aweke namba moja tu ya wakala na wateja wenye line za mitandao yote waweze kutoa pesa kwa kutumia namba hiyo hiyo moja, halafu wenye mitandao watagawana wenyewe pesa huko kwa kutumia automatic system...
Taarifa ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa wizi kwenye mashine za kutolea fedha benki (atm) mnamo tarehe 25/10/2019 katika kituo cha polisi Mbagala maturubai, mzee Ernest Mika Sakala, ambaye ni afisa mwandamizi mstaafu wa jeshi la polisi alitoa ripoti kwamba tarehe 23/10/2011 majira ya 10:00hrs...
Naweza nikasaidiwa humu kwa wajuzi, haya masuala siyafahamu kiundani ila kupitia maandiko mbalimbali, nk nimekuwa kuna watu siwaamini, nakukaa kwa umakini, kutokumuamini kila mtu, issue za usalama, upelelezi.
Hivi Bongo ZOZO ni shabiki tu na mtu mwenye mapenzi na Tanzania au kuna kitu nyuma...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Arch. Daud Kondoro ajitathmini kuhusu utendaji kazi wake huku akiwasimamisha kazi wakurugenzi watatu wa wakala huo.
“TBA tunaihitaji lakini watu wake wana shida. Hatuwezi kuwaacha, TBA wasipewe miradi kwa...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, na Wakala wa Vipimo anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 4 kama zilivyo ainishwa katika tangazo hili.
MVUVI MSAIDIZI DARAJA LA II...
Baada ya uteuzi wa Waziri mpya, Wizara ya Viwanda na Biashara imeanzisha utaratibu wa kuanzishwa kwa Wakala wa Shopping Malls Tanzania na kwa kuwa nchi iliyopata maendeleo fedha haina thamani haya ndiyo makujuku ya wakala huo:
1: Kujenga na kurasimisha shopping malls zilizopo kwa utaratibu...
Makujumu makubwa ni:
1. Kuanzishwa mabwawa ya samaki kila Wilaya na kuwa na species mbalimbali
2. Kusimamia uzalishaji wa samaki kwa kuzingatia taratibu za kisayansi
3. Kutafutà masoko ya bidhaa za samaki kwa kuzingatia mahitaji yaliyopo
4. Kuandaa takwimu za samaki pamoja na mahitaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.