wakala

  1. Miss Zomboko

    Waziri Jafo apiga marufuku Wakala wa Majengo Tanzania kupewa kazi Halmashauri ya Buchosha

    Wakala wa Majengo Tanzania ( TBA) wametakiwa kurejesha Shilingi million 300 walizolipwa kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya Serikali katika Halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza, huku Halmashauri hiyo ikipigwa marufuku kuwapa kazi TBA. Akizungumza wakati wa ziara yake wilayani humo juzi, Waziri wa...
  2. Tripo9

    Ni vipi vigezo vya kuwa wakala wa kukatisha tickets za kwenda kucheki mechi viwanjani?

    Kua wakala wa kukatisha tickets za kwenda kucheki mechi viwanjani nini vigezo na masharti. Nataka niwe wakala. Asantee
  3. Mkogoti

    Rafiki yangu ni Wakala wa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu ila katapeliwa kwa njia hii

    Habari zenu wote humu ndani? Kisa kipo hivi Rafiki angu anasimulia kwamba alikuja jamaa kibandani kwake akasema kwamba kuna mtu wake anataka kumtumia hela ila hana simu ila ana namba ya jamaa kichwani, na pia ni namba ya voda. Rafiki angu huyo akamwambia chukua namba yangu hii ya Wakala (zile...
  4. Nafaka

    Francesca Roja - Mmama aliyejulikana kama wakala wa shetani

    Tarehe 19 mwezi wa 6 mwaka 1982, katika makazi ya mwanamama ajulikanaye kama Francesca Roja katikamji mdogo wa Necochea, Argentina, kulitokea mauaji ya kutisha. Watoto wawili wa Rojas waliuawa kwa kuchomwa na kisu. Yalikuwa ni mauaji ya kutisha sana. Rojas alidai kwamba, mwanaume mmoja...
  5. J

    Tetesi: Ufisadi Mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi

    Kuna ufisadi mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi ambao unahusisha wanaojiita wataalam wa tehama, iko hivi kuna mfumo unaandaliwa wa ukusanyaji nauli kwa njia ya kielektroniki ambao kwa sasa haujakamilika na una zaidi ya mwaka mmpoja sasa. Mfumo huo unatengenezwa na wakala wa mwendokasi na...
  6. Pascal Mayalla

    The New York Times lasambaza uongo Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze, au uongo tukanushe?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Swali, Gazeti la The New York Times, la Marekani, ambalo ni la tatu duniani kwa ukubwa, lasambaza uongo kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, ladai haukuwa huru na wa haki. Je, ni kweli tunyamaze tuu au ni uongo tukanushe? Kwenye bandiko hili, natumia kanuni ya...
  7. J

    Uchaguzi 2020 Sheria: Kutokuwepo kwa Wakala hakubatilishi Mchakato wa Uchaguzi

    Kifungu cha 71 cha Kanuni za Uchaguzi 2020 (Uchaguzi wa Urais na Ubunge) kinaeleza kuwa:- Kutokuwepo kwa wakala au wagombea wakati wa upigaji au kuhesabu kura hakuwezi kubatilisha mchakato huo.
  8. jingalao

    Mgombea Urais ACT kukosa wakala ni dhihaka ya demokrasia

    Nimeisikia kwenye vyombo vya habari ikielezwa kuwa mgombea urais kupitia ACT Wazalendo ndugu Benard Membe amekosa wakala wa kusimamia kura zake. Hii ni baada ya Chama hiko kuandikiwa barua ya kutakiwa kuwasilisha jina la wakala lakini hawakufanya hivyo. Inavyoonekana jambo hilo limefanywa...
  9. J

    Wakala kutoridhika na Maandalizi ya Kituo cha kupigia Kura

    Kifungu cha 52(2) cha Kanuni za Chaguzi za Taifa ( Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge), 2020 kinaeleza kuwa: Endapo wakala wa upigaji kura hatoridhika na maandalizi ya kituo cha upigaji kura atatakiwa kabla ya kuanza kupiga kura atoe malalamiko kwa msimamizi wa kituo au msimamizi msaidizi kupitia...
  10. J

    Uchaguzi 2020 NEC yawaapisha Mawakala wa Wagombea Urais, wakala wa ACT-Wazalendo ashindwa kutokea

    Tume ya Uchaguzi leo imewaapisha mawakala watakaosimamia zoezi la kuhesabu kura za wagombea Urais. Katika zoezi hilo wakala wa ACT Wazalendo hakuwepo ukumbini na ikaelezwa baadae kuwa ACT Wazalendo haina Wakala. Chanzo: ITV Habari Maendeleo hayana vyama!
  11. Duniahadaa

    Uchaguzi 2020 Arumeru: Mawakala wa CHAUMA bado wanasota Ofisi ya Mkurugenzi

    Mawakala wa CHAUMA bado wanasota ofisi ya DED ARUMERU. Siku ya kwanza waliambiwa fomu zimepotea. Baada ya muda kuongezwa sasa DED anadai mawakala wametoka wapi wakati chama hakina mgombea ubunge. Viongozi wametishiwa kuwekwa ndani. Mmoja aliyekuwa mbishi alikamatwa na kupelekwa polisi bahati...
  12. Sky Eclat

    Wale wanao hitaji muda wa ziada

  13. Sky Eclat

    Uchaguzi 2020 Mzee wa miaka 90 Askari mstaafu ajitolea kuwa wakala CHADEMA

    Mzee Daniel Wambura askari mstaafu mwenye umri wa miaka 90 ameapishwa jana kuwa wakala wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu, uko katika Jimbo la Tarime Mjini.
  14. L

    Uchaguzi 2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

    Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania. Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo...
  15. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 NEC: Kila Chama cha Siasa kimeruhusiwa kuweka wakala kwenye kila kituo ili kulinda maslahi ya Chama na Wagombea

    Jumla ya Makundi 16 ya waangalizi wa nje wapewa fursa na vibali vya kufuatilia mwenendo wa shughuli ya uchaguzi Tanzania huku asasi za kiraia na taasisi 97 za ndani pia zikipata nafasi hiyo. Amebainisha hilo Kamisha wa tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) Jaji mstaafu Mary Longway wakati wa mkutanao...
  16. Mwanahabari Huru

    Hukumu dhidi ya Tundu Lissu yadhihirisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Wakala wa CCM

    Niliahidi wiki iliyopita kwamba nitaandika tena baada ya hukumu dhidi ya Tundu Lissu ambayo tayari ilikwishavuja hata kabla ya mashtaka kuandikwa. Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza rasmi kumfungia mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu kutojihusisha na kampeni kwa siku 7. Wiki...
  17. Infantry Soldier

    Nani ni wakala (agent) wa kampuni hii ya "Xorcom" kwa hapa Tanzania?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Nani ni wakala (agent) wa kampuni ya "Xorcom" kwa hapa Tanzania? Xorcom, established in 2004, designs and manufactures integrated business telephony solutions that support both traditional PSTN and VoIP. Xorcom...
  18. Mao Tanzania

    Pongezi wakuu wapya wa idara, taasisi, wakala na mamlaka mliochukua nafasi za waliotia nia

    Ujumbe muhimu: Likizo ya Bila malipo huendi na cheo, na ukirudi hukikuti Idara Kuu ya Utumishi Pongezi kwa kuonesha weledi katika kusimamia taratibu za umma. Tumeona mmefuata mfano mwema wa Rais wetu kwa kuwapa nafasi wateuliwa wapya baàda ya walikuwa na nafasi hizo kujaa tamaa. Maajabu...
  19. YEHODAYA

    Kisheria ni halali Lissu kuchukuliwa fomu na wakala, na wakala pia kurudisha fomu tarehe 19 Julai 2020? Hatakiwi kurudisha mwenyewe?

    Kuomba kuteuliwa kugombea uraisi ni kitu sensitive. Mhusika anatakiwa kuwepo mwenyewe. Atie sahihi mwenyewe kwenye forms ambako zipo sehemu hadi za viapo ambazo mwapaji anatakiwa kuwa mhusika mwenyewe sio wakala. Katiba cha CHADEMA iko wazi inatamka kuchukua fomu ofisi ya chama sio mtandaoni na...
  20. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Godbless Lema achukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Wakala wake

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema),Godbless Lema ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge ndani ya chama hicho baada ya kuchukua fomu makao makuu ya chama hicho na kuahidi ushindi was kishindo. Akikabidhi fomu hiyo kwa mke wa Lema,Neema Lema baada ya Lema kuwa safarini...
Back
Top Bottom