wakala

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Jinsi nilivyokuwa nadhani nimeokoka kumbe ni wakala wa ibilisi kanisani

    Mwaka 2017 nilipata neema ya wokovu, niliombewa sala ya toba na nikakaribishwa rasmi kundini, kwenye kuitenda kazi ya BWANA. Maisha yangu kabla ya wokovu yalikuwa ni maisha meusi, ulevi, umalaya, uvutaji wa mioshi mbalimbali, uhuni, udhalimu, uporaji, udhulumaji, na ubazazi usiolezeka. Maisha...
  2. Mparee2

    Nahitaji mwenye NMB wakala machine ambayo anataka kuiacha

    Habari, Nina kijana wangu aliomba hii kitu na kukamilisha taratibu zote ila mwaka wa pili sasa hawajampatia Mwenye nayo please anijulishe Yupo Arusha
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Riwaya ya kipelelezi: Wakala wa Siri

    RIWAYA: WAKALA WA SIRI Mtunzi; Robert Heriel 0693322300 Episode 01 MAABARA YA BORETI. Jokofu maalumu kwa ajili ya kuchunguzia maiti lilikuwa limezungukwa na Madaktari bingwa wa maswala ya uchunguzi, ndani yake ilikuwepo maiti iliyofungwa kwa karatasi jeupe la nailoni. Ilikuwa ni maabara ya...
  4. Investaa

    Laini ya wakala ya tigopesa

    NANUNUA LAINI YA WAKALA YA TIGOPESA, KAMA UNAYO NICHEK KWA 0629251988. NIPO DAR
  5. Investaa

    Natafuta wakala wa Safaricom

    Kama title inayojieleza hapo juu, natafuta wakala wa safaricom au mtu mwenye cash kwenye safaricom mpesa kwa tanzania, nataka niweke pesa kwenye safaricom mpesa. Kama upo DAR itakuwa poa sana...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Wakala wa Vipimo mko wapi? Mabucha ya nyama Chanika yanawapunja wateja

    Habari! Siku moja kwa makusudi kabisa nikaamua kuwa mkaksi, nikasema nitanunua nyama kwenye duka(bucha) lenye mizani iliyo kamili kabisa. Nikaanza duka la kwanza nikakuta upande wa kuwekea mawe kuna jiwe la nusu kg. Nikamuuliza muuzaji, "Hili jiwe la nini ilhali mizani iko free haina nyama"...
  7. C

    Édouard Mendy akielezea jinsi alivyoachwa na wakala wake

    ′′ Nilikuwa na umri wa miaka 22 na mkataba wangu na AS Cherbourg ulikwisha. Wakala wangu aliniambia kuwa nilikuwa na ofa ya kujiunga na vilabu vingine vidogo. Baadaye, nilijaribu kuwasiliana naye lakini hakuwahi kunijibu tena" Nilimtafuta nikakata tamaa, hadi pale aliponitumia SMS ya kujiondoa...
  8. Tomaa Mireni

    ZINDUKA: Hatua za kuchukua Wakala na mteja ili kukabiliana na Utapeli mpya

    Ni siku nyingine tena nakuja kivingine, Natumai mko powa wasomaji. Leo nataka kuwapa mbinu za kukabiliana na matapeli sababu hawaishi na kila siku wana mbinu mpya. Kwa sasa mawakala ndio wanaongoza kwa kutapeliwa kupitia wateja wao kivipi? Twende pamoja kwenye makala hii. Kwanza kabisa kuna...
  9. K

    SoC01 Pendekezo: Ianzishwe Wakala wa Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Vijijini

    UTANGULIZI TEHAMA au Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni mkusanyiko wa watu,vifaa vya kompyuta na mawasiliano,programu na data ambazo zinachakatwa na kutoa au kupata taarifa zinazo tumika katika nyanja mbalimbali. Maendeleo ya TEHAMA katika nchi yetu na Dunia yanazidi kuongezeka kwa sababu...
  10. Sirdirashy

    Napataje Leseni ya kuwa agent wa huduma za ajira?

    Habari wadau yoyote mwenye kujua swala zima lakupata Leseni ya uwakala wa ajira.
  11. famicho

    Naomba Connection ya Wakala/Muuzaji wa PoolTable

    Salaam wanaJF! Kama "taito" inavyojieleza, naomba kufahamu wapi, namna gani, na kwa bei gani naweza kupata Pool table. Kwa yeyote mwenye kufahamu naomba aniongoze. Nipo mkoani. Wasalaam
  12. O

    Namtafuta wakala wa rasta

    Nahitaji kuanzisha biashara ya rasta tu nataka nianze na mtaji wa bero moja la sh 90000/= nilivyofanya uchunguzi lina rasta 100. Nahitaji kuuza kwa sh 1200. Naomba msaada wa wakala pia naomba mnisaidie mtu atakayekuwa ananifanyia hii biashara niwe namlipa sh ngapi(my agent), pia shelves ziwe za...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Wakala wa benki alinifanya niishi katika lindi la ufukara, sasa zamu yake

    Habari! Nitasimulia kwa ufupi kisa hiki kisichosisimua ila kinafundisha. Mwaka 2016 nilitembelewa na huyu wakala wa benki kazini. Akanishawishi nikakopa pesa kwa mara ya kwanza. Niliikopa pesa kwaajili ya kujiendeleza kielimu na nyingine nifungue biashara. Bahati mbaya sikujaza vizuri...
  14. GENTAMYCINE

    Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

    "Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu. Ana Chuki Binafsi na Mimi kwakuwa nilikataa Kumpigia Chapuo kwa Ushawishi wangu mkubwa katika Soka la hapa nchini...
  15. Baba ilham

    Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Habari, Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala. Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje? Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo...
  16. Wu-Ma

    Nataka kuwa wakala wa vifaa vya usafi, wapi wanauza kwa jumla?

    Habarini wakuu, nahitaji kuwa wakala wa vifaa vya usafi majumbani, wapi wanauza Kwa bei ya jumla Kwa DSM? Ahsanteni
  17. Nyumba Nafuuu

    Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

    Zifuatazo ni Aina Kadhaa za Nyumba za kuishi Familia ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako. Zipo ktk uwanja mpana wa STAILI, KIASI CHA KIWANJA, KIASI CHA VIFAA... Kutazama Ramani Zake za Ndani +255-657-685-268 WhatsApp 1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50 2 ==> vyumba 3...
  18. B

    Ukiwa umeandika wosia na uliowaweka kama warithi wakala njama kukuua; je, wakibainika wataendelea kuwa warithi?

    Umeandika WILL ukawaweka wanao then wakapata habari kuwa wao ndio warithi, wakaweka njama wakakuondoa Dunia, baada ya uchunguzi wanabainika ndio waliokuua. Wanafikishwa mahakamani, mmoja anapatikana na hatia ya mauaji wapili anapatikana na hatia yakupanga mauaji. Hukumu Inatoka kwa miaka...
  19. kindaboyi

    Nifuate utaratibu gani kupata uwakala kama NMB Wakala pamoja na till namba za mitandao ya simu?

    Watu wengi wanaotoa huduma binafsi za kifedha kama NMB WAKALA, CRDB WAKALA, M PESA, TIGO PESA n.k huwa unakuta TILL namba siyo za majina yao na siyo kwamba wanapenda lahasha! Pengine ni kutokujua taratibu za kufuata kupata Till ambazo zinaendana na majina yao wanaaumua kutumia shotkat kununua...
  20. Bonheur Travels Tanzania

    Elimu kwa Umma: Tumia Wakala kwenye Safari za Ndege au Huduma za Hoteli kuepuka hasara na kuharibu ratiba zako

    Ndugu WanaJF, Kwa mara nyingine tena tunakuja na uzi mahsusi kwa wote wanaofanya safari kwa njia ya anga. Huu ukiwa ni mwendelezo wa mtiririko wa threads zetu za Elimu kwa Umma ambapo tunakusudia kuelimisha wasafiri na wanaotarajia kusafiri kuhusu mambo mbalimbali ili safari zao ziwe salama na...
Back
Top Bottom