wakazi wa morogoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Morogoro msaada: Huko mvua zinanyesha au DAWASA wanatugeuza wajinga?

    Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini. Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Morogoro (Mindu) huamka saa 8 usiku kusaka maji mabondeni na Makorongoni

    Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Mindu katika Manispaa ya Morogoro wamelazimika kuchimba mashimo kwenye mabonde yaliyopo ndani ya mtaa huo ili kusaka huduma ya maji baada ya vyanzo vingi vya maji kudaiwa kukauka. Sababu ya hali inaelezwa kuwa ni uharibifu wa vyanzo vya maji na uharibifu wa mazingira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…