wakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taifa Digital Forum

    Wakazi wa eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wawasili Handeni, Tanga

    Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Mhe. Dkt Pindi Chana akiwakaribisha wananchi waliohama kwa Hiari kupisha shughuli za uhifadhi katika Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro. Leo Juni 16, 2022 Kaya takribani 20 zimewasili katika kijiji cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga eneo...
  2. Lyetu

    Tujadiri kuhusu wakazi wa Mwanza wanaoishi milimani kuhamishwa

    Habari za usiku wapendwa katika bwana. Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana. Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema. 98% ya...
  3. Mpwayungu Village

    Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake. -------- Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
  4. BigTall

    Mongella, Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema wakazi wa Ngorongoro wanabomoa makazi yao kwa hiyari, Wakazi 296 wajiandikisha kuhamia Tanga

    Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
  5. chiembe

    Wakazi wa Ngorongoro, tunawakumbusha tu kwamba hata sisi wa maeneo mengine ya Tanzania, kama Kuna maslahi ya umma, tulihamishwa

    Hili sio jambo la ajabu, sasa hivi kuna watu wanapisha SGR, kuna watu wanahamishwa kupisha upanuzi wa barabara, ujenzi wa sekondari, vyuo vikuu, stendi ya magufuli watu waliipisha, stendi ya nyamhongolo mwanza, ujenzi wa migodi. Upanuzi wa viwanja vya ndege Mwanza na DSM, watu waliipisha...
  6. Enkaly

    Kero ya daraja la Nyiburu kwa wakazi wa Chanika

    Daraja la Nyiburu ni daraja pekee ambalo limekua kero kwa wakazi wa Chanika. Madiwani wapo, wabunge wapo hivi inahitajika nin cha ziada ambacho kama wakazi tunaweza kuelezwa mkandarasi alipewa muda gani kumaliza hilo daraja? Sasa ni zaidi ya miwili kama wanajenga flyover kweli? Daraja la...
  7. BigTall

    Wakazi wa Madaba wampongeza Rais Samia kwa Tsh bilioni 1.5, Mbunge Mhagama awaonesha vijana njia

    Wananchi wa Jimbo la Madaba wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Joseph Mhagama wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupata tuzo ya mafanikio ya ujenzi wa miundombinu. Pongezi hizo zimetolewa Juni 4,2022 wakati wa tamasha la kutambua vipaji kupitia sanaa na michezo jimboni humo...
  8. Elitwege

    Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

    Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya baadhi ya familia kuhama nyumba, Mwananchi limebaini. Wazazi na walezi wanasema hali hiyo pamoja na...
  9. dks1131

    Nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya

    Wale mnaoishi Kahama na viunga vyake naombeni msaada wa maoni yenu, nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya ili na mimi niweze kuishi mjini vizuri. Natanguliza shukrani
  10. Cannabis

    Kenya: Mfuko wenye picha ya simba wazua taharuki kwa wakazi wa kijiji cha Mutiribu

    Wakaazi wa kijiji cha Mutiribu, kaunti ya Meru walipigia simu Huduma ya Wanyama Pori KWS kuja kumnasa ‘simba’ aliyekuwa amejificha kichakani karibu na makazi yao Ila maafisa hao walipofika mahali hapo waligundua kuwa ‘simba’ huyo alikuwa ni mfuko wa Supermarket ya Carrefour. =========...
  11. Bushmamy

    Wakazi wa Mishamo waomba serikali iingilie kati migogoro ya kila wakati kati wakulima na wafugaji

    Wananchi wa kata ya bulamata, pamoja na kata za jirani zilizopo Mishamo mkoani Katavi kutoka wilaya ya Tanganyika wameomba serikali kuingilia kati migogoro iliyopo kati ya wakulima na jamii ya wafugaji.k Wananchi wa vijiji hivyo wamesema kuwa jamii ya wafugaji wamekuwa na idadi kubwa ya Mifugo...
  12. Cannabis

    Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

    Msanii kutoka Tanzania, Wakazi amesema kwamba Diamond Platinumz ni maarufu ila sio mzuri katika uiambaji. Kupitia ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter, Wakazi alisema kwamba kuna tofauti kubwa kati ya umaarufu na ubora wa msanii, na hivyo kuwa maarufu haimaanishi kuwa mzuri katika...
  13. katoto kazuri

    Wadada wa kazi inatosha, achane kuwarubuni watoto wawaridhishe kimapenzi

    Jameni nimechoshwa na wadada wakazi kwa tabia zao chafu. Nashukuru mimi sijawahi kuwa na viumiza vichwa. Hivi mwanamke mzima anasex na mtoto mdogo anamwambia mtoto wa miaka 3 aende chumvini. Umekosa hata mlinzi kweli? Mtoto ameshikwa na magonjwa ya watu wazima kuangaliwa vizuri ni dada kweli...
  14. Street Hustler

    Anuani za Makazi na Wakazi je inaweza kupatika/kutolewa sehemu ambazo hazijapimwa?

    Nimeshuhudia watu wakipita na makaratasi wakiwaambiwa wakazi wa eneo husika kuwa huu mtaa n mtaa flan na Kama Kuna njia wanasema n njia flan bila ya mwenyeji/wenyeji kujua Hilo jina limetokea wapi. Pili hiv inawezekana kutoa anuani bila ya kuwa umerasimisha makazi ya eneo husika? Mfano unakuta...
  15. Lord denning

    Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

    Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida. Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi. Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania...
  16. Nyendo

    Video ya "Gidi'' ya Diamond Platnumz yakosolewa vikali mtandaoni kwa kutumia bendera inayohusishwa na ubaguzi

    Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz amekosolewa mitandaoni kwa kutumia bendera yenye utata katika video ya wimbo wake mpya wa Gidi. Bendera hiyo ni ya kundi la Shirikisho la majimbo ya kusini ya Marekani ambayo yalipigania kudumisha utumwa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na bendera...
  17. Cannabis

    Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

    Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi...
  18. GAZETI

    Rais Samia, wakazi wa Mtwara hatuna Imani na Jeshi la Polisi

    Muheshimiwa Rais, Bila shaka una taarifa juu ya mauaji yaliyofanywa na maafisa 7 wa Polisi. Ni taarifa ambayo imewashtua wengi kwa kuwa imetoka hadharani lakini tabia hii ya ujambazi na kudhulumu mali za watu haikuanza leo wala Jana na bila kufanya Reform ya Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara (huko...
Back
Top Bottom