Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya 375 ambao Watu 200 sio wa Kitongoji cha Ekunywa Kata ya Makiwaru.
Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500.
Imekuwa ni kawaida kwa eneo hili kuwa na kero ya maji,mara nyingi yalikuwa yakitoka Jumamosi jioni au jumapili,muda...
Socialite maarufu kwenye mtandao wa X na shabiki wa muziki wa hip-hop ambaye anatrend sana kwa kuchambua wanamuziki maarufu aitwae Wakazi ametishia kuwapiga block kituo cha radio cha EFM.
Ametoa mkwara huo baada ya kuoneshwa video ambayo watangazaji wa EFM walikuwa wanacheka kusikia Wakazi...
Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
Habarini wanajukwaa...
Takribani wiki ya pili sasa Tarura walikuja kutifua barabara kwa ajili ya matengenezo ya barabara zilizopo eneo la Sabasaba Manispaa ya Singida.
Kama wananchi hatupingani na shughuli za maendeleo zinazoletwa na Serikali ya mkoa shida ni kwamba wazee wa kazi walivyokuja...
Chalamila mara nyingi umekuwa ukitoa hotuba za dharau dhidi ya wananchi, hili la kuwaona wakazi wa Mbagala ni walevi wa pombe na wapenda ngono na wake za watu halikubaliki, ni dharau iliyopindukia. Chalamila inawezekana umewahi kumpata mke wa mtu huko Mbagala mlipokuwa mkinywa pombe, hii...
Watu wa Mara = Wajita, Wajaluo, Wakuria, Wazanaki, n.k.
Ni kwanini wahamiaji wengi wa fursa ni wa mkoa wa Mara kuzidi mkoa wa karibu wa Shinyanga, na Kagera ?
Ni kipi kinawapa Hamasa watu Mara kuondoka mkoa wao kuja Mwanza ?
Ni kwanini wenyeji wa Mwanza wana uwakilishi mdogo kwenye fursa za...
Sisi wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wetu hatuna huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara kwa nia ya kuboresha wameharibu mabomba na hivyo Mamlaka ya Maji kulazimika kukata maji.
Wanachofanya wanaotengeneza Barabara ni jambo jema lakini sasa...
Yapata miezi 7(saba) sasa tangia taka zitolewe mara ya mwisho Wakazi wa eneo hili la mbezi msakuzi kaskazini ambayo ni kata ya mbezi na wilaya ya ubungo hatujapata huduma hii ya kuzolewa taka.
Licha ya kuwa mara ya mwisho Mtendaji na timu yake walipita kila nyumba na kukusanya shilingi 10,000...
Rapa Wakazi ametoa kauli kali akiwakosoa wasanii kwa kutojitambua na kutojihusisha na masuala muhimu ya kijamii. Katika andiko lake, alisisitiza kuwa wasanii wengi wamepoteza dira yao ya kuwa kioo cha jamii na badala yake wanataka kuwa matajiri wakifuatilia mafanikio ya msanii maarufu Diamond...
pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma
tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi,
Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka
Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
Katika karne hii ya 21, bado watu wa Dar wanapambana na changamoto za maji, wakihifadhi madumu na mandoo katika hofu ya kukatika kwa huduma hiyo muhimu. Hali hii inatia huzuni, kwani hata mvua inyeshapo, maji hayapatikani kwa masaa 24 kwa wiki.
Tukilinganisha na nchi kama China, yenye watu 1.3...
Wasalaam.
Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa.
Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor.
Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana...
Mimi ni Kijana wa Jamii ya Kimasai kutoka Longido, Kata ya Tinga Tinga, naomba malalamiko haya wa Wananchi yamfikie Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.
Kata yetu inashida ya maji tangu enzi na enzi japo tuko karibu sana na vyanzo vingi vya maji, pia Serikali imekuwa ikileta miradi mbalimbali...
Anonymous
Thread
ajabu
hatuna
longido
maji
miaka
miradi
serikali
wakazi
Sisi wakazi wa Mbezi Msakuzi tumeikosea nini Serikali? Maji shida, barabara shida ni kama kuna juhudi za makusudi kabisa tukose huduma hizi.
Pia, soma: √ - Dar: DAWASA yakutana na wananchi wa Msakuzi, ili kupata hatma ya huduma ya maji
Unatembea zako ghafla unaitwa,
Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu
Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.
Mwisho wa...
UTANGULIZI
Mtaa wa Majengo mapya_Jeshini, unapatikana Mkoani Mbeya, wilaya ya Chunya, kata ya Matundasi, kitongoji cha Itumbi.
HISTORIA YA ENEO
Hili ni eneo ni mojawapo nchini ambalo liliteuliwa kuwa kambi ya kijeshi ya wapigania uhuru kusini mwa Afrika.
Mara baada ya shughuli kumalizika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.