wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Ni sababu zipi huwa zinapelekea wake wa wanajeshi kutokuwa wachoyo?

    Hakuna wanawake ambao sio wachoyo Kama wake wa wanajeshi
  2. S

    Kwanini Mungu anakuzwa kuliko uwezo wake?

    Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani, Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki, Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita? Je, Ni watu wangapi wamezaliwa wakiwa vilema na wengine vipofu huku wakiishi maisha ya maumivu...
  3. Huyu jamaa anahitaji ushauri wa haraka ili kuokoa uhai wake

    Jamaa anaonekana ni kama ana tatizo la kisaikolojia. Amekuwa akijirekodi na kujirusha katika mitandao ya kijamii akinywa pombe kali mbalimbali. Style yake akiweka chupa mdomoni hatoi mpaka ahakikishe kinywaji kimeisha. Mnaomfahamu, huyu kijana anahitaji msaadana ushauri wa haraka la sivyo uhai...
  4. L

    Rais Samia Aufunga Mkoa Wa Tanga Kwa Muda .Watu Wafurika Mkutanoni hata sisiminzi hawezi kupata mahali pa kupitisha Mguu Wake..

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ni zaidi ya upendo ndugu zangu watanzania ,haya ni mahabaa ambayo watanzania wanampatia Rais Samia. Huu ni upendo wa kukabidhi moyo kwa Mtu. Kwa hakika watanzania wametoa mioyo yao ya upendo na kumpatia Rais Samia. Huyu Rais Samia siyo binadamu wa kawaida hata...
  5. Tafadhali naomba kama kuna yoyote ana Picha ya Rais Samia akienda 'Kuhani' Msiba wa Waziri wake Mchengerwa aniwekee hapa

    Nitashukuru mno kwani nimejaribu kwa Kuhangaika kuitafuta sijaiona hivyo pengine Lucas Mwashambwa au ChoiceVariable wanaweza kuwa nayo.
  6. Jamaa kaongea ukweli mkubwa sana kwa wanao chapiwa wake zao

    Jamaa yako akichapiwa mpe ujumbe huu utamfariji sana
  7. T

    Mwanamke ni kama bidhaa, mkague mwili wake kabla ya kumuoa

    Binti ni kama bidhaa sokoni inatakiwa umkague mwili wake wote kabla hujamuoa, Kuna mtu humu jamii forums alikuja kulalamika , kuwa amemuoa mwanamke afu ndani anakutana na tattoo kubwa isiyofutuka mwilini mwake imeandikwa I 💕 love you John, afu ww ni James, je utaendelea na huyo mwanamke...
  8. Tuvalu: Ifahamu nchi yenye urefu wa Kilomita 12 na mtaa mmoja raia wake wote wanafahamiana

    Ina urefu wa Kilomita 12 Ina kituo kimoja cha polisi Ina sehemu moja tu ya kupata huduma za mawasiliano Ina bank moja tu Ina hotel moja tu Raia wake kwa sehemu kubwa wanafahamiana wote Airport yake hutumika kwa football pia Karibu Tuvalu
  9. Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  10. Ujasiri wake wa ovyo unaendelea: Alianza kuwalloby CDU pale Bundestag tusijenge hili bwawa la kufua umeme megawati 2215

    Amerukia kwa Norway inayotupatia wastani wa dola milioni 7.kila mwaka wa fedha. Walianza kuipinga serikali yao isiwekeze ujenzi wa bwawa la kufua umeme megawati 2215. Wakaja kuipinga DP WORLD yenye kutoa TRILIONI 22 kwa mwaka na malengo ya kufikia TRILIONI 60. Leo vibaraka koko wameingia...
  11. Simba wasitafute mchawi ...mchawi wa simba namba1 ni Ahmed Ally...siku huyu jamaa atakapofukuzwa kazi simba itarudi kwenye ubora wake

    Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu...
  12. M

    Bidhaa zilizo expire zipo Mtaani, imenitokea hii nikiwa Salasala Kwa Mtenga, Dar, najiuliza hata wakibaini wanazipeleka wapi?

    Mamlaka zinazohusika na ubora wa bidhaa nadhani mnajisahau sana, mitaani kuna bidhaa nyingi ambazo kama hazija-expire, basi hazina expire date kabisa au expire date yake haionekani vizuri. Hii ni hatari sana jamani, ni vile baadhi ya Watanzania tuna shida ya kutosoma ukomo wa bidhaa kwenye...
  13. Pale kaka yake alipo dhamiria kumuua mdogo wake kisa mdogo wake kaondoa Ng'ombe zake kwa kaka yake

    Huenda Heading isilete maana ya moja kwa kwa moja lakini kwenye maelezo nitaeleza kwa kirefu sana.Japo ni ndefu ila nitafupiza sana mimi sijui kuandika ....".inaendelea" Hii ni familia kubwa ya kisukuma ambayo baba yao mzazi alifariki miaka zaidi ya 30 iliyopita.Hivyo kwa utamaduni wa...
  14. M

    Mwaka huu Simba sc iachane na beki wake Mohammed Hussein. Huyu jamaa ameshazeeka na amechoka sana

    Ahlan wa sahalan. Kwa hali aliyofikia beki wa kushoto wa Simba , tshabalala ni wazi kuwa haendani tena na falsafa ya mpira wa kasi wa Simba. Ikiwa simba inahitaji kufika mbali kimataifa basi wanatakiwa watafute mabeki wapya kushoto na kulia ili kuifanya falsafa ya mwalimu Fadlu kuwa na nguvu...
  15. Besigye, mwanaume anayeteswa na Museveni kwa sababu ya ugomvi wa mwanamke

    Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha. Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani! Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na...
  16. Kwanini Ukristo unakataza kuoa wake wengi?

    Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk But suala la ajabu wanaume kwa wanaume kuoana kanisa linabariki mara utasikia UK jamaa kaoa mbwa mara kuna mwanamke kao mwanamke mwenzie...
  17. Mnaacha Kuwaombea Watanzania wengi wenye Shida mbalimbali 'Mnajipendekeza' Kumuombea Mtu ambaye ni Tajiri hadi Umauti wake

    Watumishi wa Mungu Tanzania wakiongozwa na Mtume @mtume_boniface_mwamposa wameandaa kongamano maalumu kwa ajili ya kumuombea Dua Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan na kuliombea Dua Taifa la Tanzania liepukane na migogoro ya kisiasa, vita na kila aina ya baya...
  18. I

    Trump alivyolea wanawe ni changamoto kubwa kwa dunia inatakiwa tuige mfano wake

    Je, Donald Trump ni mtu wa namna gani na familia yake ikoje..!!?? Ukiangalia jinsi Trump alivyowalea watoto wake watano kwa kweli utashangaa sana na hii ndio maana hata jumuiya ya makanisa yenye nguvu na ushawishi mkubwa nchini Marekani ya Evangelical Christian Churches of America hupenda...
  19. Yule mwamba ambae alimshika mkewe ugoni akaenda kutoa taarifa kwa bimkubwa wake yamemkuta tena

    Nyiee Nyiee Nyiee Juzi Kamkamata tena ugoni mkewe kupitia meseji (sijajuwa ni za mgoni wa mwanzo yuleyule ama la..) na sasa kamtaliki kabisa. MTU AKIJA KUSEMA NIMEKOSA KAZI ZA KUFANYA HADI NAFUATILIA MAISHA YA WATU, YUKO SAHIHI. Uzi wa ugoni wa mwanzo...
  20. M

    Azizi Kii hataifunga Simba ili kumfurahisha Mpenzi wake

    Hamisa Mobeto ni Simba kindakindaki. Simba inapofungwa anakosa amani hadi kuugua na furaha yake ni pale Simba inaposhinda. Tofauti na ilivyo kwa Aziz Kii ambaye hana ushabiki kwa Yanga wala Simba, yeye yupo nchini kwa maslahi (ajira). Hivyo hata ifungwe Yanga yeye haitamuumiza, ataonyesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…