the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
WanaJamvi muhali gani...!
Kumekuwa na matukio mbalimbali ya kuhusu mgongano wa jinsi baina ya ME na KE na changamoto kubwa baina yao ni KE kutaka kuonekana. Mwaka 1998 kulifanyika mkutano mkubwa wa akina mama huko CHINA BEIJING na kauli mbiu kuu ni "Haki sawa maisha ni 50/50 hahhahahha na...
Kwa mtazamo wa kawaida, unaweza kufikiri hivi:
“Mwanamke anayependa mali akijua kwamba mume wake amegundulika na ugonjwa hatari unaoweza kusababisha kifo, kwa nini asifurahi kimoyomoyo na kusubiri tu? Mume akifa, anarithi mali kirahisi.”
Lakini hapa ndipo kuna upande mwingine wa hesabu ambao...
divorce
gharama
gharama za matibabu
habari
hawezi
hivyo
huwa
jamii
jicho
kijamii
kinga
kulinda
kuomba
kupunguza
kuugua
kuvunja
kuvunja ndoa
maamuzi
mali
matibabu
mume
mume wake
mwanamke
ndoa
ndugu
talaka
ugonjwa
wake
Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
UPDATE...
"Mmeona yule mtu anaitwa Wicknell Chivayo huyu wa Zimbabwe. Maisha yake aliyokuwa anaishi ni kama vile hatakufa. Alitaka kuja kwenye mkesha ambao tulikuwa nao juzi, mimi ndiye nilikataa.
Walipiga Simu anataka kuja kwenye mkesha kutoka Zimbabwe nikasema hapana. Ni kweli anatoa kwa wachungaji...
Tanzania mauaji kati ya wanandoa, wapenzi au ndugu wa karibu kwa mwaka ni kama watu 300 tu nchi nzima, hiyo ni sawa na wastani watu 10 tu kwa mkoa mmoja kwa mwaka mzima.
Ukiangalia takwimu hili ni jambo ambalo hata halipaswi kusumbua kichwa na kusababisha vijana na watu wazima kuandika nyaraka...
Wakuu wa jukwaa hili, natumai mko salama.
Kuna jambo zito la kiutamaduni na kifamilia limenileta mezani leo kutoka kwa rafiki myangu wa karibu sana wa kiume. Kijana yuko hatua za mwisho za kwenda kutoa mahari na kuoa, lakini amegundua mchanganyiko fulani kwenye familia ya binti unaomnyima...
Leo imekuja siku ya furaha kwa Max Verstappen baada ya kushinda (P1) Bahrain GP uko Malaysia.
Ikumbukwe, mara ya mwisho mwamba kushika P1 ni Abu Dhabi GP, December 2025.
Nafasi ya pili ni Kimi na ya tatu Hamilton.
Mvua imezingua sana mwanzoni na ilipelekea Russell kua DNF baada ya gari...
1. Waliozungukwa na marafiki wengi ambaondoa zao zimevunjika au hawajaolewa, aina ya wale wanawake wa mjini ambao wapo huru sana na kupenda maisha ya starehe
2. Kama mkeo ni muumini wa makanisa ya kilokole na wachungaji wake ndio hawa wachumia tumbo na wacheza mazingaombwe, ishi nae kwa akili...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali.
Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
■India
■Thailand
■China
■Vatican
■Saudi Arabia
■Jamii zilizomo msitu wa Amazon
Hizi ni sehemu ambazo ukienda lazima ukute utofauti mkubwa wa imani yako na utaishia kuwaita waabudu masanamu na mashetani ila pia na wewe wataishia kukucheka kwa namna hio.
Kabla ya muarabu na Mzungu kuja...
Naomba niwakumbushe wafuasi wake kwamba wasifurahie mambo yaliyowasilishwa mbele ya hadhara kwa ajili ya mtuhumiwa, watesi wake bado wanamuwazia mabaya; kumbukeni ana risasi anatembea nayo, hii ilisababishwa na shambulio lililofanywa usiku kweusi kwenye makazi ya wachawi ambayo usiku kucha...
Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti.
Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa.
Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
hivi anatuanaje kwanza?
Hivi, inawezekanaje kuukana ukweli wa wazi kabisa kama huu, na ulioleta taharuki, uharibifu, maumivu na usumbufu kwa waTanzania zaidi ya milioni 70?
Halafu eti ng'we ng'wee ng'wee uachwe tu? who are you among others?
You beter watch your back, sheria na katiba ya nchi...
Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi kwamba angeweza kuamua mustakabali wake bila kuwashirikisha Watanganyika wenyewe.
Tanganyika ilikuwa...
Harakati za kujiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa 2027 zimechukua mwelekeo mpya baada ya Linda Mwananchi kumtaja Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwa mgombea wake wa urais.
Uamuzi huo ulifikiwa Jumamosi, Septemba 26, wakati viongozi wa harakati hiyo walipokutana katika kikao cha uongozi na kusema...
Nimejikuta nawaza kama mzazi umezaa mtoto umemlea kwa kadiri ya Mungu alivyokujalia, mara mtoto anakuwa anajiingiza kwenye maisha ya utapeli na kulikana jina la ukoo wako wewe kama Baba mzazi utajisikiaje?
Wapo watoto wa ukoo wenye jina lao la Nyerere na hawashoboki nalo mfano mtoto wa kike wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.