Sheikh : Wake wa Muhamad,Hafsa et al walikuwa Makafir, na Omar Swahaba wake alikuwa Hanith na anaingiliwa kinyume na Maumbile

Acheni kukata kata maneno mtu anapoongea jambo...hizo chuki zenu dhidi ya uislam hazitawafikisha popote.
Katika video hii sheikh alikuwa akiwasema wale watu waliokuwa wanawatukana maswahaba watukufu pamoja na mke wa Mtume s.a.w Bi Aisha R.a.
Hapo sheikh alikuwa akiwalaani hao watu na kutoa mifano ya kebehi na matusi kutoka kwa hao watu dhidi ya maswshaba na hii video imekatwa kiufundi ili kujenga hoja za kipuuzi.
Ngoja naitafuta niwaletee video kamili ili muache huu ujinga wa kulisha watu maneno ya uongo na uzushi.Hii dini mtaichukia sana ila mkumbuke hizi chuki hazijaanza leo. Bachu hawezi kuongea huu upuuzi.
 
Je waislamu hawana chuki dhidi ya ukristo?
 
Sasa hapo unataka kujifunza nini?kuwa hanithi au kuingiliwa kinyume na maumbile?
 
Kuna wakati najiuliza sana...siku watu wakijua ukweli wote itakuwa balaa
Sema wengi walio katika hii dini ni mambumbu. Hawajui haya mambo na pia hawana muda wa kujifunza. Ina mambo machafu ni ushetani tu umejaa
 
Acheni kukata kata maneno mtu anapoongea jambo...hizo chuki zenu dhidi ya uislam hazitawafikisha popote.
Katika video hii sheikh alikuwa akiwasema wale watu waliokuwa wanawatukana maswahaba watukufu pamoja na mke wa Mtume s.a.w Bi Aisha R.a.
Hapo sheikh alikuwa akiwalaani hao watu na kutoa mifano ya kebehi na matusi kutoka kwa hao watu dhidi ya maswshaba na hii video imekatwa kiufundi ili kujenga hoja za kipuuzi.
Ngoja naitafuta niwaletee video kamili ili muache huu ujinga wa kulisha watu maneno ya uongo na uzushi.Hii dini mtaichukia sana ila mkumbuke hizi chuki hazijaanza leo. Bachu hawezi kuongea huu upuuzi.
Huyo shehe mbona kaongea kanyooka, ni wapi ama neno gani limekatwa.

Emb basi tuwekee clip iliyonyooka ili uyathibitishe madai yako sheh.

Vinginevyo unachokiongea kitakuwa ni muendelezo wa ubishi ule ule unaozungumzwa kwenye clip hiyo.
 
Back
Top Bottom