Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali.

Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga familia yake.

Kuna kiongozi wa CCM alisikika akisema, wakiwapoteza wapinzani polisi isihangaike kuwatafuta.

Kauli kama hizi zinatia shaka kama kweli serikali haihusiki, amesema.

20261002_080312.jpg

Kauli ya Bagonza imekuja baada ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoa ufafanuzi kuwa video ya Chalamila iliyosikika ilikuwa imekatwakatwa.

Akihitimisha ujumbe wake, Askofu Bagonza amesema binafsi hapendi migomo vilevile hapendi kunyima watu haki ya kugoma, lakini pia hapendi ubabe.
 
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali.

Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga familia yake.

Kuna kiongozi wa CCM alisikika akisema, wakiwapoteza wapinzani polisi isihangaike kuwatafuta.

Akihitimisha ujumbe wake, Askofu Bagonza amesema binafsi hapendi migomo vilevile hapendi kunyima watu haki ya kugoma, lakini pia hapendi ubabe.
Bagonza anaangusha moja moja na nyeupe anaita nyeupe💪🏿❗
 
Kawaida viongozi wasio na akili wakipata madaraka hutumia mabavu sababu hawawezi kutumia akili ambayo hawana

Upo sahihi kabisa. Mtu hawezi kutumia kitu asichokuwa nacho. Maadam tumekubali kutawaliwa na watu wasio na akili wala hekima, ndiyo maana tunashuhudia mambo ya hovyo kama haya ya kuteka watu, kubambikia watu kesi na mauaji.
 
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali.

"Je waliopotea wote hawakuisikiliza Serikali? Amehoji.

Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga familia yake.

Kuna kiongozi wa CCM alisikika akisema, wakiwapoteza wapinzani polisi isihangaike kuwatafuta.

Kauli ya Bagonza imekuja baada ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoa ufafanuzi kuwa video ya Chalamila iliyosikika ilikuwa imekatwakatwa.

Akihitimisha ujumbe wake, Askofu Bagonza amesema binafsi hapendi migomo vilevile hapendi kunyima watu haki ya kugoma, lakini pia hapendi ubabe.

View attachment 3682195
Damu za watu zina walalamikia hivyo wanaweweseka, kwa kutubu matendo Yao.
 
Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali.

"Je waliopotea wote hawakuisikiliza Serikali? Amehoji.

Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga familia yake.

Kuna kiongozi wa CCM alisikika akisema, wakiwapoteza wapinzani polisi isihangaike kuwatafuta.

View attachment 3682196

Kauli ya Bagonza imekuja baada ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoa ufafanuzi kuwa video ya Chalamila iliyosikika ilikuwa imekatwakatwa.

Akihitimisha ujumbe wake, Askofu Bagonza amesema binafsi hapendi migomo vilevile hapendi kunyima watu haki ya kugoma, lakini pia hapendi ubabe.
Je wakiwapoteza wanwazika wapi??
 
Chalamila hafai kwa nafasi yoyote ya uongozi,sijui Samia alifikiria nini kuteua Hadi watu wenye ttz la mental health
 
Mkuu wa Mkoa kakosea sana na hiyo kauli yake aisee..
Sidhani kama amekosea, kupotea kwa Mdude lawama zilienda moja kwa moja kwa Mkuu wa mkoa,ushahidi wa tuhuma hizo haukuwepo. Chalamila kasimama hadharani na kutamka yale yale aliyo tuhumiwa nayo Mkuu wa mkoa mwingine dhidi ya Mdude, maana yake ametuweka wazi kuwa wana mamlaka ya kupoteza watu.
Tuwapongeze Chacha na Chalamila kwa kuufuta uvumi uliokuwepo siku nyingi.
 
Ukivuta bangi utotoni matokeo huonekana ukubwani, matunda yanazidi kuonekana
 
Chalamila hafai kwa nafasi yoyote ya uongozi,sijui Samia alifikiria nini kuteua Hadi watu wenye ttz la mental health
Viongozi kama hao ni hazina kwa Samia ndio anaowataka.
 
Back
Top Bottom