Eti kuna mtuhumiwa anajaribu kuukana ukweli huu ambao ni wake mwenyewe

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
hivi anatuanaje kwanza?

Hivi, inawezekanaje kuukana ukweli wa wazi kabisa kama huu, na ulioleta taharuki, uharibifu, maumivu na usumbufu kwa waTanzania zaidi ya milioni 70?

Halafu eti ng'we ng'wee ng'wee uachwe tu? who are you among others?

You beter watch your back, sheria na katiba ya nchi lazima iheshimiwe, ifuatwe na kutekelezwa kwa maneno na vitendo bila huruma, bila aibu wala haya dhidi ya mkiuka sheria yeyote yule.

Mayowe na machozi yako ya mwisho kayatolee korokoroni :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Hata Galileo Galilei alihukumiwa kifungo cha maisha na watawla wa Roma kwa kusema dunia ndio inazunguka jua na sio jua linazunguka dunia, msimamo ambao ulikuwa kinyume na mafundisho ya Kanisa wakati huo.

Leo hii, modern sayansi imethibitisha Galileo alikuwa sahihi. Hivyo, hata nyingi mkimuhumu Lissu kifo, kuna siku anachokipigania kwenye hii nchi kitatimia akiwa hai au amekufa na heshima itakuwa upande wake na zaid historia itamkumbuka kama Yesu na Galileo waliohukumiwa pasipo kuwa na makosa.

Kazi mnayo.
 
ok Galileo :pedroP:
 
Back
Top Bottom