Yaani anainama kabisa anapakuliwa kisanvu🤮🤬🤮🤬.
2Yani kweli unaacha vitu kama hivi unaenda kwa dume
View attachment 3680625
Kwanini unapenda kufuatilia hizi mambo,je wewe ni mdauMbona huyu ni mchumba wake toka mda sana, hadi Bob risky akawa anamchamba chimano kuwa mzungu huyo havutii, ila Bob khaaah.
😂😂😂😂
Hiyo verse naikubali sana, ila 😭😭😭Mwanamke tabia shepu ni majaliwa ila wengi walinyimwa tabia shepu wakabarikiwa.
Nspenda sana verse yake kwenye suzana😇
Kumbe mwamba ni mchele anyway ila ni talented sana uyu shoga.