Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Wakuu, kuchapiwa sikia tu kwa wenzio yasikukute.
Hizi ndio gharama umemgharamia mkeo alafu muhuni anaenda kuichapa bureeeee.
~ mahari umelipa
~ simu, vocha, wanayowasiliana umenunua wewe.
~ Nguo anazovaa wanapokutana umenunua wewe.
~ Chupi anayoenda kuvuliwa umenunua wewe.
~ perfume, viatu, nywele nzuri, mafuta mazuri ya kupaka, hereni na vingine vingi umenunua wewe.🤔