DoohMbona hujasema kua ikichomoka anairudishia Tena kwa screaming noise
Kuna rafiki yangu MTIIFU mnyenyekevu.. anampenda mkewe aisee MKEWE KAENDA KAPIGWA MBUPU MPAKA MIMBAKuchapiwa kunauma sana, isikie tu kwa mwenzio isikukute
Hata jogoo la kuku, beberu la mbuzi linapanda majike tofauti tofauti kadri linavyo jisikiaWanaume wakichepuka hakuna shida.
Binadamu ni tofauti na Wanyama na Ndege, Binadamu alipewa akili.Hata jogoo la kuku, beberu la mbuzi linapanda majike tofauti tofauti kadri linavyo jisikia
Hii ni nature ya wanyama wa KIUME..
P.w BothaBinadamu ni tofauti na Wanyama na Ndege, Binadamu alipewa akili.
Ukimtoa kwao kwa njia halali tayari ni mali yako hiyo kihalaliUkitaka wa kwako labda umuumbe mwenyewe.
Ukigongewa wewe na ukaja na maneno kama hayo ndiyo tutajua kweli unamaanisha. Mkuki kwa nguruwe tu ila kwa binadamu mchunguKuchapiwa hakujaanza leo na wala hakutomalizika ktk kizazi chochote kile kijacho, zaidi mambo yatazidi kudevelop.
Kama Mwanaume unachotakiwa kufanya ni kutimiza majukumu yako.
Kwa akili yako, unaweza kumzuia mwanamke aliyeamua kuchepuka??Ukigongewa wewe na ukaja na maneno kama hayo ndiyo tutajua kweli unamaanisha. Mkuki kwa nguruwe tu ila kwa binadamu mchungu
Tu.... tu... tuuu.... me... me... sha poaaaa... (Kwa sauti ya Kulia)Poleni sana wanaume