Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Tanzania mauaji kati ya wanandoa, wapenzi au ndugu wa karibu kwa mwaka ni kama watu 300 tu nchi nzima, hiyo ni sawa na wastani watu 10 tu kwa mkoa mmoja kwa mwaka mzima.
Ukiangalia takwimu hili ni jambo ambalo hata halipaswi kusumbua kichwa na kusababisha vijana na watu wazima kuandika nyaraka ndefu kuhusu ndoa sijui uoe au usio au uoe au usio kabila gani au sijui mali zigawanywaje n.k