Aina hii ya wanawake ndio huongoza kupush ndoa zivunjike ili mgawane mali

Aina hii ya wanawake ndio huongoza kupush ndoa zivunjike ili mgawane mali

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
1. Waliozungukwa na marafiki wengi ambaondoa zao zimevunjika au hawajaolewa, aina ya wale wanawake wa mjini ambao wapo huru sana na kupenda maisha ya starehe

2. Kama mkeo ni muumini wa makanisa ya kilokole na wachungaji wake ndio hawa wachumia tumbo na wacheza mazingaombwe, ishi nae kwa akili sana, Mchungaji anaweza kumshauri muachane ili nae anufaike

3. Kama mkeo anatokea makabila ambayo wanawake by nature ukishawazalisha wanataka kuendeea maisha kivyao na watoto bila mwanaume,

4. Kama mkeo anatokea sehemu ambazo pesa inathaminiwa kupitiliza , Anaweza kuona unamchelewesha mafanikio akatumia mgawanyo wa mali kuwa sehemu ya mtaji na hata familia inapotafuta sehemu ya kupata pesa inaweza kushawishika kuingilia ndoa kama binti yao kaolewa na mtu mwenye uwezo.

5. wanawake ambao hata baada ya ndoa wanaendelea kuwa karibu sana na ndugu zao, Kuna tofauti kati ya kuwa karibu na familia na kuifanya familia kuwa sehemu ya kila uamuzi wa ndoa. ugomvi mdogo kasharudi kwao, masuala ya ndani ya ndoa ndugu wanayajua, n.k. Huyu siku yoyote akishauriwa muachane hachomoi, na hata aiamua yeye anajua kwao watamsapoti
 
Number 3
Number 4
Oops Kule Kule Kwa Chinova
kilele Cha Kwanza Mawenzi Halafu Kinachofuatia Kibo Kwa Urefu Zaidi
 
Wanawake wa kichaga hawakutengenezwa kwa ajili ya jamii dhaifu ni kiherehere chako tu
Kwa hali hii hapa chini, una maoni gani? Je, statement yako ipo valid? Wote ni wachagga

 
Sijajua kwanini wachanga wanaongoza kwa kuuana, visa vikiwa mali na mapenzi, sio kwamba makabila mengine hawauani ila wachaga wanaongoza so far
Uzuri mmoja ripoti na takwimu za police 2025 zipo kwenye mitandao

1. Kagera 122

2.singida 98

Dodoma 97

Mbeya 91 mwanza 92 iringa 92

Ruvuma85

Tusibiri ripoti za mauji kutoka jeshi la police 2026🙏
 
IMG-20261003-WA0086.jpg
 
Kwa hali hii hapa chini, una maoni gani? Je, statement yako ipo valid? Wote ni wachagga

Swalha wa mwanza nae aliuawa na mchaga sio
 
Back
Top Bottom