min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Ni ngumu kusumbuka mangi , ngoja twende nae taratibu amemeshajaa kwenye mfumoWasikusumbue Mangi, usisahau mti wenye matunda hauishi kupopolewa!
Ni ngumu kusumbuka mangi , ngoja twende nae taratibu amemeshajaa kwenye mfumoWasikusumbue Mangi, usisahau mti wenye matunda hauishi kupopolewa!
Update ya ndoa nayo iongozwe na katiba isiwe ya kimila kama ilivyo sasaMaombi ya katiba mpya yaende sambamba na kuomba update ya ndoa.
Ndoa ni kitu outdated kama katiba yetu
Wana shida gani?Ila wanawake wa kilokole mmh Mungu aingilie kat
Kwahiyo leo ni chaga day?4. Ndio ilitakiwa iwe hoja ya kwanza, na wahusika wanajulikana wazi wazi.
Kabisaaaa tena watoa maoni wawe ni wanandoa wenye experience ya miaka 10+Update ya ndoa nayo iongozwe na katiba isiwe ya kimila kama ilivyo sasa
Kwani kazitafuta yeye?Mwanamke alikua anataka mali ziandikwe kwa jina lake.
Mimi kama mwanandoa mwenye miaka kumi, nashauri Vijana wanapoingia kwenye ndoa wapimwe akili, kuna tatizo kubwa la afya ya akiliKabisaaaa tena watoa maoni wawe ni wanandoa wenye experience ya miaka 10+
Kwamba ukimzalisha anajikutaje.?Apa umaeongelea wachaga mzee.... wanawake wa kichaga ukishawazalisha tu basi thamani ya mwanaume inashuka. Hasa na kama uyo mwanamke anajiweza kiuchumi yuko vizuri.. bas we tafuta tu chimbo la kwenda.... maana ni hatari mzee...... ni noma
Mimi kama mwanandoa nashauri, wanandoa kila mtu aishi nyumba yake kivyake🤣🤣🤣Mimi kama mwanandoa mwenye miaka kumi, nashauri Vijana wanapoingia kwenye ndoa wapimwe akili, kuna tatizo kubwa la afya ya akili
Wanawake wa kichaga hawakutengenezwa kwa ajili ya jamii dhaifu ni kiherehere chako tu
Hapana ndugu mwanandoa hapo kwenye eneo la ndoa halitashughulikiwa ipasavyoMimi kama mwanandoa nashauri, wanandoa kila mtu aishi nyumba yake kivyake🤣🤣🤣
#mwanandoaniliechanganyikiwa
Matukio yao ya negative ndio yanatrend kisa mali uhai wa ntu si kitu, kuna binti alimuua mama yake kisa mashamba huko huko MoshiKuna upande positive wa Wachaga huwa sijawahi kuona mkiongelea siku nikitulia nitawaeleza upande wa pili wa Wachaga ambao hauongelewi kabisa.
Au kila mtu akae kwao 😹😹Hapana ndugu mwanandoa hapo kwenye eneo la ndoa halitashughulikiwa ipasavyo
Mpishi ataliwaje? Maana ndio ndoa ilipo kwingine ni added advantejiAu kila mtu akae kwao 😹😹
Yeah anapambana kupata Mwanamke wa kichaga, ambae kafundishwa kuchapa kazi kutafuta uchumi elimu , kujitegemea toka miaka 800 iliyopita , huko kwao tu mpaka leo Mwanamke ni chombo cha starehe na mtumwa kwa mume wake anategemea nini?Kiherehere tuu! Hakuna mwanamke anatoa proposal ya kuolewa, ni mtu na wenge lake tuu.
Watu waoe wanawake wanaowamudu, kinyume na hapo watazidi kulalamikia wanawake.
Walitafuta wote.Kwani kazitafuta yeye?
Ndiooo.Kwahiyo leo ni chaga day?