Aina hii ya wanawake ndio huongoza kupush ndoa zivunjike ili mgawane mali

Aina hii ya wanawake ndio huongoza kupush ndoa zivunjike ili mgawane mali

1, 2, & 5
Ni đź’Ż% visababishi vya ndoa kuvunjika.
 
Wazungumzie tafadhali.

Mi nachojua ni wajenzi wazuri sana wa familia. Walezi wazuri wa watoto, watoto wao “wengi” wamenyooka. (Nazungumzia kijamii)
Jamii yoyote ambayo imeshika dini na ina hofu na Mungu huo ni ustaarabu mkubwa sana.

Wachaga waliendelea miaka mingi iliyopita ndio maana hata Lord Chief Marleale hakutowa askari wa kupigana vita ya majimaji, haikumuingia akilini risasi inaweza kugeuka maji.

Hakuna mtu wa kukuroga Moshi jenga unavyoweza iwe ghorofa na kiwanja cha kupaki Chopa ni wewe tu, lakini humu kuna watu wanatoka kwenye jamii ambazo hata awe tajiri vipi hawezi kujenga kijijini kwao.

Hawa jamaa Chaga Nation wapo Civilised miaka mingi sana.

Loading.......
 
Nashangaa sasa kwenye huu uzi watu wanavyowasingizia wachaga kuhusika kwenye hao wanawake,
 
Muoe wanawake mnaowamudu na wenye mapenzi ya kweli kwenu..!!

Sasa nyie endeleeni kuchagua rangi na matraco kitawalamba sana..!!

Wanawake wazuri ni wa kula nao bata tu..!!

Nimemaliza..
TAARIFA KWA UMMA.

KESHO SAA 4 NA NUSU ASUBUHI NITAZUNGUMZA NA WANA HABARI KUHUSU HATIMA YA WANAWAKE WA KICHAGA NA KIPARE BAADA YA SINTOFAHAMU ILIYOIBUKA MTANDAONI SIKU ZA HIVI KARIBUNI.

IMETOLEWA NA MWENYEKITI WA VIJANA TAWI LA JAMII FORUM.
 
Back
Top Bottom