Aina hii ya wanawake ndio huongoza kupush ndoa zivunjike ili mgawane mali

Aina hii ya wanawake ndio huongoza kupush ndoa zivunjike ili mgawane mali

Apa umaeongelea wachaga mzee.... wanawake wa kichaga ukishawazalisha tu basi thamani ya mwanaume inashuka. Hasa na kama uyo mwanamke anajiweza kiuchumi yuko vizuri.. bas we tafuta tu chimbo la kwenda.... maana ni hatari mzee...... ni noma
 
kwahio sikuhizi wachaga ni walokole ?
 
Sijajua kwanini wachanga wanaongoza kwa kuuana, visa vikiwa mali na mapenzi, sio kwamba makabila mengine hawauani ila wachaga wanaongoza so far
Na kumbe huyu kweka na mkewe chanzo cha ugomvi ni kugombania mali.
 
Niamini kiongozi walinilazimisha sana mpaka akatuma wajumbe kibao Lengo aniibie
Mwanaume unaye lazimishwa ni dhaifu, nafikiri toka mwanzo nilikuambia wanawake wakichaga sio kwa ajili ya jamii dhaifu, hapa nafikiri umepata jibu .
 
Back
Top Bottom