Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Atleast hawana sifa ya uchawi huwezi kusikia mganga wa Jadi Dr Shirima kutoka Rombo au Dr Massawe kutoka Kibosho.Matukio yao ya negative ndio yanatrend kisa mali uhai wa ntu si kitu, kuna binti alimuua mama yake kisa mashamba huko huko Moshi
Pamoja na yote hayo Wachaga wameshika dini, wasingeshika dini huenda hali ingekuwa mbaya.
Mtu yeyote aliyeowa uchagani atakupa ushuhuda bila kujali ana kipato kikubwa au kidogo Wachaga wanaheshimu sana Wakwelima walioowa kwao, utapata heshima zpte bila kujali hali yako na hasa nfugu wa jinsia ya kiume watakuthamini sana.