wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, Watanzania tumeruhusu Wakenya wasiojua Kiswahili waharibu Kiswahili chetu?

    Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo. Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu. Mwingine utasikia akiseme fulani ni mkora akimaanisha mwizi. Wanasema eti kunyampa, kunyanduana na maneno mengine ya ajabu ajabu...
  2. Wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kugundua ndio hao hao Wambulu wa Tanzania

    Nimefuatilia sana hawa wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kujiridhisha pasipo shaka kwamba ndio hao hao wa Mbulu ambao wao wali hama wakajikuta wamefika Tanzania. mwo Oromo akiwa amejichora, kumbuka waambulu pia walikuwa wanajichora hivyo ingawa kwa sasa ni kama wamecha vile. Wa Oromo ni kabila...
  3. Wakenya wameokota satellite

    Wanasema mbongo mpe kichwa cha habari kinatosha Stori yote itateremka.....
  4. Wakenya wanatuzidi fedha, akili au ubunifu?

    Kwa nini nauliza hayo? 1. Inasemekana, miaka ya nyuma, kabla ya Magufuli na hatimaye Samia kuingia madarakani, Wakenya walikuwa wanaingia Tanzania na kununua viazi mviringo na kuvipeleka Kenya. Vikifika huko, havipelekwi kwa Wakenya, bali husafishwa vizuri na kisha kuwekwa kwenye vifungashio...
  5. Hivi Wakenya wanavyopigania haki, kama watanzania tungekuwa wao, huu ubabaishaji, uchawa, ukatili, na ukale vingeendelea kama ilivyo?

    Wakenya walio wengi kuna kitu wanatuzidi. Si wanafiki wala woga linapokuja suala la kupigania haki zao. Wala si woga wala wenye sura mbili. Wanajua wanachofanya. Siyo wala makombo au watu wa kujipendekeza. Siyo watu wa kusifia na kutukuza ukumbaff na uoza. Watanzania tujifunze kuwa wakweli kwa...
  6. Je ni kweli kuwa kuna askari wa Tanzania wanaosaidia serikali habithi ya William Ruto kuwateka wakenya kama walivyozoea kufanya Tanzania?

    Kuna habari kuwa Gen Z wa Kenya wana mpango wa kukinukisha tena. Katika kusikiliza habari baada ya kutekwa kwa mchoraji vibonzo vinavyompinga Ruto aitwaye Kibet Bull, wamesema kuna watekaji toka nchi jirani. Kumbuka. Wakati wa maandamano ya Gen Z kulizuka shutuma kuwa askari polisi wa Tanzania...
  7. Je Lisu alitaka Kuhongwa nyumbani kwakeTegeta? au alipenyezewa taarifa za kutaka kuhongwa na Abdul?

    Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje. alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV...
  8. Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

    Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv. Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya. Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
  9. H

    Watanzainia tuilinde lugha yetu ya Kiswahili, Wakenya wanaiharibu sana!

    Habarini wadau, Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya. Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti. Mfano:- "But nyinyi wasani...
  10. Akaunti ya Facebook ya Alfred Mutua, Waziri wa Ajira Kenya imejaa post za nafasi za kazi kwa Wakenya nje. Pitia ya Riziwani ujionee

    Hii nchi tunakwama pakubwa mno, tunakwama sana kama Taifa. Alfred Mutua acclunt yake, angakia tu profile photo. Account hio ya Riziwani Kikwete angalia Profile Photo yake, ina zungumza yenyewe. Alfred Mutua Waziri wa maswala ya ajira wa Kenya kwenye account yake kumejaa matangazo ya nafasi...
  11. Wakenya wameanzisha meme za Kasongo kumpasha rais wao, je Watanzania wana nini cha kumnanga rahis wao?

    Naomba upendekeze memes unazodhani zinafaa kupeleka salamu kwa rahis wetu kistaarabu ili ajue nasi tuna akili mbali na mawazo yetu ambayo yanaweza kumsaidia kurekebisha au kuboresha mambo. Namshukuru rais kwa fursa hii :D :D :D :D :D :D. Je wewe unasemaje mwanangu?
  12. Wakenya wasema chanjo ambayo Rutto anataka kuwapa ngombe, itawafanya wasinyambe

    Wataalamu, hili limekaaje?. Kupatwa kwa Rutto
  13. Diamond kufunguliwa kesi ya fidia ya mabilioni na Wakenya kwa kushindwa ku-perform

    Wakenya wajanja sana. Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba. Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
  14. Hivi ndivyo Wakenya wanavyo tafutiwa kazi Tanzania, nyie mkisugua benchi na mkingoja Mbowe aandamane kuwatetea

    Hizi ni kazi ambazo zinaweza sana fanywa tu na Watanzania, ila sasa sijui ni wawekezaji au la, wanatafuta Wakenya, na inaonekana hawataki Watanzania. Tena analipwa pesa nzuri na nyumba bure na Chakula na matibabu. Haya yako sana kwenye utalii huko ndio usiseme, unakuta hadi Wahasibu ni...
  15. Video: Wanawake wa Kenya wana shida gani? Unapigaje filimbi kwenye harusi yako?

    Wakuu, Wanawake wa Kenya mnakwama wapi? Ni excitement au despration ya kuingia ndoani? Nitumie nafasi hii kuwasii wanawake wa kitanzania msiige mfumo huu.
  16. Wakenya wanaolalamika kulipwa 2USD kwa Saa kuifundisha AI wapo Sawa kutupia lawama Kampuni Husika, au wawalaumu Watunga Sera wao kuwafanya desperate ?

    Nimeona hio Documentary ya 60 Minutes; Kwa ufupi AI inahitaji kuwa trained ili iweze kugundua vitu kama picha, watu emotions n.k. Sasa Serikali ya Kenya imekuwa ikivutia makampuni kuja kuwekeza Kenya kwamba watu wana knowledge na labor ni cheap (kama walivyokuwa wanakwenda sana nchi kama India)...
  17. Waziri wa fedha Kenya: Kuna Wakenya wanapiga pesa za Umma wanaenda kuzitakatishia Tanzania na baadae wanarudisha Kenya

    Waziri wa Fedha wa Kenya leo hii kasema kuna Vigogo Kenya wanapiga pesza za umma na baadae wanazileta Tanzania kuzitakatisha ba wakisha maliza kuzitakatisha wanazirudisha Kenya kwenda Kujenga Majengo. Maana yake Tanzania ndio kituo cha Wezi wa Mali za Umma Kenya kuja kutakatishia pesa zao,na...
  18. B

    Wakenya walivyo edit mjengo wa Khaligraph na kuonekana kama Mall

    Jamaa kajipinda kuhakikisha anakuwa na mansion ya Kweli na Bi.mkubwa anajisikia faraja na mashabiki kufurahia matunda yake. Lakini imekuwa negative kwa mashabiki wake.
  19. M

    Wakenya Wakisaka Kazi za Ugaibuni

    Huu ni mstari mrefu wa watu 8000 vijana wa Kenya waliojitokeza kwenye usaili wa kwenda kufanya kazi nchi ya Qatar
  20. Wa Tanzania tuna katiba Bora kuliko ya wa kenya

    Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…