wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Maandamano ya leo ya CHADEMA yamedhihirisha unafiki wa Watanzania hasa vijana tofauti na Wakenya

    Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road) Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio...
  2. G

    Ujeruman yakanusha kuwa haijatoa ajira 250,000 kwa wakenya

    My take; Nilitaka kushangaa, wajeruman na ubaguzi wao watoe idadi kubwa hivyo ya ajira kwa wakenya!!!?
  3. G

    Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

    Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!, Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya...
  4. G

    Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

    Lugha ndio kikwazo kikuu chenye kuleta hofu kwa watanzania kutoka nje ya nchi, hata waliosomea english medium inabidi wakajipige msasa kwa kina ras simba kabla ya kuondoka ni kwasababu lugha haijakaa sawa licha ya kuitumia mashuleni tangu chekechea mpaka wanahitimu vyuo, LUGHA ! LUGHA ! LUGHA ...
  5. LIKUD

    Walimu wakenya wanaofundisha Tanzania wailaumu serikali ya Tanzania kwa kuwakosesha ajira

    Ni walimu wakenya wanao fundisha kwenye shule za English Medium za Tanzania. Wanasema ; 👇👇👇👇👇 " Zamani tulikuwa na soko kubwa Tz kwa sababu kwenye mfumo wa elimu wa Tz kulikuwa na mitihani ya darasa la 7. Lakini sasa hivi mitihani ya darasa la 7 imefutwa. Ipo mitihani ya kidato cha 2...
  6. mrangi

    Wakenya wametukomalia kwa kufanya vibaya Olimpiki

    Dongo letu wabongo,siongei sana nawawekea video mtizame wenyewe tunavyojadiliwa kuhusu ushiriki wetu wa Olympic pariii Ova
  7. Yoda

    Haya ni maringo ya Wakenya au ni kujiwekea standard juu dhidi ya majirani?

    Mwezi huu maada ya mchakato wa mwaka mzima Kenya imeitangaza rasmi Eldoret kuwa jiji la 5 katika nchi hiyo, hata hivyo Wakenya wengi wamedhihaki na kukebehi uamuzi huo wakiita Eldoret kuwa bado ni kijiji tu! Hawa majirani zetu tuwaambie ukweli au tuwaache tu?
  8. T

    Wabongo tuko nyuma sana kwenye Customer Services, kibaya Hatuko serious na Kazi kabisa. Acha Wakenya wachukue nafasi zetu

    Basi leo mchana saa nane nikasema niende nikapate msosi kwenye hoteli moja kubwa na mpya hapa jiji la masamaki. Naingia tu nakutana na wahudumu wanne wamekaa, mteja alikuwa mmoja. Mahojiano yalikuwa kama ifuatavyo: Mimi: "Chakula kiko tayari?" Muhudumu: "Sijajua ngoja nikaulizie kama kiko...
  9. Kaka yake shetani

    Wakenya wanajitangaza wao ndio wenye Lugha ya kiswahili ila kuongea kwa ni shida ila ndio wanatambulika kuwa ndio lugha inatoka kwao

    Leo nimepata mgeni toka nchi ya urusi kaja kupumzika.ila alicho niambia watu wengi huko wanajua lugha kiswahili inatoka kenya. ili jambao bado nauliza sana kwa nini si watanzania tumelala sana.kesho kutwa Falme za kiarabu zitakuwa na mbuga kubwa ikitambulika asili yake ikitoka tanzania. watu...
  10. W

    Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

    Huyo jamaa pembeni sijui ni mwanasheria au la, anamzuia zuia jamaa kuyamwaga, jamaa hamsikilizi kabisa anamwagika tu. This Spirit! Imebidi maaskari polisi wafanye kazi yao kumnyamazisha kwa kumtoa kizimbani ili kutetea watawala wanaosemwa Tuje Huku kwetu sasaaa, kulia yupo Magoma, Kushoto ni...
  11. W

    Wakenya Waandamana IMF kupinga Serikali ya Kenya isipewe Mikopo

    Raia wa Kenya Wandamaana kutaka Shirika la IMF wasitoe Mikopo kwa Serikali ya Kenya Julai 20, 2024 raia wa Kenya walifanya maandamano katika makao makuu ya IMF jijini Washington DC kutaka serikali ya Kenya kutokupewa mikopo na Shirika hilo kwani inatumika kizembe Wakenya wamelaumu Shirika hilo...
  12. M

    Join the chain na CHADEMA digital ilikuwa miradi ya Mbowe na Wakenya

    Aliyekuwa Mwanachama, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mjumbe wa Kamati Kuu na Mbunge kwa kipindi cha miaka 10 kupitia chama hicho ambaye hivi karibuni alirejea Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mchungaji Peter Msigwa amemshutumu Mwenyekiti wa Chama hicho...
  13. Ikaria

    Kwa nini Wakenya wameanza kumpigia debe January Makamba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya AU

    Raia wengi wa Kenya katika mitandao ya kijamii hasa ule wa X wameonekana 'kumgeuka' mgombea wao wa nyumbani Raila Odinga na badala yake sasa wanamuunga mkono January Makamba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika(AU). Katika taarifa inayosambaa mitandaoni, Wakenya wanadai kuwa wamuzi wao...
  14. Nyanda Banka

    Freeman Mbowe: Kwenye mahoteli yetu wameajiriwa Wakenya

    "Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye mabenki yetu, mahoteli ya mbuga za wanyama huko wameajiri Wakenya kwa sababu waliandaliwa kushindana...
  15. jingalao

    Sasa ni dhahiri, katiba mpya ni mwiba kwa Wakenya!

    Matatizo ya kuvamia na kuiga mifumo ya walami bila upembuzi yakinifu yanadhihirika sasa. Nchi tuliyoambiwa imepiga hatua mbele katika kufuata demokrasia sasa inaumbuka na inashindwa kujinasua kwenye sakata la maandamano. Tuliaminishwa vurugu zingeweza kuondoshwa na uwepo wa katiba mpya lakini...
  16. Z

    Wakenya watu wa ajabu sana aisee .unaharibu nchi yako kwa sababu ya Kodi?

    https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi? Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
  17. Mwande na Mndewa

    Wakenya kutaja mali za Watumishi wa Umma na kuwauliza wamezipataje!?

    Baada ya kufanikiwa kwa kiasi kwenye maandamano ya kuzuia muswada wa sheria ya fedha uliopitishwa na wabunge usisainiwe na Mh Rais,Wakenya sasa wanakuja na namna nyingine ya kuwatambulisha wezi wa mali ya Umma,Wananchi wa Kenya wameonelea kutaja mali za watumishi wa Umma,wabunge na mawaziri ili...
  18. BLACK MOVEMENT

    Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

    Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda...
  19. Yericko Nyerere

    Kauli ya Mwigulu kuhusu Burundi ni hatari kwa Usalama wa Taifa. Serikali ijitenge nae!

    Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
  20. El Roi

    Wakenya wanawapa viongozi wa Tanzania ujumbe.

    Maandamano yanayoendelea nchini Kenya, binafsi hayajanivutia kwa sababu hayana lengo linaloeleweka. Uharibifu unaofanywa na waandamanaji kama kuiba na kupora Mali za watu hii inaonyesha maandamano hayo hayana lengo. Ilianza na kutaka budget irekebishwe kwa kile walichodai maisha magumu...
Back
Top Bottom