wakili dickson matata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Wakili Dickson Matata: Hukumu inaweza kuwa batili, mahakama haikumsaidia mshitakiwa kuwaleta mashahidi wake.

    Wakili na mtetezi wa haki za binadamu, Dickson Matata, amesema kutokufika kwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai, mbele ya Jopo la Majaji baada ya kuitwa kutoa ushahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kunaweza kuwa sababu ya msingi katika hatua za...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Dickson Matata: Uchaguzi unatakiwa uwe huru na wa haki

    Imeelezwa kuwa kushiriki katika uchaguzi ambao hauko huru na wa haki ni kukiuka misingi ya demokrasia na kuhalalisha dosari za mfumo wa uchaguzi. Hayo yamesemwa na Wakili Msomi, Dickson Matata wakati akizungumzia uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki katika Uchaguzi...
  3. JamiiForums Tanzania Wakili Dickson Matata: Katiba tuliyonayo imepitwa na wakati. Afrika Mashariki nchi ambazo hazina Katiba Mpya ni zile ambazo haziongozwi kidemokrasia

    Wakuu, Akizungumza jana kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV Peter Madeleka alisema kuwa nchi zote ambazo zina udikteta hazina Katiba Mpya
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Dickson Matata: Unaingiaje kwenye uchaguzi ambao Rais ambaye ni Mgombea ndiye anayeteuwa Mwenyekiti, Makamu na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi

    Wakili Dickson Matata akizungumza katika Mdahalo wa "Jicho la Wanasheria Uchaguzi Mkuu 2025" kipindi cha Star TV ameelezea Suala la Uteuzi wa watendaji wa Tume huru ya Uchaguzi ambapo Katiba inasema Rais ndiye mwenye Mamlaka ya kuteuwa Mwenyekiti, Makamumwenyekiti na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Dickson Matata: Uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa kutotambua baadhi ya viongozi wa CHADEMA hauna uhalali wa Kisheria upuuzwe

    https://www.youtube.com/live/fiYSJU5K1SU?si=XRvj21KsCtekHof4 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Magharibi Wakili Dickson Lucas Matata, amesema kwamba Msajili wa Vyama vya Siasa hana mamlaka yoyote ya kisheria ya kumuwezesha kubatilisha uteuzi wa viongozi wa Chama...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Msomi Dickson Matata ashinda Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu iliyosambazwa na CHADEMA kote Duniani, kwamba Dickson Matata amechaguliwa kuwa Mwenyekiti Mpya wa Chama hicho Kanda ya Magharibi. Taarifa kamili hii hapa Pia soma: Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…