Wakili Godfrey Wasonga, amependekeza Serikali kuangalia upya mfumo wa upelelezi na uendeshaji wa kesi za ugaidi na uhaini, akisema makosa hayo ni makubwa na yanahitaji viashiria vya kutosha kabla mtu hajafikishwa mahakamani.
Akizungumza na Jambo TV, Wasonga amesema Serikali inapaswa kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.