Wakili wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Omari Hamisi Omari, ameeleza kuwa kisheria mume au mke hana haki ya kushika au kupekua simu au vifaa vya mawasiliano vya mwenza wake bila ridhaa. Amefafanua kuwa Ibara ya 16 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inalinda haki ya faragha ya kila mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.