wakoloni

  1. B

    Umoja wetu wa Kitaifa ulishinda vita ya Tanzania dhidi ya Nduli Idd Amini nchini Uganda na kuwaang'oa Wakoloni walio kalia mataifa yaliyokuwa Kusini

    Heshima,hadhi na nguvu ya Taifa la Tanzania haikuja kwa majaliwa ya Mwenyezi Mungu ila ilikuwa ni kutokana na umadhubuti,dhamira ya dhati na utashi ambao Waasisi wetu wa Taifa walilijenga. Falsafa juu ya heshima ya utu wa mwanadamu,uhuru na Kazi pamoja na kiu ya kuwa na Taifa la Watu...
  2. Ilikuwa ni busara kuendelea kiujumla na mipaka iliyoachwa na Wakoloni kwa nchi huru za Africa baada ya uhuru?

    Mojawapo ya maazimio na makubaliano ya mwanzo kabisa waliyowafanya viongozi wa nchi za Africa zilizojipatia uhuru miaka ya 1960's ni kuendelea kuheshimu mipaka ya nchi iliyoachwa na wakoloni. Haya makubaliano ya kiujumla jumla hivi yalikuwa sahihi ukizingatia mipaka ya mataifa ya Africa...
  3. Kumbe Tanganyika iliponea chupuchupu ardhi yake yote kutwaliwa na wakoloni!

    Ardhi karibu yote inayofaa kwa kwa Kilimo Namibia inamilikiwa na wazungu masalia ya wakoloni Wajerumani na makaburu wa Africa Kusini! Kizazi cha wakoloni ambacho ni 6% wanamiliki 70% ya ardhi yote ya kilimo Namibia! Huu ni wendawazimu.
  4. J

    Maulid Kitenge: Kama tusipoushughulikia Uhuru wetu vizuri Wakoloni watarudi Kwa jina la Wawekezaji!

    KADA wa CCM na mwanahabari nguli Maulid Kitenge amewataka Viongozi wa Africa kufanya maamuzi Kwa umakini mkubwa Ili wasije kutuletea majuto huko mbele " Tusipoushughulikia vizuri Uhuru wetu Wakoloni Watarudi Kwa jina la Wawekezaji" amesema KADA huyo wa CCM anayeaminiwa sana na Wawekezaji wa...
  5. Ni vibaya kuwashukuru wakoloni wetu kwa mema mengi waliyotufanyia?

    Kabla ya Wakoloni hawajaanza kutawala Africa baada ya mkutano wa Berlin wa 1884/1885 Africa ilikuwa haijawahi kuwa na hospital, shule, reli, barabara, mfumo wa sheria, mahakama na umeme. Hivi vitu vilianza kuwepo Africa baada ya Wakoloni kuja. Hata hivyo historia ya ukoloni inayozungumzwa...
  6. Kama sio wakoloni (wazungu) na dini walizoleta Afrika tungekuwanyuma sana

    Ukiangalia kasi ya maendeleo kwa maeneo qmbayo yalifikiwa na wakoloni iko kasi kuliko kule ambako hapakufikiwa. Wanjanja wengi ni matokeo ya kuanzishwa kwa shule na elimu za kikoloni. Kuna vijiji ilikuwa mtu akinunua hata kioo tu anarogwa na kufa kwa wivu. Kuna mambo ya maana mtu alikuwa...
  7. Kenya ni taifa la wakoloni, hawajawahi kuondoka

    Kenya ni taifa ambalo halijawahi kuupata Uhuru wake hata kidogo. Hata Mzee Jaramongi Odinga alipoandika kitabu chake cha "Not yet Uhuru" alimaanisha lakini walimpiuza. Wakenya ni wakimbizi kwenye taifa Leo, wanazalisha kwa manufaa ya wakoloni. Wakenya ni manamba kwenye nchi za wakoloni na...
  8. M

    Hivi kwanini Wakoloni walisema utamaduni wetu wa Afrika ni Wakishenzi?

    Wazungu/ Wakoloni walisema tamaduni zetu niza kishenzi ndio maana mpaka leo watu wengi hatupendi sana tamaduni zetu za asili mfano lugha, majina, goma na kadhalika. Unafikiri sababu ni ipi wakoloni kusema hivyo.?
  9. Tusingetawaliwa na wakoloni kama babu zetu wote wangepambana kidete na wazungu wavamizi.

    Nikisoma Historia naona upinzani wa maana waliopata wakoloni walipoingia Tanzania ulitoka kwa maeneo na viongozi hawa, 1. Mtemi Isike & Mirambo-Unyamwezini Tabora 2. Chifu Mkwawa- Wahehe 3. Mangi Meli, Sina& Co-Uchagani, Meru, Arusha 4.Kinjekitile & Co-Wangindo, Wangoni 5.Chifu Machemba-Wayo...
  10. Nyerere viwanda vingi alikuta vimeshajengwa na wakoloni

    Kumekua na upotoshaji mkubwa sana juu ya viwanda ambavyo vingi vilianza kufa miaka ya 1980's mpaka 2000's mwanzoni vikawa vimekufa vyote Viwanda vingi sana hapa Tanzania vilijengwa na mkoloni ni vichache sana vilijengwa na nyerere na hata ukija kwenye miundombinu mingi kama reli nyingi...
  11. Wakoloni walitaka jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu,ghafla likaelekea Bagamoyo na Morogoro

    Master plan ya wakoloni ilitaka mji au jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu.majengo yaliyopo mtaa wa Nkrumah ,viwanda Pugu Road,na uwekezaji mwingine kwa njia hiyo ni ushahidi tosha. Baada ya Uhuru mji ukaelekea Bagamoyo Road na Morogoro Road. Kumbuka Pugu Road ina uwezo wa kufika...
  12. Hivi tatizo kubwa la Wakoloni lilikuwa ni nini mpaka tukaamua waondoke?

    Mbona naona kama wakoloni walikuwa wanaleta maendeleo kwa kasi kwenye nchi zetu, Walikuwa wanajenga reli, shule na vituo vya afya. Walikuwa wanajenga viwanda muhimu vya uchakataji. Walikuwa wanafungua ardhi kwa mashamba makubwa ya kilimo cha kisasa. Walikuwa na mipango miji bora. Walikuwa...
  13. Ikiwa tuliukataa ukoloni, kwa nini tusiikatae na mipaka tuliyowekewa na Wakoloni?

    Kama si Wakoloni, huenda Tanganyika kwa sasa ingekuwa ni nchi ndogo sana au kubwa sana kuliko ilivyo sasa. Isingelikuwa Wakoloni, huenda Arusha na Kilimanjaro zingekuwa nchi zinazojitegemea! Isingelikuwa ukoloni, huenda Rwanda na Burundi zingekuwa nchi moja au zingekuwa moja ya mikoa ya...
  14. M

    Kweli nimeamini elimu tuliorithi kutoka kwa wakoloni ni chanzo cha umasikini mkubwa sana Tanzania na Afrika kwa ujumla wake

    Jana jioni kabla ya usingizi nilikuwa natafari kwa kujilaumu na kulalama... Nakuona kuwa maisha ni magumu sana, niliumia zaidi kuona watoto na mke wananitegemea, wazazi pia tena zaidi wanaamini kijana wetu msomi... Daaaah! Nikapiga hesabu muda niliotumia shule... Miaka 7 msingi + miaka 4...
  15. Wastaafu wa Afrika ni wakoloni mambo leo?

    Alinukuliwa mstaafu mmoja akimwambia Mwenyekiti wa kijiji cha pili kuwa maamuzi yanafanywa na mke wake na ikapelekea sitonfahamu kubwa kwa wakati ule, kumbe yule mwamba mtoa hoja alikuwa kashazoea uongozi,ukatili na sifa akajiona kuwa hapati kusikilizwa akaamua kulipuka watu wakamsikia. Miaka...
  16. M

    Dini za wakoloni hazina maisha marefu Afrika. Watu wameanza kujua ukweli

    Jamaa ameongea maneno makubwa sana. Jamaa Kaniacha hoi mwishoni tu alivyomalizia na stiki ya kutolea meno tunaagiza china
  17. Nitaendelea kuwalaumu wakoloni kwanini hawakusisitiza elimu kwa mtu mweusi ila waliona dini ndio muhimu?

    Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu? Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
  18. Mapungufu ya Dini za Wakoloni

    KAMA ULIKALILI TU MAANDIKO KAA PEMBENI HAUKUHUSU Kama mafundisho ya Dini yanatuambia kuwa Mungu ananijua kabla hata sijazaliwa, maana yake anajua kila kitu ninachofanya na hadi nitakacho fanya baadae (kwa future) (A) Maana yake mimi siwezi kwenda kinyume na anachokijua Mungu, sasa hii kauli ya...
  19. Waafrika kushindwa na wakoloni na kugeuzwa wakristo na waislam inasababishwa na weak civilization? Tumsikilize former Singapore PM Lee

    Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo. Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo. Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu...
  20. Kwanini wakoloni wameamua kutembelea makoloni yao kwa mpigo

    Juzi kati Mfalme wa Uingereza katua pale Kibera, nchini Kenya. Hatujakaa sawa Rais wa Ujerumani katia nanga hapa Tanzania. Wote kwanza wakaomba msamaha na radhi juu ya unyama waliotenda Babu zao katika ardhi hizi mbili, kuua na kuwafanya watumwa Majimaji warriors kwa Ujerumani hapa Tanzania na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…