wakoloni

  1. kavulata

    Kwanini wakoloni wetu wanatuomba radhi sasa?

    Tangu wakoloni waondoke Tanzania na Kenya ni miaka zaidi ya 60 na kwa ujerumani ni miaka zaidi 100 Sasa. Kwanini Rais wa ujerumani na mfalme Charles warudi Leo kutuomba msahama juu wa Yale mabaya waliyotutendea? kwanini sasaa? Tusibweteke na msahama huu, bali tuangalie kile ambacho hakikusemwa...
  2. Kinyungu

    Kipimo cha DNA chaonesha mafuvu yaliyoporwa na Ujerumani kutoka Afrika yatokea Tanzania

    Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti". Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
  3. kavulata

    Wakoloni hawatamwacha Ruto atawale.

    Msimamo wa Rais Ruto kwa wazungu utamgharimu sana, Anaweza kuunganishwa na Gadafi, Sadam, nk. Vibaraka wa maslahi ya wakoloni hawa hapa. Ruto should not take it loosely.
  4. D

    Ukandamizaji wa matumizi ya vitu vya asili na wakoloni

    Kabla ya mkoloni, kila kitu kilicho juu ya ardhi na chini ya ardhi kilikua kinatumika bila woga wala kificho. Alipokuja mkoloni akavikataza, kwasababu.: Aliviitaji kwa kazi zake za viwandani huko kwao. Sababu nyingne ni vitu hivi vilikua vikitumiwa na waafrika katika mambo mengi kama dawa...
  5. AbuuMaryam

    Je, ni kweli wakoloni walikuwa na mateso kama tulivyosoma kwenye historia?

    Kwa sababu, Nilijaribu kuuliza wazee ambao enzi za ukoloni walikuwepo na walikuwa na akili, wakasema hawajahi huexperience hayo mateso mliyosoma. Nikiangalia ushahidi wa akili, wakati tunaelezwa wakoloni walikuwa wakitutesa, hawakutaka waafrika tusome, tuendelee kwa namna yoyote ile. Najaribu...
  6. Hismastersvoice

    Wananchi waokolewe toka kwa wakoloni weusi

    Wakoloni weupe hawakutenda weusi wanatenda.
  7. F

    Ni shule gani ya sekondari ilijengwa na wakoloni Waarabu halafu Serikali ikaitaifisha baada ya uhuru 1961?

    Habari wadau. Nasikia baada ya kupata uhuru mwaka 1961 Serikali ilitaifisha shule zilizojengwa na wakoloni. Mfano shule zilizojengwa na wakoloni wazungu kama Minaki, Ilboru, Pugu, Mazengo, forodhani, etc Je, ni shule zipi zilitaifishwa ambazo zilijengwa na wakoloni Waarabu? Maana waarabu...
  8. Lycaon pictus

    'Tanganyika' imetawaliwa na wakoloni kwa muda gani?

    Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na wajerumani. Mwaka 1907 vita ya majimaji ikaisha. Mpaka wakati huu mkoloni alikuwa ameishaweka mizizi...
  9. Chikenpox

    Hivi ukoloni Africa utaisha lini. Tazama Rwanda inavyotumiwa na wakoloni kuiibia drc!

    Kipindi Cha ukoloni waafrica tulikuwa tunapigana sisi kwa sisi halafu mzungu ananyakua Mali kirahisi Sana. Mfano mango Sina dhidi ya mango meli halafu mzungu anapita kirahi. Mangungo akalaghaiwa ka mikataba mibovu pia. Sasa Rwanda inatumuwa na wazungu kuwapiga waafrica wenzake i.e Congo ili...
  10. E

    SoC02 Sekta ya Kilimo Tanzania katika uchumi kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi

    SEKTA YA KILiMO TANZANI KATIKA KUKUZA UCHUMI. Kabla ya ujio wa wakoloni Tanzania, kilimo ndio ilikuwa shughuli kuu ya kiuchumi, pia biashara ambayo ilihusisha mabadilishano ya bidhaa kwa bidhaa ambapo asilimia kubwa ya bidhaa hizo zilihusiana na kilimo mfano majembe na mapanga, ambayo...
  11. D

    Tanzania itapiga hatua kubwa ya maendeleo pale wakoloni watakaporudi upya

    Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia! Tutasubiri sana! Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je ikitokea vita si ndo itakuwa kiama! Huko Ulaya watu hupigana vita na kuharibu kila kitu, lakini ndani ya...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

    Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania. Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania. Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
  13. FRANCIS DA DON

    Kwanini nchi nyingi za Afrika wanatumia lugha za wakoloni kama lugha za taifa, hivi hawaoni aibu?

    Kutumia lugha ya mkoloni kwa shughuli mbali mbali hasa zisizoepukika kwa sasa, mfano masomo ya sayansi, sioni kama ni shida sana. Shida yangu ni lugha ya mkoloni kufanywa kuwa ndio lugha ya taifa na inatumika mtaani hadi na wauza nyanya, ambao wangezweza kutumia lugha yao wenyewe kwenye masuala...
  14. Kijakazi

    Kwanini Wakoloni walikuwa hawashiriki Uchaguzi?

    Ni kwanini Viongozi wa Ukoloni walikuwa wanaletwa tu kwa nguvu na siyo kushiriki Uchaguzi kwenye nchi walizotawala ? Wananchi hawakuamua chochote waliletewa Gavana kutoka mbali kuwatawala na huyo Gavana hakuwahi kushiriki Uchaguzi hata siku moja, ni kwa nini ?
  15. T

    Wakoloni wanarudi kwa jina la wawekezaji, ilitabiriwa na tayari inatuathiri

    Soma post vizuri kabla hujajijbu hoja, kama mtu anayejua anachoema. Kila nchi inahitaji wawekezaji, lakini lazima tuwe waangalifu na kutunza uhuru wetu kama post inavyosema, tusipokuwa makini watarudi kama wawekezaji. Angalia Zambia na Kenya na hatihati za kupoteza haki za baadhi ya miundo...
  16. sky soldier

    KUNA TETESI WAKOLONI WA KIJERUUMANI WALIKUWA WAKOROFI KUZIDI WAINGEREZA, NI KWELI?

    Hao wajerumani kuna stori zao kwamba walikuwa ni wakorofi sana enzi hizo hapa ni koloni lao. je pana ukweli au ni story
  17. Q

    Maria Sarungi: Tofauti na wakoloni, watawala wetu hawana pa kwenda hawatambui kuwa ‘Kwao ni Kwetu’

    Serikali ya kikoloni ilikuwa occupation na walitumia Dola, Vitisho na ubabe kutwaa madaraka lakini walijua siku ikifika wameshindwa watarudi makwao. Hawa wakoloni weusi ni kama hawatambui kuwa kwao ni kwetu! Hawana pakwenda! Ila kuondoka madarakani haikwepeki #TutaelewanaTu. ~ Maria Tsehai...
  18. Mwenda zake

    Je, wajua ni jinsi gani wakoloni wanatutawala kidigitali (Ukoloni Mamboleo)?

    JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForum , Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
  19. Red Giant

    Wakoloni walijali kuongeza mshahara kila mwaka

    Maneno ya Shaaban Robert kwenye kitabu Maisha yangu na baada ya miaka hamsini. IDARA YA FORODHA SASA katika kazi ya ukarani nilikuwa mimekwisha kutimiza miaka kumi katika idara hii. Mshahara wangu wa shilingi sitini kwa mwezi nilioanzia kazi sasa ulikuwa umezidi mara mbili kwa sababu kila...
  20. Sky Eclat

    Wakoloni walibeba magogo na mbao zetu

    Mbao ngumu kutoka Afrika
Back
Top Bottom