wakoloni

  1. J

    Zitto Kabwe: Kabla ya kuja wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru

    Kuna wakati miaka ya nyuma Zitto Kabwe akiwa mbunge kutokea Kigoma alidai hapo zamani kabla ya ujio wa Wakoloni Kigoma na Kisiwa cha Mafia zilikuwa ni nchi huru. Sijajua ukweli wa jambo hili ila ninachokumbuka kabla ya ukolomi wachagga walikuwa na Rais wao ila sijui kama Moshi ilikuwa ni nchi...
  2. J

    Kwanini Tundu Lissu na Lema hawakwenda uhamishoni kwa marafiki zetu China ila wameenda kwa Wakoloni?

    Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka. China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora rasilimali zetu. Ndio nauliza kwanini Tundu Lissu na Godbless Lema wameomba hifadhi kwa adui zetu...
  3. kavulata

    Ukitaka uchumi upande fuata nyayo za wakoloni

    Demokrasia imeshindwa kukuza uchumi duniani kote. Hivyo kama tunataka uchumi wetu ukue silaha kubwa ni: 1. Kulipa kodi hata ikibidi kwa nguvu. 2. Kuondoa huduma za bure kwa watu wote. Hii italazimisha watu wafanyekazi kwa bidii 3. Kuondoa chakula cha njaa, watu wakifa njaa msimu mmoja msimu...
  4. Crocodiletooth

    Sio kila kilichofichwa chini ya mahandaki na wakoloni kilikuwa ni hazina

    Nyakati hizo mfalme solomoni kwa uwezo aliojaliwa na mungu aliweza kukamata aina 72 za mashetani na kuzifungia ndani ya brass jar,wa mababiloni kwa fikra hizi hizi bila kutafakari waliokota brass jar na kuifungu ==== Seventy-two Jinn captured by the legendary King Solomon, who imprisoned them...
  5. Kididimo

    Hayati Mwl. Nyerere alikuwa mpinzani dhidi ya Wakoloni. Kuwa mpinzani siyo lazima uwe na lengo baya kwa jamii

    Nimesikiliza sera mbalimbali za vyama vyetu kuelekea uchaguzi Mkuu 2020. Kuna watu wanaaminishwa huku vijijini kuwa ukichagua mpinzani kutatokea vita. Pia nimesikia baadhi ya redio na Tvs na kauli hata za viongozi wa juu kutoa mifano kama ya Rwanda, Libya, Misri nk kuwa ndiyo picha ya matokeo...
  6. Subira the princess

    Hali halisi: CCM ni sawa na wakoloni ila wao ni weusi

    Wasalaam, naongea ukweli umasikini wetu watanzania umetengenezwa na CCM kwa maslahi ya kakikundi ndani ya jamhuri ya muungano kamajiita CCM. Nasema haya maana tangu Uhuru tumetawaliwa na CCM kwa maslahi ya CCM. Kwanini nasema tunatawaliwa na CCM? Ni kwa sababu mpaka Leo watanzania hatuna Uhuru...
  7. Erythrocyte

    Kilangi aweza kuwa ndiye AG mbovu kuliko wote waliowahi kuhudumu nchini Tanzania tangu Wakoloni waondoke

    Kuna Malalamiko kwamba uteuzi wake uligubikwa na uvunjifu mkubwa wa Katiba ya nchi , inasemekana pia hakuwa na sifa za kuteuliwa kuwa AG baada ya kuokotwa kutoka mahali kusikojulikana , sheria za nchi zinakataza kuokoteza popote AG. Katika uongozi wa Kilangi ndio mahali sheria nyingi za...
  8. I

    Vijana wa familia maskini tuungane kupambana na hawa wakoloni weusi wa CCM

    Wakuu. Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu napenda kuwakumbusha vijana wa nchi hii, hasa wale wanaotoka familia masikini mijini na vijijini kuwa imewapasa kuelewa kuwa nchi hii inapelekeshwa na hawa wakoloni weusi wa CCM kwa sababu wao wana advantage moja ya kuwa na urahisi wa kuitafuna keki ya...
  9. B

    Kwa Wasomi na Wahenga Afrika: Je, ni kweli mizimu ya kiafrika ni dhaifu na duni mbele ya wazungu? Kwanini mizimu yetu haikututetea walipotutawala?

    Kuna baadhi ya mambo nikiyafikiria nakosa majibu.Kabla ya wakoloni wa kizungu na kiarabu kuja Afrika tulikua na mpaka leo tunayo mizimu yetu. Waafrika tangu wakiwa wadogo walifundishwa kuiheshimu mizimu. Mtu yoyote aliyeenda kinyume na mafundisho hayo aliadhibiwa vikali ikiwa ni pamoja na adhabu...
  10. kavulata

    Afrika inalia kilio cha wakoloni wao kwenye Corona

    CORONA imekuja kudhihirisha namna Africa kwanini hatuendelei hata baada ya miaka 60 ya kupata Uhuru. Africa inatafunwa na magonjwa mengi sana ambayo ilipaswa kuungana kupambana nayo. Adui namba moja wa east, cental, west na south Africa Ni malaria, ikifuatiwa kwa karibu na HIV, TB...
  11. Sky Eclat

    Wakoloni walitutawala kwa kutumia akili zao na nguvu zetu, jambo ambalo limetushinda ni kutumia nguvu na akili zetu

    Wajerumani walianzisha miradi mikubwa mfano mashamba ya mkonge na viwanda vya katani pia ukuleles bandarini kwa kutumia pesa ya serikali. Walianzisha kodi ya kichwa, hivyo kila raia mwenye umri wa miaka 18 -50 ilimpasa kufanya kazi ili alipe kodi. Waliweka bidhaa madukani wakiwa na uhakika wa...
  12. Barbarosa

    Kusema ukweli, wakoloni Tanzania yetu hawakuiibia kitu!

    Si Wajerumani wala Uingereza walioiba chochote hapa kwetu, kwanza hata walipoteza zaidi kuliko walivyowekeza Wajerumani walijenga reli, barabara, mipango miji, geographical survey ya nchi yote, walifanya utafiti wa udongo na kupima matone ya mvua na kuamua wapi palimwe nini, walileta mazao...
  13. Gily Gru

    Athari zilizoletwa na ukoloni juu ya damu, vichwa vya wazee wetu

    ATHARI ZILIZOLETWA NA UKOLONI JUU YA DAMU, VICHWA VYA WAZEE WETU MZUNGU (Mkoloni) ni mtu mbaya sana na utawala wa kitumwa ulikuwa mbaya na kwani familia nyingi zilitengwa na wenzao na kupelekwa wasipokujua. Watoto walitengwa na wazazi wao, mume na mkewe kwa kweli inaonyesha ni uchungu kiasi...
Back
Top Bottom